Wanawake wenye kucha za bandia kuweni makini kwenye daladala

carnage21

JF-Expert Member
Jan 24, 2023
520
1,257
Aloo nilichokutana nacho leo balaa, nawaombeni wadada mnaoweka hizi kucha za bandia kuweni makini kwenye sehemu zenye mkusanyiko wa watu. Leo nimekoswa kutobolewa macho kwenye daladala.

Sawa tunajua mnataka muonekane warembo, ila basi jaribuni kulinda usalama wetu sisi wengine. Sio kwamba nawataka msiweke hizo kucha zenu bali nahitaji muwe wastaarab, sisi wengine bado wadogo jaman tuna ndoto zetu. leo ukinitoboa macho nitaishije.

Unakuta mtu ana kucha kama hizi halafu anakaa kindezi tu.

FB_IMG_16853452600994941.jpg
 
Siyapendi haya makucha
Ila napenda kuyaona akishikilia maiki namna hiii👌
Hiiiiiiih raha kweri kwer
 
Aloo nilichokutana nacho leo balaa, nawaombeni wadada mnaoweka hizi kucha za bandia kuweni makini kwenye sehemu zenye mkusanyiko wa watu. Leo nimekoswa kutobolewa macho kwenye daladala.

Sawa tunajua mnataka muonekane warembo, ila basi jaribuni kulinda usalama wetu sisi wengine. Sio kwamba nawataka msiweke hizo kucha zenu bali nahitaji muwe wastaarab, sisi wengine bado wadogo jaman tuna ndoto zetu. leo ukinitoboa macho nitaishije.

Unakuta mtu ana kucha kama hizi halafu anakaa kindezi tu.

View attachment 2639038
Huo sio urembo ni ushamba na urimbukeni,wachafu sana hao sehemu zao siri zinanuka
 
Back
Top Bottom