Wanawake wenzangu kujeni tutete kidogo!

Wanawake wenzangu kujeni tutete kidogo!

Yule sijamkataa, ila unamlaghai mtoto wa watu, mwisho tuonekane wabongo wote viruka njia, au haujui unaliwakilisha taifa?
Umemkataa yupi? Eeeh sis unamambo
 
Huyu ndugu yako ni kichomi aise. Jiandae kuletewa vitoto mana najua uwezo wa kulea wala kutunza hana
Alafu sijui ndio vile tena!! Ujue hata katoto ka kusingiziwa hana na kupuyanga kote huko[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Sawa, ila sio kila mtu anahitaji mawazo ya mwanamke kufanya issues zake.
Ila mkiharibu huko ndiyo mnakuja kulia kwa wake zetu hapohapo unataka faraja yake[emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Tabia ya wanawake watoa ushauri huwa wanatiwa na wanaowapa ushauri,Mara nyingi hupenda kuongozana na waume za watu,Mara nyingi hujitahidi kuonesha kua wake zao wanakosea
 
Back
Top Bottom