Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Teh huna presha coz si Unajua alivyo liability.Kuna mchepuko unaotaka liabilityOoooohhhh!!!! Poleni wadogo zangu Mbona kwangu si bahili? Yaani nazitumia nitakavyo kwa wakati wowote, ndo maana huwa sina presha mwiko wangu utanirudia mwenyewe, yaani kwangu habishani, ndoa yetu ina amani bana!!!!!!