Sasa ndugu yangu, huyo kijana mwenye nidhamu zama hizi nae si kama hayupo tu, sisemi hawapo..ila wanatoweka!!Kama ni kijana mwenye nidhamu, mwenye uelekeo haina shida.
Umasikini ni default setting ya binadamu wote. Tuwe na imani kidogo.
Tuanze chini , tukijipata anaanzq kuongeza michepuko pesa inaenda nje , ndani unaanzq kuhangaika pesa yote njeUnadhani ni kwanini wanawake wengi miaka hii hawataki kuolewa na wanaume maskini wanao anzia chini !!?
Ndo ivo Cha msingi na wewe ujitume upambane usijisaulishe sana ukitegemea utaolewa na tajiri, utazeekea kwenuU get what u deserve.. Not what u expect! Hicho ndicho nilichojifunza kwa siku ya leo.. thanks muchh π
Kuelewesha vijana ni kazi sana ndugu yangu, mkijadili mada anakugeuzia kibao as if umemwambia unataka nini wakati ni mjadala mezani..
Sawa kila mtu ana pambana kivyake, sioNdo ivo Cha msingi na wewe ujitume upambane usijisaulishe sana ukitegemea utaolewa na tajiri, utazeekea kwenu
Maana wewe una mipango yako na MUNGU naye ana mipango yake, Pambana usitegemee sana mwanadam kisa ya utajiri wake au chochote.
Imagine sasa ndio umeenda na mume masikini ukweni anavyotumwa kupasua kuni na wewe siku nzima mafigani, wapanga mikakati wengine yani umasikini sio poa
Umeona eeh! Mambo ya ku-sugarcoat umasikini haitafaa kwa karne hiiTutafute hela wanaume tuache kelele na janja janja.
Maneno mengi huna hata afya, ninawasiwasi na wewe utakuwa ni kimbaumbau yaani tako emty umenyooka kama umepigwa pasi ndiyo maana huhitaji kuolewa kwa sababu unajua lazima utaumizwa tu.Ten toes down waiting for you hunny bunny
Ni ukosefu wa matumaini.Haya majadiliano yame nifanya niulize swali, umaskini ni nini?
ni fursa wakati wa kunyanduaHizi ndiyo mnaita fursa?
Wanaune wanaojielewa ni wa kuhesabu ila hawa wengi wanataka mwanamke mwenye pesa wakiamini hatokua na tabia za kuomba pesa kwa sababu wao wenyewe hawapo tayari kutoa pesa.Mwanaume rijali provider anaejielewa haangalii umaskini wa mwanamke kama kigezo cha kutokumchagua, linapokuja swala la sex au ndoa, wanaume wengi hatujali kama huna hela, huna nguo nzuri, huna kazi, huna pa kulala unalala chini ya mwembe, kikubwa sana kwenye macho yetu uwe na muonekano mzuri na tabia inayoridhisha Kelsea
πππππWanaume wakifanikiwa wanakukimbia wanatafuta warembo wa mjini sasa.. unarudi zako kuanza upya na masikini mwingineπ₯²
Wewe kijana muda mwingine uwe na adabu, usipende kukalili mambo ya nyuma ya pazia mimi tayari ni kibopa mjini na siyo marehemu mtarajiwa kama unavyoaminisha uma na kunipaka kinyesi hadharani.Au unakuta mtu anajiita mjusi sharobalo, hapo kweli kuna mwenye hela mtarajiwa
Siyo kweli, uzuri wa mwanamke ni sura na makalio, siyo hali yake ya kiuchumi wala mazingira na endapo atakuwa hana elimu kubwa sana huyo ndiye anafaa kwa familia bora maana anakuwa hana makuu.Umaskini sio sifa nzuri hata wewe hapo nina uhakika hutopenda kuwa na mwanamke maskini.
Sasa mashoga wanaingiaje hapa?? Hivi hamuwezagi kujadili mada km hizi bila kuhusisha Gays??Fafanua jibu lako, halafu ujue kitakwimu wadada wenye mwonekano mzuri ni wengi kuliko wanaume wenye hela.
Tena kati ya hao wanaume wenye hela, toa waume za watu, toa wababu, toa wanaume wenye hela za kichawi zenye masharti, toa wanaume waliojipatia izo hela kwa njia haramu k.v kuiba kuua..toa mashoga, hapo unabakia na nani π
Math ain't mathing Seran
ππππππHakuna mwanamke anapenda mtu maskini. Sema kila mtu ana definition yake ya umaskini na utajiri. Kuna wanawake ambao kwao mwanaume mwenye kitanda, godoro, TV, Sub woofer, na kochi la watu wawili ni tajiri mkubwa.
ππππππHata kama mwanaume Hana hela basi uone hata mwanga kwa maisha ya mbele,Yaani awe Tajiri/mwenye hela mtarajiwa!!
Sasa kidume kimekaa kimasikini masikini kimejikatia tamaa ya maisha/kimeridhika na umasikini wake cha kazi gani?