Wanawake, Wanawake, Wanawake! Nimewaita mara 3

Huwa nawaambia kila siku humu, utasikia tafuta pesa...mwanaume pesa. Nikiona mwanaume anaongea hivyo huwa namdharau sana, mwanaume mnajishusha sana thamani siku hizi...yaani mnataka kusema ninyi sio kitu hadi mbustiwe na pesa? Bure kabisa
Bebe im going to put you on the right spot whenever you need to. Pesa ni jambo moja tu, ishu ni msimamo maana ukikosa msimamo hata ukiwa na pesa zako bado utanyanyasika.
 
Amini usiamini,, nguvu ya uchumi ya mwanaume ndiyo inayoenda kuleta heshima kwenye jamii.
Tafuta pesa mdogo wangu. Ukiwa hauna pesa utaambulia dharau nyingi kutoka kwenye jamii.
Pesa natafuta ila sitegemei inibebe kwenye mambo ambayo natakiwa kutumia utashi niliopewa na Mungu
 
Wanaume kuna mahala mnakwama??
Ni kweli kabisa, ipo sehemu kuna shida.
Niliwahi shiriki kwenye kikao ......mwanaume akawa anashauriwa kitu kizuri tuu kwa maendeleo ya familia yake na jamaa zake tena alikuepo na kiongozi wa dini, baada ya ushauri akamjibu kwamba ngoja nikaongee na mke wangu kama atakubali. Yaani, mwanaume unashauriwa miradi ya kuweka kwenye nyumba yako kukuongezea kipato unasema hujui kama mwenzio atakubali?
Yaani hapo unaona kabisa hana confidence wala maamuzi tena alijawa na hofu.
Nilimhurumia Yule
Wazazi tupambane kulea vijana wetu wa kike na wa kiume kwa kuishi kama mifano bora kwao
 
Amini usiamini,, nguvu ya uchumi ya mwanaume ndiyo inayoenda kuleta heshima kwenye jamii.
Tafuta pesa mdogo wangu. Ukiwa hauna pesa utaambulia dharau nyingi kutoka kwenye jamii.
Hii ni trend na mmeaminishwa hivi na mkakubali kuicheza hii nyimbo. Pesa ni muhimu ila isikufanye kuwa mtumwa mzee.
 
Ni kweli kabisa, ipo sehemu kuna shida.
Niliwahi shiriki kwenye kikao ......mwanaume akawa anashauriwa kitu kizuri tuu kwa maendeleo ya familia yake na jamaa zake tena alikuepo na kiongozi wa dini, baada ya ushauri akamjibu kwamba ngoja nikaongee na mke wangu kama atakubali. Yaani, mwanaume unashauriwa miradi ya kuweka kwenye nyumba yako kukuongezea kipato unasema hujui kama mwenzio atakubali?
Yaani hapo unaona kabisa hana confidence wala maamuzi tena alijawa na hofu.
Nilimhurumia Yule
Wazazi tupambane kulea vijana wetu wa kike na wa kiume kwa kuishi kama mifano bora kwao
Hahahah we hujui mziki wa wanawake maybe sababu wewe ni mwanamke. But kuna wenzio ambao wasiposhirikishwa jambo moto unawaka 😂😂😂

Utoe hela kwenye joint account bila mkeo kujua? Inawezekanaje!
 
Atafokewa na mkewe kama mtoto...You dont have to raise voices ongea na Davis kama mtu mzima. Very gently ask him kwanini amefanya hiki au kile. Akupe maelekezo. Kama hayatoshi mkanye na umuelekeze what to do situation ya namna hio ikitokea.
Akifokewa na mke atashangaa sana maana hajawahi ona mwanaume akifokewa
Na sijui Mungu aliumbaje jamani... unajua hata mtoto mdogo wa kiume hapendi kunyanyaswa kwa kufokewa?
 
Hahahah we hujui mziki wa wanawake maybe sababu wewe ni mwanamke. But kuna wenzio ambao wasiposhirikishwa jambo moto unawaka 😂😂😂

Utoe hela kwenye joint account bila mkeo kujua? Inawezekanaje!
Kushirikishwa ni muhimu sana, hata kama ni kwa kuambiwa tuu kinachoendelea
Mimi kilichonishangaza kwa hawa, ni kwamba mwanamke hafanyi kitu chochote zaidi ya kupika, mume anashauriwa kuweka mradi mdogo tuu wa kuku nyumbani angalau waongeze kipato mwanaume anajibu tena kwa hofu ngoja nikamwambie kama atakubali dah,
Maisha haya
 
Akifokewa na mke atashangaa sana maana hajawahi ona mwanaume akifokewa
Na sijui Mungu aliumbaje jamani... unajua hata mtoto mdogo wa kiume hapendi kunyanyaswa kwa kufokewa?
I've been that way and it made who i am today. Yani hata ile hali ya kumpa kipaumbele mtoto mdogo wa kiume inamjenga sana kujiamini. "Yes we ndio kidume changu, keep up the good work Davis"..."Jitahidi Davis, we ni baba mwanangu nakutegemea"..."Im happy for you baba, next time utafanya vizuri zaidi and make sure that you make me proud okay?"

Hizi kauli unaweza zichukulia simple ila ile recognition unayompa mtoto itamfanya aje kuwa mtu mwenye kujiamini. Sasa we unamfokea mtoto na kumfanya ajiskie worthless hata mbele ya dada zake. Tarajia mambo mabaya tu
 
Ni kweli kabisa, ipo sehemu kuna shida.
Niliwahi shiriki kwenye kikao ......mwanaume akawa anashauriwa kitu kizuri tuu kwa maendeleo ya familia yake na jamaa zake tena alikuepo na kiongozi wa dini, baada ya ushauri akamjibu kwamba ngoja nikaongee na mke wangu kama atakubali. Yaani, mwanaume unashauriwa miradi ya kuweka kwenye nyumba yako kukuongezea kipato unasema hujui kama mwenzio atakubali?
Yaani hapo unaona kabisa hana confidence wala maamuzi tena alijawa na hofu.
Nilimhurumia Yule
Wazazi tupambane kulea vijana wetu wa kike na wa kiume kwa kuishi kama mifano bora kwao
Mtu kusema akaongee na mkewe kwa jambo linalohitaji maamuzi makubwa sio kosa mimi naona. Kumbuka maamuzi yoyote unayofanya yeye yanamgusa moja kwa moja kwa hiyo hakuna ubaya akishirikishwa....anaweza kutoa mchango wa kuboresha idea au akawa na mpango mzuri zaidi.
Mwanaume kuwa kichwa haimfanyi mwanamke kuwa useless kabisa
 
Kushirikishwa ni muhimu sana, hata kama ni kwa kuambiwa tuu kinachoendelea
Mimi kilichonishangaza kwa hawa, ni kwamba mwanamke hafanyi kitu chochote zaidi ya kupika, mume anashauriwa kuweka mradi mdogo tuu wa kuku nyumbani angalau waongeze kipato mwanaume anajibu tena kwa hofu ngoja nikamwambie kama atakubali dah,
Maisha haya
Hahahahah hajiamini huyo 😂😂😂 ila laiti angeijua nguvu ya kuwa mwanaume...You can almost do anything na mke atakusikiliza tu no matter what hata kama atanuna at times.😎
 
Kifupi usiruhusu demokrasia na mwanamke wako.
Ndio namna ambavyo wazee wetu wameishi na mama zetu. We have all seen that na ndio misingi hasa iliojenga nidhamu mpaka leo tumekuwa watu wazima. Kama ulikuwa msikivu unakuta maisha yako poa tu mpaka sasa ila kama ulikuwa mtukutu waeza kuta ushakanyaga sana selo na una maisha ya hovyo...😂😂
 
Back
Top Bottom