blessed chiqqah
Senior Member
- May 19, 2024
- 135
- 381
Habari ya sikukuu wana jf wote bila shaka mko salama leo mmetulia majumbani hadi raha..
Niende straight kwenu wanawake wenzangu hivi nini huwa sababu ya kumzungusha mwanaume anapokutongoza?
Yaani mtu amekupenda au amekutamani amekupa sera zake pengine umezielewa lakini kukubali mpaka upige danadana pengine mpaka miezi inakuaga kwa ajili ya nini haswa😀😀
je ndio haiba ya kike?
mnakua mnachunguza?
inaongeza hadhi au thamani?
inafanya mtu azidi kukupenda?
au ni mapozi tu?
Na nyie ndugu zangu wanaume kipi huwa bora kwenu
anaekubali au kukataa straight ama anaepiga danadana ?