Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] daby una maneno weweePuliiiiz mimi sio kijana nina miongo yangu ya kutosha au kisa wote tuna tumia tecno alaji?
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] daby una maneno weweePuliiiiz mimi sio kijana nina miongo yangu ya kutosha au kisa wote tuna tumia tecno alaji?
Yes,for sureSio kama namtetea, ila kuna wanawake akikuta tu namba yako kwenye simu ya mpenzi wake (sio mume), utakoga matusi ukome. Plus IMO, I don't think it's wise kudeal na mwanamke mwingine, instead of kudeal na mumeo anayekuhusu, yeye ndo wa kuweka limit dhidi ya wanawake wa nje
Hakuna shida mambo yangu yananiendea! Utaratibu ninaoishi mimi ni vigumu sana kuishi na wadada wa sasa....Huwa sina msamaha na mwanamke anaechepuka na wala sitabadilika.Utabadilisha mpaka lini?
Marahaba mdogo wangu...sijui leo upo karibu ya nanShikamoo!
Mhmhmhmhmh yaani unaroho ngumu
Na mara nyingi aina yako hawafanikiwi
Maana leo umenipa heshima yangu... mdogo wanguYa wanafunzi.
TehHahahaaa! You wish uh!!
Nimepewa nyingi sana imebidi nikugawie na wewe.
Vyote vinavyogawikaUnataka nikugawie na nini?
Hewaala.Haya nitakugawia.
Wewe jana si ulikuwa unasema sijazaliwa na baba yako au?Mmmh! Sio kila tulivyonavyo maana yo my blood bro.