Sio kama namtetea, ila kuna wanawake akikuta tu namba yako kwenye simu ya mpenzi wake (sio mume), utakoga matusi ukome. Plus IMO, I don't think it's wise kudeal na mwanamke mwingine, instead of kudeal na mumeo anayekuhusu, yeye ndo wa kuweka limit dhidi ya wanawake wa nje
Hao wanawake wa dizain hiyo mimi huwa nahis wa sociological problem ni tofauti na mwanamke ambaye yupo sawa kifikra na kiakili, katika hali ya kawaida huwezi kuta namba ya Mwanamke kwenye cm ya mumeo ukaanza ku react sidhani lazima uwe na tatizo,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahha daah kuna watu ni raha sana. Ila kweli, mali bila daftari. ....wacha akeep mahesabu tu lol
Yaani huyu hata Mimi namkubali. Kulikuwa kuna issue ya shamba tuuziwe. Kumpeleka kwenda kuliona, akasema ni msitu na lazima kuna chatu, tutaliwa. Mi nikalipia kiubishi. Msimu wa kwanza tumepata gunia 27 za mahindi. Nikamshauri tuweke store kulekule bush. Asilazimishe tuzilete Dsm zikae store na msimu wa njaa tuziuze. Eti kule bush zitaibwa.Yaani hachezi mbali kabisa, maana mahesabu yasije kwenda kombo bureee!!
Ni kweli. Ila kuna wengine insecurity ni tatizo kubwa kwao.Wadada niongeze hili kidogo, mwanamke ku mind simu ya mpenzi wake kama kuna namba za wadada au kuto mind inategemea na tabia ya mpenzi wake. Mdada akijua mwanaume wake sio mtulivu lazima atashtuka na ku mind kama kuna contacts za wadada kwenye simu.
Gal kama ntakuta vitu vibaya , kumind hata mimi ntamind, na huyo bwana mkubwa ntamkaanga tu bila mafuta. But can't call another lady eti leave my man alone, God forbid. He personally has to draw a line dhidi ya wanawake wengine, otherwise kama sio mtulivu leo nakupigia wewe "leave my man", kesho nakuta ni espy namcall pia "leave my man", Abeg is he my man or our man? Kama kaamua kuwa public pizza utawazuia watu kumu-order? Na hao wanawake wenyewe utakaowapigia Omba wawe wapole, otherwise utakula vichambo upate na kichaa akhuuuWadada niongeze hili kidogo, mwanamke ku mind simu ya mpenzi wake kama kuna namba za wadada au kuto mind inategemea na tabia ya mpenzi wake. Mdada akijua mwanaume wake sio mtulivu lazima atashtuka na ku mind kama kuna contacts za wadada kwenye simu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani huyu hata Mimi namkubali. Kulikuwa kuna issue ya shamba tuuziwe. Kumpeleka kwenda kuliona, akasema ni msitu na lazima kuna chatu, tutaliwa. Mi nikalipia kiubishi. Msimu wa kwanza tumepata gunia 27 za mahindi. Nikamshauri tuweke store kulekule bush. Asilazimishe tuzilete Dsm zikae store na msimu wa njaa tuziuze. Eti kule bush zitaibwa.
Yeah sure ni muoga mwaya. Ila uzuri ni mwanamahesabu mzuri tu lol. Wewe ukiwa na idea, iexecute tu ikisimama kauoga kanamtokaHuyo ni muoga wa kuthubutu, ila anapenda matunda ya uthubutu(wa mwingine). Sasa watu kama hao ndio wahusika wakuu wa hii mada. Bahati nzuri wewe sio mtu wa kukatishwa tamaa, lasivyo hali ingekuwa tete.
Yaani huyu hata Mimi namkubali. Kulikuwa kuna issue ya shamba tuuziwe. Kumpeleka kwenda kuliona, akasema ni msitu na lazima kuna chatu, tutaliwa. Mi nikalipia kiubishi. Msimu wa kwanza tumepata gunia 27 za mahindi. Nikamshauri tuweke store kulekule bush. Asilazimishe tuzilete Dsm zikae store na msimu wa njaa tuziuze. Eti kule bush zitaibwa.
Mwenye commitment alinde hiyo commitment, atambue mipaka yake.Gal kama ntakuta vitu vibaya , kumind hata mimi ntamind, na huyo bwana mkubwa ntamkaanga tu bila mafuta. But can't call another lady eti leave my man alone, God forbid. He personally has to draw a line dhidi ya wanawake wengine, otherwise kama sio mtulivu leo nakupigia wewe "leave my man", kesho nakuta ni espy namcall pia "leave my man", Abeg is he my man or our man? Kama kaamua kuwa public pizza utawazuia watu kumu-order? Na hao wanawake wenyewe utakaowapigia Omba wawe wapole, otherwise utakula vichambo upate na kichaa akhuuu
Kwa kweli Mungu atupe akili njema tu ya kudeal na hayo mambo, otherwise unaweza kuwehukaMwenye commitment alinde hiyo commitment, atambue mipaka yake.
Kuanza kusumbuana na watu usio na commitment nao ni kujitafutia kichaa cha bureee!! Kuna dada mmoja kajikuta kagombana na kila ane mzunguka maana mumewe ni public property, sio wadogo zake, marafiki,majirani nk.
Mpaka akili ilipomjia kuwa anadeal na wrong enemy ilimchukua muda ndio akaanza kudeal na tatizo sasa. Angalau kuna unafuu.
Hilo suala la mambo kuja katikati lipo pande zote, ila ndio ubinadamu huo hatujakamilika. Hivyo inapaswa tu busara kutumika na kutatua changamoto zinazojitokeza. Lasivyo ndio vile tena!!Wewe una Akili sana,Naunga hoja 100% Ukiona mwanaume amekuja kwako kwa lengo la kimaisha ujue Ana syllabus nzima ya jinsi mtakavyoishi ila kuna mambo huwa mnayaleta katikati ya safari yanatubadilisha kabisaaaa!
Ni kweli. Ila kuna wengine insecurity ni tatizo kubwa kwao.
Gal kama ntakuta vitu vibaya , kumind hata mimi ntamind, na huyo bwana mkubwa ntamkaanga tu bila mafuta. But can't call another lady eti leave my man alone, God forbid. He personally has to draw a line dhidi ya wanawake wengine, otherwise kama sio mtulivu leo nakupigia wewe "leave my man", kesho nakuta ni espy namcall pia "leave my man", Abeg is he my man or our man? Kama kaamua kuwa public pizza utawazuia watu kumu-order? Na hao wanawake wenyewe utakaowapigia Omba wawe wapole, otherwise utakula vichambo upate na kichaa akhuuu
Mwenye commitment alinde hiyo commitment, atambue mipaka yake.
Kuanza kusumbuana na watu usio na commitment nao ni kujitafutia kichaa cha bureee!! Kuna dada mmoja kajikuta kagombana na kila ane mzunguka maana mumewe ni public property, sio wadogo zake, marafiki,majirani nk.
Mpaka akili ilipomjia kuwa anadeal na wrong enemy ilimchukua muda ndio akaanza kudeal na tatizo sasa. Angalau kuna unafuu.
Unawehuka kama kidogo sasa!! Neema ya Mungu inahitajika kwa kiasi kikubwa sana. Wapo wanaowehuka kabisa masikini.
Kwa kweli Mungu atupe akili njema tu ya kudeal na hayo mambo, otherwise unaweza kuwehuka