Wanawake walioko kwenye 30s

Wanawake walioko kwenye 30s

mautamu unayonipa usizidishe my love. Mi nshachoka kujing'ata wakati wa naniliyu. Afu mishankupe inanipakazia nakucheat kwa vi under 30. Mi nakasirikaga mimi. Khaa! Malabuku zao na nusu.
umeona eeeeeee! Asprin hubby wangu watuwacheeeeeeeee miaka 800! Hivi kumbe yule mtu ni under 30? Umenidhalilisha ujue?
 
Last edited by a moderator:
Nadhani kwa kuwa mnakuwa hamna cha kupoteza ndio maana, halafu ule muda wa kuruka ruka unakuwa ushawatupa mkono...
Wewe ni ME au KE, kuna kitu nataka kujiridhisha kabla sijaconfirm...nahisi nakujua vile!!!

huyu ni yule yule tulie naye kidato kimoja wamjua mbona kwa sasa ame deaded ameristishwa in peace
 
Kumbe the great things are yet to come mi nlijua by 30s onward ni umri wa majanga
 
Hahahaha anakuja na wapambe 4 yeye wa 5 wapambe wanakunywa Heineken, whiendok, Savana, Mtakatifu Anna mara dear tunataka kiti moto kilo 5 na kuku wawili bila kusahau chipsi kavu sahani 5.

Hao bila kupepesa ni madenti wa chuo ambao boom limekata, wanategemea 'shemeji' awatoe. Sasa kama ulikuwa umetembea na ka 100,000/ kako ukitarajia katatosha malipo gesti, mafuta ya gari lako na salio la kumpa umependae kama takeaway basi inakuwa imekula kwako! Nawajua hawa wadudu, nimepitia huko kabla sijatulia na ubavu!
 
Hapo itakuwa ngumu ku-justify your findings.

Kama uzoefu wako umeishia kwenye 30s, umewalinganishaje hao walio kwenye 30s na wengine na kuja na hizo conclusions?

Wella hao wa 40s And above siwezi sema cos sina uzoefu nao. Ndo.maana nimejilmit kwen 20 na 30 mkuu.....hao wengine ni research nyingine
 
kiukweli hii mada inaukweli ndani yake,mimi ni mwanaume nimejikuta nawapenda sana 30+ na hii inatokana na na kuona utofauti na 20s,sikujuwa sababu ila nimekuja kuzijua humu JF,sasa ndo mmenikimbiza kabisa kwa kwa hao 20s,shukrani zako mtoa mada ila sitaweka hadharani faida ninazozipata toka kwa hawa 30+ napenda kuwashauri wanaume wenzangu wajaribu huko wajionee mautamu
 
watu8 nenda mdogo mdogo uchokozi wako utakucost

Hahaha...hilo jibu lake limekuwa encrypted, ni mimi mwenyewe tu nimelielewa...nishamjua huyo best yangu!!!
 
Last edited by a moderator:
On point!!!

Kuna mama mmoja aliwahi sema mahali, ila yeye alikuwa anajaribu ku-justify kwa nini anapenda viserengeti

Nilisoma mahali kuwa women above 40 enjoy and have more sex but not with their husbands, though kuna wengine kama Smile wanadai bado ni mabikira
 
Wengi wao huwa wamekata tamaa ya kuolewa in case kama hawajaolewa,
Ving'ang'anizi (wana trick nyingi za kumhadaa mwanaume)
katika Age hiyo ndio wanaongoza kwenda kwa sangoma kuroga wanaume wanaoleta kburrri

Samahani lakini.....
 
huyu ni yule yule tulie naye kidato kimoja wamjua mbona kwa sasa ame deaded ameristishwa in peace

Asante kwa muongozo Mrs Abashaija...kiona mbali changu kisha-confirm!!
Btw waendeleaje na hali wewe na kichanga??
 
-Hata mizinga hawapigi ovyo ovyo mpwa
-Hawezi beba mashosti kwenye appointment
-Anaelewa maisha yalivyo ukimwambia huna kitu mwelewa
-Hawana makuu, wavumilivu
-Wanajua kuthamini/kumjali mwenza.

umemaliza. mia zako
 
kiukweli hii mada inaukweli ndani yake,mimi ni mwanaume nimejikuta nawapenda sana 30+ na hii inatokana na na kuona utofauti na 20s,sikujuwa sababu ila nimekuja kuzijua humu JF,sasa ndo mmenikimbiza kabisa kwa kwa hao 20s,shukrani zako mtoa mada ila sitaweka hadharani faida ninazozipata toka kwa hawa 30+ napenda kuwashauri wanaume wenzangu wajaribu huko wajionee mautamu

Nice to hear that namanyele
 
Last edited by a moderator:
Hahaha...hilo jibu lake limekuwa encrypted, ni mimi mwenyewe tu nimelielewa...nishamjua huyo best yangu!!!

haaa nakuaminia mtaalam watu8
 
Last edited by a moderator:
Kaizer umefanya kazi lakini leo???
ni hili la thi thi thi wanawake wa 30's au???
nina mashaka kama homework yangu imefanyika!
this time around nataka SWALI/KAZI /JIBU!
oh!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom