Wanawake wenzangu kujeni tutete kidogo!

Wanawake wenzangu kujeni tutete kidogo!

Haha...
Najua hapo umenitukana kwa sauti nyororo na sauti kama hizo huwa maombi yao hayasikilizwi.

Kwa usalama wa viungo vyako gonga like kesho nikauze kandama kamoja nikujazie mpesa yako vale.
Huyo ndama utamuiba wapi?
 
Napata shida kuamini wewe ni ndugu yangu. Lazima utakuwa mtoto wa nje tu. Maana sio sura hata swagga hatufanani
Alafu mie ni copy ya baba, mama zetu itakuwa tofauti.
 
Hivi unataka nikutongoze dada? Mbona unahaijack mitongozo ya mdogo wako.

Cc Shunie uje ubabe shangazi yako ananyima uhuru
Kwani valey unamtongoza?
Hizo pesa za kumhonga unazo kwanza? Au unataka kutuletea balaa tu!
 
Kwani valey unamtongoza?
Hizo pesa za kumhonga unazo kwanza? Au unataka kutuletea balaa tu!
Mbona unamaswali mengi kama clinic?
Kwqni hata akinipa bure wewe shida nini
 
Mbona unamaswali mengi kama clinic?
Kwqni hata akinipa bure wewe shida nini
Kukupa bure hawezi!
Na hayo maswali ya clinic uliyajulia wapi my kaka?
 
Kwani wewe ndiye mjibu mitongozo ya vale sis?

Kuna wifi yako nilimpleka
Mie msemaji wake.

Oooh!! Wenzio wanaweka mambo wewe unapeleka clinik!! Good boy.
 
Nimeipenda sanaa but hamuezi kuendana kila kitu ila lazima mtapata changamoto so uvumilivu apo ndo unatakiwa na kukubari kurekebishana
 
Back
Top Bottom