Part Two: Movies za kutazama na mpenzi wako. Usitazame na watoto

SteveMollel

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
8,666
24,691
Usije sema hukuambiwa. Kama kawaida huku ni nyama nyingi, ugali kidogo.

1. SECRETARY

Baada ya kutoka hospitali ya magonjwa ya akili kwasababu ya tabia ya kujidhuru mwenyewe, sasa bibie Lee anataka kuyaishi maisha kama mtu wa kawaida.

Anautafuta ujuzi wa uchapaji (typing) kisha anaomba kazi ya usecretary kwenye ofisi ya mwanasheria Edward Grey.
-5879960024254628527_121.jpg

Hapo anapata kazi kwa sifa zake. Grey anasema kafaulu vema kuliko mtu yeyote aliyewahi kumfanyia usahili na basi Lee anaanza kufanya kazi mara moja.

Ila tatizo la Lee ni kwamba ana makosa mengi ya kiuandishi (typos). Boss anakwazika naye mwanzoni lakini kadiri anavyokaa na mwanamke huyu anabaini ana kitu fulani anachokipenda mno kwa wanawake, nacho si kingine bali utiifu wa hali ya juu.

9ec2bd559f941e13f0edd03ca96863d8.png

Secretary huyu yeye hanuni. Hamkatalii kitu boss wake. Hatikisi kichwa wala kubisha. Ndio, bwana. Bwana, ndio.

Hiki kitu kinamfanya boss Grey kupata raha ya ajabu. Raha ambayo haishii kichwani bali inashuka mpaka huko chini.

Ubaya naye Secretary havungi, boss ukiitaka akha! We chukua tu. Basi ofisi inageuka kuwa uwanja wa fujo.

Fujo zisizoumiza.

2. QUEEN OF HEARTS

Ndoa ya Anne na Peter inaanza kuingia doa baada ya mtoto wa nje wa Peter, kijana Gustav, kuhamia nyumbani akitokea nchini Sweden alipokuwa anaishi na mama yake mzazi.

Siku moja Anne anarudi nyumbani na kugundua kuna wizi umetokea, anatoa ripoti polisi, lakini baadae anapata ushahidi kumbe ni Gustav ndo' amehusika na tukio.

Kwahiyo anamwambia Gustav, nitakutunzia siri yako lakini kwa sharti, nataka uwaoneshe upendo watoto wangu mapacha.

Gustav anakubali. Sharti dogo hili, halina shida.

Lakini siku moja, sharti lingine linamjia Anne kichwani pale anaposikia sauti za mahaba toka chumbani mwa Gustav.

Usiku huo Gustav alikuwa amevusha chombo yake fulani hivi inayoitwa Amanda.

Basi Anne akapandwa na hamu kali, naye akataka vilevile kama Amanda anavyopewa.

Anapokuja kupata wasaa, watu hawa wawili wanaishia kuitengeza siri ya pili.

Siri ya mapenzi kwa sharti.

Mtoto anaishiwa kuwa mume mwenza wa baba yake.

Sasa siri zao zitaishia wapi na huku mama ananogewa na nguvu za kijana mchanga Gustav kunako kitandani?

3. LOVE MACHINE

Pavel ni director na anafanya kazi na mpenzi wake, Natalie, ambaye ni mwigizaji. Kwa pamoja wanarekodi story ya maisha yao.

Sasa baadae Pavel anataka kuachana na Natalie na kuwa na mwanamke mwengine. Anamtaka Natalie atoke nyumbani kwake ili awapishe lakini Natalie anatia ngumu.

Anasema story yao bado haijaisha hivyo haendi popote.

Pavel anaona isiwe shida, anahamia kuishi kwa mwanamke wake mpya na maisha yanaendelea.
Mwaka mmoja baadae, Pavel anakutana na Natalie na wanajikuta wanaingia tena mzigoni kuendelea kuirekodi story yao.

Mara hii story inafanyiwa marekebisho kwasababu ya mapito walovuka lakini pia mtindo wanaoutumia sio ule tena wa mwanzo bali French wave.

Yani humu hamna tena vya chumbani, vyote vinaanikwa sebuleni.
Na hapa ndo' kwenye utamu wake. Mchele kwenye kuku wengi. Story ndani ya story na hamna kuruka kitu.

4. ALL LADIES DO IT

Shida ya mke na mume; Diana na Paolo, ni moja. Mapenzi yao yamepoa sana yaani kama unatembea na kasisi. Hayana amsha amsha wala msisimko.

Sasa anachokifanya Diana ili kunogesha mambo yao ya kitandani, anakuwa anamsimulia mume wake story kali za huba zenye kuzibua mishipa ya hamu za tendo tukufu.

Lakini baadae, kwa ushawishi wa rafiki yake, Diana anaanza kuutafuta huo msisimko nje ya ndoa. Anagawa pipi kwenye kila mkono akitafuta vitu vipya vyenye maraha.
Vitu vya kumfanya aachame mdomo na kurembua macho kwa utamu.

Na anavyovifanya anakuja kumwadithia mume wake Paolo ili kumpa mshawasha, Paolo akidhani hizi ni story tu za namna mkewe anavyopenda kufanywa kumbe ni kweli anafanywa hivyo huko nje.

Siku moja Diana anarejea akiwa na love bite shingoni na hapo ndo' Paolo anashtuka. Kumbe ni kweli? Yani story zote zile kumbe ni mwake mwake babake?
Anamtimua Diana lakini atampata wapi kama yule? Diamond aliimba.

Na Je, kumfukuza Diana ndo' kutamfunza au ndo' kumpeleka vizuri kwenye mikono ya mafisi?

5. 9 SONGS*

Wazungu hawana mambo mengi, mambo ya ooh ngoja nikufikirie ni ya wakina Mwantumu huko kwenu.

Matt na Lisa wanapokutana kwenye tamasha la muziki, wanaelewana na hata hawanyimani.

Ya nini umnyime mwenzio wakati hiko ulichobeba ni kwaajili yake?

Alimradi kuna 'chemistry' na vibe basi wanaonjana siku hiyohiyo na huo unakuwa mwanzo wa mengi yanayokuja.
Kazi yao inakuwa ni kuhudhuria haya matamasha, jumla matamasha tisa na nyimbo zake tisa, na huku wakirejea nyumbani wanakuwa na tamasha lao binafsi.

Cha kufahamu ni kwamba, sex zote ambazo zipo kwenye hii movie ni sex halisi (unsimulated sex). Hawajaziigiza bali wamezifanya kweli.
Nitakuja na uzi wa movies hizi siku nyingine.

Download hii and enjoy vitu 'orijino' mwanetu.

6. DIET OF SEX

Agatha amechoka kubadili vitanda kwa vitanda na kubadili waume kwa waume. Sasa ameamua atulie sehemu moja apambane na shida yake badala ya kuikimbia.

Shida yenyewe ni Agatha hasikii raha yoyote akifanya mapenzi na ubaya zaidi hajui ni nini kinachopelekea mateso haya.

Yani inaingia vizuri lakini hasikii kitu. Jambo hili linatishia raha ya ndoa yake.

Kwasababu hii, mumewe anafanya namna ya kuonana na mtaalamu wa mambo yetu yale, yaani sex therapist, ili apate ushauri wa kitaalamu na tiba.

Imagine mtu anaenda chuoni kusomea kozi ya kutiana. Hivi huku kwetu mzazi wako atakulipia ada kweli? Baba nataka nikasomee minjunjano, si unataka laana mwanetu?

Sasa mtaalamu anampa ushauri mume wa Agatha, mambo ya kufanya ili kurudisha hamu na raha ya mkewe.

Humu ndo' utajua kumbe kuna kitu kinaitwa Diet ya mapenzi (diet of sex). We si ushazoea diet za chakula, haya kula chuma hiko.
 
Kama nakuona ulivyokuwa unanyetuka..😅

Hizi Muvi kama umeangalia kweli bila kunyetuka basi ww ni wa Peponi.. tembea kifua mbele.
 
Usije sema hukuambiwa. Kama kawaida huku ni nyama nyingi, ugali kidogo.

1. SECRETARY

Baada ya kutoka hospitali ya magonjwa ya akili kwasababu ya tabia ya kujidhuru mwenyewe, sasa bibie Lee anataka kuyaishi maisha kama mtu wa kawaida.

Anautafuta ujuzi wa uchapaji (typing) kisha anaomba kazi ya usecretary kwenye ofisi ya mwanasheria Edward Grey.

Hapo anapata kazi kwa sifa zake. Grey anasema kafaulu vema kuliko mtu yeyote aliyewahi kumfanyia usahili na basi Lee anaanza kufanya kazi mara moja.

Ila tatizo la Lee ni kwamba ana makosa mengi ya kiuandishi (typos). Boss anakwazika naye mwanzoni lakini kadiri anavyokaa na mwanamke huyu anabaini ana kitu fulani anachokipenda mno kwa wanawake, nacho si kingine bali utiifu wa hali ya juu.

Secretary huyu yeye hanuni. Hamkatalii kitu boss wake. Hatikisi kichwa wala kubisha. Ndio, bwana. Bwana, ndio.

Hiki kitu kinamfanya boss Grey kupata raha ya ajabu. Raha ambayo haishii kichwani bali inashuka mpaka huko chini.

Ubaya naye Secretary havungi, boss ukiitaka akha! We chukua tu. Basi ofisi inageuka kuwa uwanja wa fujo.

Fujo zisizoumiza.

2. QUEEN OF HEARTS

Ndoa ya Anne na Peter inaanza kuingia doa baada ya mtoto wa nje wa Peter, kijana Gustav, kuhamia nyumbani akitokea nchini Sweden alipokuwa anaishi na mama yake mzazi.

Siku moja Anne anarudi nyumbani na kugundua kuna wizi umetokea, anatoa ripoti polisi, lakini baadae anapata ushahidi kumbe ni Gustav ndo' amehusika na tukio.Kwahiyo anamwambia Gustav, nitakutunzia siri yako lakini kwa sharti, nataka uwaoneshe upendo watoto wangu mapacha.

Gustav anakubali. Sharti dogo hili, halina shida.

Lakini siku moja, sharti lingine linamjia Anne kichwani pale anaposikia sauti za mahaba toka chumbani mwa Gustav.

Usiku huo Gustav alikuwa amevusha chombo yake fulani hivi inayoitwa Amanda.

Basi Anne akapandwa na hamu kali, naye akataka vilevile kama Amanda anavyopewa.

Anapokuja kupata wasaa, watu hawa wawili wanaishia kuitengeza siri ya pili.

Siri ya mapenzi kwa sharti.

Mtoto anaishiwa kuwa mume mwenza wa baba yake.

Sasa siri zao zitaishia wapi na huku mama ananogewa na nguvu za kijana mchanga Gustav kunako kitandani?

3. LOVE MACHINE

Pavel ni director na anafanya kazi na mpenzi wake, Natalie, ambaye ni mwigizaji. Kwa pamoja wanarekodi story ya maisha yao.

Sasa baadae Pavel anataka kuachana na Natalie na kuwa na mwanamke mwengine. Anamtaka Natalie atoke nyumbani kwake ili awapishe lakini Natalie anatia ngumu.

Anasema story yao bado haijaisha hivyo haendi popote.

Pavel anaona isiwe shida, anahamia kuishi kwa mwanamke wake mpya na maisha yanaendelea.

Mwaka mmoja baadae, Pavel anakutana na Natalie na wanajikuta wanaingia tena mzigoni kuendelea kuirekodi story yao.

Mara hii story inafanyiwa marekebisho kwasababu ya mapito walovuka lakini pia mtindo wanaoutumia sio ule tena wa mwanzo bali French wave.

Yani humu hamna tena vya chumbani, vyote vinaanikwa sebuleni.

Na hapa ndo' kwenye utamu wake. Mchele kwenye kuku wengi. Story ndani ya story na hamna kuruka kitu.

4. ALL LADIES DO IT

Shida ya mke na mume; Diana na Paolo, ni moja. Mapenzi yao yamepoa sana yaani kama unatembea na kasisi. Hayana amsha amsha wala msisimko.

Sasa anachokifanya Diana ili kunogesha mambo yao ya kitandani, anakuwa anamsimulia mume wake story kali za huba zenye kuzibua mishipa ya hamu za tendo tukufu.

Lakini baadae, kwa ushawishi wa rafiki yake, Diana anaanza kuutafuta huo msisimko nje ya ndoa. Anagawa pipi kwenye kila mkono akitafuta vitu vipya vyenye maraha.

Vitu vya kumfanya aachame mdomo na kurembua macho kwa utamu.

Na anavyovifanya anakuja kumwadithia mume wake Paolo ili kumpa mshawasha, Paolo akidhani hizi ni story tu za namna mkewe anavyopenda kufanywa kumbe ni kweli anafanywa hivyo huko nje.

Siku moja Diana anarejea akiwa na love bite shingoni na hapo ndo' Paolo anashtuka. Kumbe ni kweli? Yani story zote zile kumbe ni mwake mwake babake?

Anamtimua Diana lakini atampata wapi kama yule? Diamond aliimba.

Na Je, kumfukuza Diana ndo' kutamfunza au ndo' kumpeleka vizuri kwenye mikono ya mafisi?

5. 9 SONGS*

Wazungu hawana mambo mengi, mambo ya ooh ngoja nikufikirie ni ya wakina Mwantumu huko kwenu.

Matt na Lisa wanapokutana kwenye tamasha la muziki, wanaelewana na hata hawanyimani.

Ya nini umnyime mwenzio wakati hiko ulichobeba ni kwaajili yake?

Alimradi kuna 'chemistry' na vibe basi wanaonjana siku hiyohiyo na huo unakuwa mwanzo wa mengi yanayokuja.

Kazi yao inakuwa ni kuhudhuria haya matamasha, jumla matamasha tisa na nyimbo zake tisa, na huku wakirejea nyumbani wanakuwa na tamasha lao binafsi.

Cha kufahamu ni kwamba, sex zote ambazo zipo kwenye hii movie ni sex halisi (unsimulated sex). Hawajaziigiza bali wamezifanya kweli.

Nitakuja na uzi wa movies hizi siku nyingine.

Download hii and enjoy vitu 'orijino' mwanetu.

6. DIET OF SEX

Agatha amechoka kubadili vitanda kwa vitanda na kubadili waume kwa waume. Sasa ameamua atulie sehemu moja apambane na shida yake badala ya kuikimbia.

Shida yenyewe ni Agatha hasikii raha yoyote akifanya mapenzi na ubaya zaidi hajui ni nini kinachopelekea mateso haya.

Yani inaingia vizuri lakini hasikii kitu. Jambo hili linatishia raha ya ndoa yake.

Kwasababu hii, mumewe anafanya namna ya kuonana na mtaalamu wa mambo yetu yale, yaani sex therapist, ili apate ushauri wa kitaalamu na tiba.

Imagine mtu anaenda chuoni kusomea kozi ya kutiana. Hivi huku kwetu mzazi wako atakulipia ada kweli? Baba nataka nikasomee minjunjano, si unataka laana mwanetu?

Sasa mtaalamu anampa ushauri mume wa Agatha, mambo ya kufanya ili kurudisha hamu na raha ya mkewe.

Humu ndo' utajua kumbe kuna kitu kinaitwa Diet ya mapenzi (diet of sex). We si ushazoea diet za chakula, haya kula chuma hiko.

Yaani nimezitafta ata moja sijaipata naombeni link wakuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom