Wanawake wanaojiheshimu na kujitambua MMU

Wanawake wanaojiheshimu na kujitambua MMU

Jeiefu ya siku hizi watu wamebadili sana IDs zao kiasi kwamba hujui nani ndio nani, ukijumlisha na wageni ndio kabisa...
 
Sawa mkuu,ila kumbuka character yako ni rahisi saana kuwa expressed kupitia maadish yako.huyu member nmemfuatilia kabla sijajiunga JF,yaan nkiwa naingia na kusoma kama GUEST.Hata baada ya kujiunga mwaka 2015 kama official member,nkazid kufuatilia comments zake katika thread tofauti tofaut,nka appreciate kuwa ana kitu cha ziada.Na sina hakika kama mtu anaweza kupretend siku zote humu ndani,kuwa na lugha za kukera watu ili iweje? na kwa manufaa yapi? Ila nacho amini kuwa huo ndo uhalisia wa mtu.nakusihi hata wewe mfatilie huyu member Heaven Sent na ujifunze kwake.

[emoji121] [emoji106] [emoji108]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado hujajibu swali, badala yake umekimbilia kuuliza swali badala ya kujibu kwanza.

Umejuaje kama ni hao tu ndio wanaojiheshimu?
Kulingana na utafiti wangu niliyoufanya. Sijui kama nitakuwa nimekujibu unavyotaka?
 
Kulingana na utafiti wangu niliyoufanya. Sijui kama nitakuwa nimekujibu unavyotaka?
Sio umenijibu navyotaka...hujajibu kabisa ila umeniuliza swali kama mimi nilivyokuuliza.

Ila potezea mkuu, hongera kwa utafiti.
 
Sio umenijibu navyotaka...hujajibu kabisa ila umeniuliza swali kama mimi nilivyokuuliza.

Ila potezea mkuu, hongera kwa utafiti.
Basi utakuwa na jibu lako sahihi ndiyo maana haukubaliani na jibu langu Mkuu.
 
Back
Top Bottom