TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 5,791
- 10,401
Hii saa tano kasoro, natoka Ledgers Plaza Bahari Beach, kufanya zinaa na mwanamke asiye mke wangu, ila tu ni hawara.
Kiburi na dharau na jeuri ya mke wangu inanifanya nipoteze hamu naye kabisaaa. Mwanamke ana gubu, ana matusi, ana masimango na kila kitu cha pepo mchafu, licha ya kwamba ana mazuri yake mengi kuliko mabaya.
Kwa uzoefu wangu hawa wadada warembo nimepita nao wengi wa kutosha, unaingia gharama kubwa, uvunguni hawana miujiza.
Ila watoto wa Uswahilini ni wajuzi sana ila wachawi sana, hukawii kuikimbia familia.