mtoto mbea wewe!
Wanajamvi habarini za weekend?
Kwa uzoefu wangu wa miaka mingi na kupitia.majarida mbali mbali, ni maoni yangu kuwa wanawake walioko kwenye 30s kimapenzi:
1.ni wazoefu maana wameshapitia mengi
2.ni rahisi kufika kileleni maana wako a bit free..wameshajiestablish kimaisha nk
3. Kutokana na 2 apo juu wanafurahia zaidi tendo la ndoa
4.ni waelewa sana..sio nagging, kifupi wamekua.
5.ni wasafi, wanavutia sexually.
Sasa hii ni kulinganisha na wenzao teenagers na walioko kwen 20s.
Ni mtazamo wangu tu.labda kwa vile mimi nipo kwen late 40s😉
Sijui wengine mnaonaje....ruksa kuongeza.
Cc: Mtambuzi Asprin The Boss MziziMkavu KakaKiiza Baba V Sandeni Judgement Erickb52 Arushaone Filipo Nicas Mtei Mtoto halali na hela Bishanga
Bcc: gfsonwin cacico lara 1 AshaDii amu snowhite Madame B ladyfurahia charminglady KOKUTONA Passion Lady Zahra White Ray b BADILI TABIA Kongosho King'asti Heaven on earth sweetlady mimisa Graca marejesho Arabela mandenyi The secretary
Kaizer umeanalyse vizuri sana na inaweza ikawa kuna ukweli ndani yake.
Ila nashangaa kwa nini nyie 40's mnaongoza kuwataka hizo 20's pamoja na hayo yote hayo????
Husninyo....nice to have you here....karibu sana.ankal umeonja wangapi hadi umekuja na huu mtazamo? ngoja nikatete na aunt AshaDii kwanza, maana unavyolinganisha vitu viwili ina maana vyote unavijua.
30'S WANAKUWA WAMEOLEWA UNLESS WAWE GUMEGUME KAMA MIE 40'S WANAKUWA WAMEOA.
Hapa mnachochea kutoka nje ya ndoa.
tuko wengi sana kwenye hili ahsante Mungu.
Waume za watu oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
Hebu nikae vizuri kwa hiyo wewe umeolewa hapo sikusomi vizuri
mwanamke wa 30's ana enjoy kwa mwenzi wa umri wowote?
Hao bila kupepesa ni madenti wa chuo ambao boom limekata, wanategemea 'shemeji' awatoe. Sasa kama ulikuwa umetembea na ka 100,000/ kako ukitarajia katatosha malipo gesti, mafuta ya gari lako na salio la kumpa umependae kama takeaway basi inakuwa imekula kwako! Nawajua hawa wadudu, nimepitia huko kabla sijatulia na ubavu!