Wanawake wengi Kanda ya Ziwa huweka ugoro sehemu za siri ili kujistarehesha

Duh hapo papuchi ukiikandika ugoro lazima ipige chafya na iteme mate kabsa
Kuna hawara yangu nilimgundua akivutia huko.

Kwa upendo na utulivu nikamuuliza sababu ya kufanya hivyo.

Akanieleza kuwa chanzo ilikuwa "kuchapusha" kizazi ili aweze kushika mimba, alikuwa hazai.

Yaani kina mama wenye matatizo ya kizazi, ugoro ni dawa ya uzazi kwa wanawake, maana kweli ilimpelekea kupata mtoto.

Baada ya kuzaa hakuweza kujinasua tena katika addiction hiyo, maanayake ni babkubwa kuliko ile ya kujushindilia mdomoni ama kujichafya puani.

Jaribu kuchunguza kwenye vituo vya kuuzia ugoro, wateja wengi ni wasichana dogo dogo na huwaoni wakivuta.

Na unaanza kujiuliza ni dawa ya nini hii wananunua!
 
Back
Top Bottom