Wanawake wenzangu kujeni tutete kidogo!

Wanawake wenzangu kujeni tutete kidogo!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Mbona wacheka? jamaa kasema mke wake hawezi mshauri, nina uhakika kuna mtu anamshauri ... na pia, mke wake anatafuta ushauri kwa shemeji zake na wakaka wa mtaani wauza chips
 
Mbona wacheka? jamaa kasema mke wake hawezi mshauri, nina uhakika kuna mtu anamshauri ... na pia, mke wake anatafuta ushauri kwa shemeji zake na wakaka wa mtaani wauza chips
Ni shidaah, kuna muda waweza jihisi upo sahihi kumbe ndio unazidi kuharibu familiar yako,
 
Aise dada mtu inabidi uanze mambo. Maana mmh ngoja nimezee tu
Bahati nzuri ninao kaka wengine, hivyo sina hofu sana ya kuitwa aunty, ila kwa huyu[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Najua umeshalishwa umbea na shoga yako umeshakuwa mshoga...

Jua tu kaa hapa na mimi nikae hapa tumfinye mchawi wetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Daah hicho kitendawili kimenikumbusha mbali!!
 
Hapana unakosea espy
Mwanamke akiwa na mume lazma anakuwa na high capacity of thinking tofauti na mwanamke ambaye ni single,
Yani imebidi nicheke tu kwakweli. Haya.
Mmmh so usipoolewa, thinking capacity yako ndo inakuwa low or dormant kabisa? Sometimes marriage has absolutely nothing to do with someone's thinking capacity
Dota hii ni mupya walah!! Kama nakuona na kathinking capacity kako hakajai hata kisoda[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sio kama namtetea, ila kuna wanawake akikuta tu namba yako kwenye simu ya mpenzi wake (sio mume), utakoga matusi ukome. Plus IMO, I don't think it's wise kudeal na mwanamke mwingine, instead of kudeal na mumeo anayekuhusu, yeye ndo wa kuweka limit dhidi ya wanawake wa nje
Dota mie hilo la msg imebidi niache kulijibu kabisaaaa, maana itanitoa kwenye mada. Na ninajua hakuna mahusiano ya wanachoongea na msgs husika.
 
Yani imebidi nicheke tu kwakweli. Haya.

Dota hii ni mupya walah!! Kama nakuona na kathinking capacity kako hakajai hata kisoda[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahha nahisi yangu ni negative kabisa.
 
Daaah!! Leo mejifunza kitu kipya, kumbe ndio maana unatusumbua kila siku, Benny achangamke tu kabla haujatuletea balaa.
Hivi angalau nikiwa engaged si itaanza kuja kuja? Nijiandalie tu surprise engagement mimi mwenyewe
 
Back
Top Bottom