Wanawake wanaojiheshimu na kujitambua MMU

Wanawake wanaojiheshimu na kujitambua MMU

Wanawake imetosha tuhamie sasa kwa wanaume wanaojiheshimu jf ahahahaaa nitaweka uzi tuwape haki zao pia
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Utachambwa weweee na wale ambao hutawataja na jiandae kuzushiwa kila jambo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Utachambwa weweee na wale ambao hutawataja na jiandae kuzushiwa kila jambo.
Hahahaaa nitaanza kumtaja baby wangu maana yeye ndio naijua heshima yake wengine siwajui
 
Haswaa hicho ndicho kilichotuleta kwenye social media,socialization ndio msingi Mkuu!! Huyu kama alikua hataki kupingwa angebaki na Uzi wake kwenye akili yake lakini akishauweka hapa tu atapingwa,atakubaliwa na atakosolewa. Hapa ni sehemu huru

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hueleweki ww mwanamke sasa mbona hapo juu unanitolea maneno kwamba niache kijiba cha roho wkt unajua humu ni sehemu huru nimeandika opinions zangu??? Hebu tuwe realistic
 
Hivi kwa nini wanawake HAMPENDANI,yaani wenzenu kusifiwa kidogo tu imekuwa NONGWA!!! Duh!

Ngoja nimuongeze na huyu asmaa80
Hatujakataa ila jinsi alivyowasilisha hoja yake. Mm nisimpende nani sasa hata watu siwajui
 
Back
Top Bottom