Wanawake wenzangu kujeni tutete kidogo!

Wanawake wenzangu kujeni tutete kidogo!

Sasa fikiria wale wale wanaowasema wenzao nje, kwanza katoka nje na pili anakusema huko nje alikotoka. Usiweuke mchezo? Halafu eti ndo utoke ukampigie simu huyo aliyeambiwa ABC zako. That is dealing with the wrong enemy!
Kuna hawa wamama wawili walinichekesha hadi basi. Huyo mama A mumewe ni kama kaioa kabisa nyumba ndogo na kahamia huko, hawajafunga ndoa na bi mkubwa. Vitu vingine vinatolewa kwa mkubwa vinapelekwa kwa mdogo, hali ambayo ikawa inamuumiza sana A. Sasa A ana rafiki yake B, huyu B akawa anamsema sana A. Kwa nini unajistress hivyo, hela ya kula hupewi, huna nyumba ya kuishi, sijui watoto hawasomi? Etc

Siku hiyo B akanotice mumewe ana nyumba ndogo, kaiba namba kaipigia. Nyumba ndogo kapokea kwa bashasha na namba ya mama B alishapewa na Mzee. Kapokea eeh mama fulani (B), sijui pole na hongera (alijifungua last born kwa c section), ndo kujitambulisha me ni mke mdogo and najua Mna watoto kadhaa, ila mtoto wa 3 sio mtoto wa mume wetu (B kuna kipindi mume alimtelekezaga, akapata sponsor ndo na baba wa huyo mtoto wa3, ila mume akaja akajirudi wakasameheana). B kukata simu na kilio na presha juu, sio kwa kutolewa hadi siri ya mwanae watatu. Ndo nikakuta A anamcheka sasa "wewe nini kujitia stress, hauli? Huna pa kuishi? Watoto hawasomi? . Huwa naimagine mtu anayesema "mimi as long as mume ananijali na wanangu akichepuka hata sijali", like seriously wewe umefuata kula tu kwa mumeo so roho haiumi? Anyway we differ
 
Sikh hiyo B akanotice mumewe ana nyumba ndogo, kaiba namba kaipigia. Nyumba ndogo kapokea kwa bashasha na namba ya mama B alishapewa na Mzee. Kapokea eeh mama fulani (B), sijui pole na hongera (B alikuwa kajifungua kwa c section), ndo kujitambulisha me ni mke mdogo and najua Mna watoto kadhaa, ila mtoto wa 3 sio mtoto wa mume wetu (B kuna kipindi mume alimtelekezaga, akapata sponsor ndo na baba wa huyo mtoto wa3, ila mume akaja akajirudi wakasameheana). B presha ikampanda chaliii, sio kwa kutolewa hadi siri ya mwanae watatu. Ndo nikakuta A anamcheka sasa "wewe nini kujitia stress, hauli? Huna pa kuishi? Watoto hawasomi? . Huwa naimagine mtu anayesema "mimi as long as mume ananijali na wanangu akichepuka hata sijali", like seriously, roho haiumi? Anyway we differ

Huh!, asee kweli we differ. Na pressure zote hizo usijali? hapana bwana wakati mwingine ni denial tu because there is nothing much someone can do, to change the situation.
Sasa imagine pressure zote hizi ambazo mtu anaweza kupata halafu alisema hajali?
Kwa kweli Mungu Asaidia mahusiano, Aliyoyaweka mwenyewe kwa faida yetu.
 
Kweli bana, mara nyingine inakuwa denial tu. Eti Usijali kwa sababu unakula, kwani kwenu ulitoka kuja kwa mume kwa sababu hamlagi? Mungu na asimame
 
Sasa fikiria wale wale wanaowasema wenzao nje, kwanza katoka nje na pili anakusema huko nje alikotoka. Usiweuke mchezo? Halafu eti ndo utoke ukampigie simu huyo aliyeambiwa ABC zako. That is dealing with the wrong enemy!
Yaani anakuchora tu masikini we hata hujui!! Daaah!
Kunisaliti tu kashanitukanisha vya kutosha, kujitukanisha pia kwa kuanza kupigia pigia watu simu hapana kwakweli.
 
Kuna hawa wamama wawili walinichekesha hadi basi. Huyo mama A mumewe ni kama kaioa kabisa nyumba ndogo na kahamia huko, hawajafunga ndoa na bi mkubwa. Vitu vingine vinatolewa kwa mkubwa vinapelekwa kwa mdogo, hali ambayo ikawa inamuumiza sana A. Sasa A ana rafiki yake B, huyu B akawa anamsema sana A. Kwa nini unajistress hivyo, hela ya kula hupewi, huna nyumba ya kuishi, sijui watoto hawasomi? Etc

Siku hiyo B akanotice mumewe ana nyumba ndogo, kaiba namba kaipigia. Nyumba ndogo kapokea kwa bashasha na namba ya mama B alishapewa na Mzee. Kapokea eeh mama fulani (B), sijui pole na hongera (alijifungua last born kwa c section), ndo kujitambulisha me ni mke mdogo and najua Mna watoto kadhaa, ila mtoto wa 3 sio mtoto wa mume wetu (B kuna kipindi mume alimtelekezaga, akapata sponsor ndo na baba wa huyo mtoto wa3, ila mume akaja akajirudi wakasameheana). B kukata simu na kilio na presha juu, sio kwa kutolewa hadi siri ya mwanae watatu. Ndo nikakuta A anamcheka sasa "wewe nini kujitia stress, hauli? Huna pa kuishi? Watoto hawasomi? . Huwa naimagine mtu anayesema "mimi as long as mume ananijali na wanangu akichepuka hata sijali", like seriously wewe umefuata kula tu kwa mumeo so roho haiumi? Anyway we differ
Hahaaaa!! Nacheka kama mazuri!!
Haya mambo jamani, ndio maana hii taasisi haina thamani tena.
 
Huh!, asee kweli we differ. Na pressure zote hizo usijali? hapana bwana wakati mwingine ni denial tu because there is nothing much someone can do, to change the situation.
Sasa imagine pressure zote hizi ambazo mtu anaweza kupata halafu alisema hajali?
Kwa kweli Mungu Asaidia mahusiano, Aliyoyaweka mwenyewe kwa faida yetu.
Kusema haujali hapana jamani, kujali lazima ila unakuta ndio mtu kishajikatia tamaa yupo tu ilimradi nae kaolewa atafanyaje sasa!! Mapenzi yalishakwisha yamebaki mazoea tu ilimradi siku ziende.
 
Kuna hawa wamama wawili walinichekesha hadi basi. Huyo mama A mumewe ni kama kaioa kabisa nyumba ndogo na kahamia huko, hawajafunga ndoa na bi mkubwa. Vitu vingine vinatolewa kwa mkubwa vinapelekwa kwa mdogo, hali ambayo ikawa inamuumiza sana A. Sasa A ana rafiki yake B, huyu B akawa anamsema sana A. Kwa nini unajistress hivyo, hela ya kula hupewi, huna nyumba ya kuishi, sijui watoto hawasomi? Etc

Siku hiyo B akanotice mumewe ana nyumba ndogo, kaiba namba kaipigia. Nyumba ndogo kapokea kwa bashasha na namba ya mama B alishapewa na Mzee. Kapokea eeh mama fulani (B), sijui pole na hongera (alijifungua last born kwa c section), ndo kujitambulisha me ni mke mdogo and najua Mna watoto kadhaa, ila mtoto wa 3 sio mtoto wa mume wetu (B kuna kipindi mume alimtelekezaga, akapata sponsor ndo na baba wa huyo mtoto wa3, ila mume akaja akajirudi wakasameheana). B kukata simu na kilio na presha juu, sio kwa kutolewa hadi siri ya mwanae watatu. Ndo nikakuta A anamcheka sasa "wewe nini kujitia stress, hauli? Huna pa kuishi? Watoto hawasomi? . Huwa naimagine mtu anayesema "mimi as long as mume ananijali na wanangu akichepuka hata sijali", like seriously wewe umefuata kula tu kwa mumeo so roho haiumi? Anyway we differ
Hua tunajifarijigi tu my dear ila hakuna mwanamke ambae anajua kabisa mumewe anachepuka awe na amani pamoja na kwamba unahudumiwa kila kitu
 
Habari za jumapili wapendwa!

Kuna tukio lilinitokea na through that nikapata funzo kubwa tu.

Nina rafiki yangu(class mate) tulikuwa marafiki tangu shule, ila baada ya kuhitimu tukapotezana na hatukuwa na mawasiliano. Tukaja kuonana tena baada ya kama miaka 9 akiwa katika mchakato wa kuoa, urafiki ukarudi na tukawa na mawasilianao ya karibu tu. Baada ya kufunga ndoa nilianza kuweka kadistance maana mazoea sana na waume za watu sio mazuri.

Kuna kipindi alikuwa na wazo fulani kuhusu biashara na alinishirikisha tukashauriana vizuri na biashara ikafunguliwa na ikawa ikienda vyema.
Alipenda kunipa updates za hiyo biashara, na baadae akamuachia mkewe(wifi) aiendeshe then akawa na wazo lingine la project nyingine kubwa zaidi ambayo ingekwenda vizuri alikuwa na plan ya kuacha kazi ya kuajiriwa na kuiendesha mwenyewe.

Kutokana na kunishirikisha kwa karibu sana mambo yake, nikagundua mazoea yanakolea zaidi, nikaanza kumpotezea nikitambua yeye mtu mzima ataelewa tu. Alianza kulalamika sana maana mara nyingi nilikuwa sipokei call zake wala kujibu text zake, ikabidi nimwambie tu ukweli kuwa nisingependa hayo mawasiliano ya karibu namna hiyo. Japo kwa uchungu alinielewa ila aliomba sana nisipoteze mawasiliano nae kabisa.

Baada ya kama mwezi hivi nilipokea simu kutoka kwa mkewe akilalamika sana na kunilaumu akihisi nina mahusiano na mumewe, ilibidi nimtulize munkari then tulonge taratibu kiutu uzima.
Alilalamika kuwa kuna mambo mengi ambayo emekuta ktk mawasiliano baina yangu na mumewe ambayo yeye binafsi hayajui na hajawahi kushirikishwa. Hapo sasa ndio ikabidi niongee nae na kumuuliza vizuri kuhusu mawasiliano baina yake na mumewe, nikagundua sio supportive kwa mumewe na huwa hayaamini mawazo ya mumewe.

Sasa nilichojifunza ni kwamba mwanaume anapenda sana kusikilizwa,kuheshimiwa na kuaminiwa. Anaweza akaja na wazo lake ambalo ukiliangalia harakaharaka unaona kabisa hapa hakuna kitu, sasa sisi wanawake huwa tuna tabia ya kuwakatisha tamaa, unaweza kuguna mguno classic au kucheka kabisa kwa dharau kumuonyesha kuwa wazo lake ni la hovyo kabisa, ilihali hata wazo mbadala pia hauna.

Mpe nafasi ya kumsikiliza, then kama atakuomba ushauri mpe kama hauna bora umshauri atafute ushauri pahali sahihi, mtie moyo na umuamini kuwa anaweza, hata kama alikuwa na hofu na wazo lake kwa kumtia moyo na kumuamini itampa ari ya kulifanyia kazi vizuri zaidi.

Wakati mwingine tunaweza kuwa tunazima ndoto za akina Mengi wengi tu bila kujua kuwa kwa support yetu wangefika mbali sana. Hata akishindwa kwa mara ya kwanza mtie moyo na mwambie ajaribu tena na tena na atafanikiwa. Sio ndio unaanza na maneno kama "nilijua tu usingefika kokote"!!

Kama ulimuamini na kumchagua yeye kati ya wengi,basi hauna budi kuyaamini mawazo yake pia. Kuwa msaidizi ambae kila wakati atajivunia kuwa nae, hata akikengeuka akikumbuka mazuri yako mengi hakika atajirudi tu.
Mleta mada wewe ni "wife material".
Kama hujaolewa na huna mchumba, hakika kwa hii post utapata humu humu. Mungu akutangulie upate wa haja ya moyo wako. Kama unaye tayari basi hongera zake kwa kupata dhahabu adimu ndani ya tope!
 
Tunakumbushana tu.
 
Hua tunajifarijigi tu my dear ila hakuna mwanamke ambae anajua kabisa mumewe anachepuka awe na amani pamoja na kwamba unahudumiwa kila kitu
Kwakweli, mtu ulompenda na kuamua kuspend the rest of yo life with eti awe anachepuka usijali!!! Unakuwa unaungua ndani kwa ndani ila ndio hivyo inabidi ujipe tu moyo maana hamna namna.
 
Mamito kwa nn unampotezea mtu..Hiyo ni dalili ya udhaifu teh..Ulidhani siku moja unaweza kuingia line ama?
 
And maybe unakuta mtu ndio anamtegemea mume A-Z, yaani basi yumo anaishi tu kwa matumaini.
Kuna wanawake wengi leo wameamua tu "kudumu" katika ndoa kwa sababu tu anawaza nikiondoka hapa, ntaanzaje anzaje, ni apeche alolo. Financial independence ya muhimu sana tu, not necessarily kwa sababu ya kuogopa manyanyaso.
 
Mamito kwa nn unampotezea mtu..Hiyo ni dalili ya udhaifu teh..Ulidhani siku moja unaweza kuingia line ama?
Hahahaaa!!
Nina sababu zangu baba.
Good morning.
 
Hua tunajifarijigi tu my dear ila hakuna mwanamke ambae anajua kabisa mumewe anachepuka awe na amani pamoja na kwamba unahudumiwa kila kitu
That's the bitter truth. Hukawii kuambiwa you talking too much coz ndoa huna ahha
Kwakweli, mtu ulompenda na kuamua kuspend the rest of yo life with eti awe anachepuka usijali!!! Unakuwa unaungua ndani kwa ndani ila ndio hivyo inabidi ujipe tu moyo maana hamna namna.
 
Kuna wanawake wengi leo wameamua tu "kudumu" katika ndoa kwa sababu tu anawaza nikiondoka hapa, ntaanzaje anzaje, ni apeche alolo. Financial independence ya muhimu sana tu, not necessarily kwa sababu ya kuogopa manyanyaso.
Ni muhimu mnooooo!! Inakuepusha na mengi kwakweli. Nafurahi ninapoona wanawake wameamka hawajibweteki tena, hata heshima inakuwepo.
 
Back
Top Bottom