Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,466
- 13,031
Mke ni mshauri wa mume, nafasi hiyo ukiichezea akaipata mwingine ni balaa hilo ktk ndoa hiyo.
Yeah, tena mshauri namba moko. Kwa hiyo inabidi akili ku mkichwa ili usimkatishe tamaa hata kama unaona kitu hakifai.
Na ndio maana 'beside' any strong man, there is a strong woman.