Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,353
- 40,692
Hii hoja huwa inanishangaza sana. Kwamba mkiingia kwenye mahusiano maisha yenu yanaganda kumsubiri mwanaume?Mkitoboa mnatusahau
Sio wanawake pekee hata ndugu ukiwa masikini hawakutaki..Unadhani ni kwanini wanawake wengi miaka hii hawataki kuolewa na wanaume maskini wanao anzia chini !!?
Kwangu mimi naona umaskini unaanzia kichwani.Je, wewe baba mwenye binti utafurahi siku binti yako akikuletea mchumba hana kitu kabisa.
Umasikini ni laana, basi tu wengi wetu tunatokea familia masikini, tumekulia umasikini, tunazeeka na umasikini wetu hivyo tunaona kuwa masikini ni sifa chanya.
Kama huna uchumi unaotaka, unatakiwa utumaini kwamba ukifanya yaliyo ndani ya uwezo wako utafanikiwa.Ume sema kukosa matumaini ndio umasikini, hebu nieleezee matumaini na uchumi vime ingiliana vipi?.
Mgonjwa akienda kufanyiwa operation, ila haamini atapona huo nao ni umasikini?
Ikiwa kalipia fees zote, na yuko kwenye hospital bora!
Hebu lala ukiamka utaelewa vizuri, maana una kanganya mamboKama huna uchumi unaotaka, unatakiwa utumaini kwamba ukifanya yaliyo ndani ya uwezo wako utafanikiwa.
Vivo hivyo kwa mgonjwa anayejua hatopona, anatakiwa atumaini kwamba aliishi maisha mema ya kugusa watu, kisha awe na shukrani kwa uhai alioupata.
Kutumaini ni kuona jema kwenye kila jambo.
Sio wewe tu, nisha liona hilo kitambo.Kwangu mimi naona umaskini unaanzia kichwani.
Sasa huna jala utaopoaje pisi kali, si unatafuta kugongewa gongewa hovyo huku huna la kufanya.Hata wanaume maskini huwa wanasettle na wanawake wenye mionekano mibaya sio kwa kupenda ila kwa sababu ya Hali zao mbaya za kiuchumi.
Ndo maana wanaume wengi wakijipata haswa kiuchumi huwa wanaoa mke wa pili ambaye ni mzuri kimuonekano kuliko mke wa kwanza
Na jela au ukimbizi vina kuita, maana huwezi vumilia ngumi huku una panga mkononi.Sasa huna jala utaopoaje pisi kali, si unatafuta kugongewa gongewa hovyo huku huna la kufanya.
Its a norm, especially kwa mwanamke ambaye hayuko interested na wewe ili akufukuze kirahisi ataomba hela tu makusudi and she knows it will turn you off!The Haves and Have Nots lol 😆
Kwahiyo hakuna haja ya kutafuta mchawi nani basi ndomaana nakimbiwa sana😂😂kumbe shida ombaomba😝
Wakati mwanaume anapambanaWanaume wakifanikiwa wanakukimbia wanatafuta warembo wa mjini sasa.. unarudi zako kuanza upya na masikini mwingine🥲
You see, how confusing this is?Its a norm, especially kwa mwanamke ambaye hayuko interested na wewe ili akufukuze kirahisi ataomba hela tu makusudi and she knows it will turn you off!
Kwani hao vibopa wenye mawe wanaotoka na pisi kali unadhani hawagongewi?Sasa huna jala utaopoaje pisi kali, si unatafuta kugongewa gongewa hovyo huku huna la kufanya.
Na ukiwa na pesa halafu hauwaungii?Sio wanawake pekee hata ndugu ukiwa masikini hawakutaki..
Umasikini ni moto wa Dunia.
Anakuwa nyumbani akikuombea kwa Mungu upate riziki.Wakati mwanaume anapambana
Mwanamke anakuwa anafanya nini?
Sio kweli. Mwanaume uliyetafuta naye ni ngumu sana kukukimbiaWanaume wakifanikiwa wanakukimbia wanatafuta warembo wa mjini sasa.. unarudi zako kuanza upya na masikini mwingine🥲
Mbona mi na marafiki zangu wote tumekimbiwa🥲Sio kweli. Mwanaume uliyetafuta naye ni ngumu sana kukukimbia
Uko sahihi alafu wanaume watulivu wakiwa hawana ela wapate ela sasa ndo utaona rangizaoWapo sawa , umaskini sio jambo la kujivunia.