Siyo guarantee kwamba mwanamke mwenye external disturbing factors always hawezi kufurahia kufanya hivyo. Kuna situation nyingine ambapo mwanamke ambaye anakorofishana mara kwa mara na mume wake, hasa pale mume anapokuwa na nyumba ndogo na yeye akagundua hivyo; mwanamke huyo atafurahia sana kufanya sex na mwenza mbadala kwa sababu ya kuliwazwa, na halikadhalika kwa nia ya kukomoa.
umenigusa sanaaaaaaaaaaaaaaaa