Wanawake walioko kwenye 30s

Wanawake walioko kwenye 30s

Wanajamvi habarini za weekend?

Kwa uzoefu wangu wa miaka mingi na kupitia.majarida mbali mbali, ni maoni yangu kuwa wanawake walioko kwenye 30s kimapenzi:

1.ni wazoefu maana wameshapitia mengi
2.ni rahisi kufika kileleni maana wako a bit free..wameshajiestablish kimaisha nk
3. Kutokana na 2 apo juu wanafurahia zaidi tendo la ndoa
4.ni waelewa sana..sio nagging, kifupi wamekua.
5.ni wasafi, wanavutia sexually.

Sasa hii ni kulinganisha na wenzao teenagers na walioko kwen 20s.

Ni mtazamo wangu tu.labda kwa vile mimi nipo kwen late 40s😉

Sijui wengine mnaonaje....ruksa kuongeza.

Cc: Mtambuzi Asprin The Boss MziziMkavu KakaKiiza Baba V Sandeni Judgement Erickb52 Arushaone Filipo Nicas Mtei Mtoto halali na hela Bishanga

Bcc: gfsonwin cacico lara 1 AshaDii amu snowhite Madame B ladyfurahia charminglady KOKUTONA Passion Lady Zahra White Ray b BADILI TABIA Kongosho [MENTION=20070]King'astimandenyi The secretary

Mie nahitaji kujua Sample size yako tu..Na methodology
 
Last edited by a moderator:
Usimwage mchele kwenye kuku wengi huz
Mambo yetu yalee hata hayazungumziki daaarh hadi umenikumbusha
Napata utamu kabla
Hebu leo uwahi mana hali si nzuri
Hahahahaaa mtoto una mambo wewe lol
Haya hebu kemea hizo nanii za mchana eeeh
Leo nitawahi saaaana
 
Mmmmmhhhhh...Walio na miji yao ndo wanaojielewa, Makurumbenge mengne mpak age hiyo hawajaolewa na the only solution ni kutawanya ndoa za watu kwa kupretend they knw how to care Zaid waume za watu kumbe wakat wao waliuchezea..Am a woman but I hate sana wanawake macho juu juu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
je sisi wa 50s
Smile huyu Kaizer asikutishe, kwa wanawake life begins at 50: Life begins at 50! Older women have better sex, more exercise and feel happier than twenty-somethings, survey reveals | Mail Online

Wakiwahi sana basi wataanza kwenye 40s: Women in 40s have better sex lives - Times Of India

Kaizer
nafikiri hoja yako imekaa kiume zaidi. Kweli wanaweza kuwa na hayo yote uliyoyataja, but the crux of the matter is are they the happiest women kulinganisha na makundi mengine?

I think the happier a woman is, the more she will enjoy sex and vice versa. Happiness ndiyo mpango mzima. Na hiyo happiness haipatikani kwenye mapenzi tuu.

Anaweza kuwa na miaka 18 tuu lakini akawa na great sex kama yuko happy. Hata kama ana miaka 18 tuu provided that you give her what she wants sexually, sidhani kama ataku-nag. Why?

Sababu ambayo imenifanya niseme hoja yako imekaa kiume zaidi ni kwamba, baadhi ya wanaume wanaitumia kama excuse hasa kwa kushidwa kuwafikisha kunako wale walio under 30.

Women under 30 wana kiu ya mapenzi vile vile. They want to have great sex kama wanawake wengine. Tena they want it it even more than those in above 30. Under 30s can have it for hours.

Tatizo linakuja, they don't know how to get it. Matokeo yake wanawategemea wanaume wawape great sex they crave for. But there is a problem. Wanaume wenyewe nao hatujui what to do kuwafikisha huko wanakotaka kufika. Wengine labda tunaweza lakini hatuwezi mbio za marathon.

Lakini wanawake walio kwenye 30s and above, siyo tuu wanataka great sex, but they also know how to get it. Hata kama wakikutana na mwanaume ambaye hajui kumpa great sex, she will teach him how to do that.

It is all about happiness. I think wanawake walio kwenye 30s bado wana insecurities kama walio kwenye 20s. Wengi hawako confident na jinsi miili yao inavyoonekana. Tofautisha na wengi walio kwenye 40s and 50s who will probably have their pre-baby figures back!

Ukilinganisha na wale walio kwenye 40s na 50s, wanawake walio kwenye 30 wako kwenye "mummy stage". Kutokana na wengi kulea watoto hawana uhuru wa kutoka na ku-relax kama wale walio above 40 or under 30.

Kisayansi wanadai kuwa hormones za mwanamke huwa zina-shift na kuongeza libido na hamu ya kufanya mapenzi kuanzia miaka 40 kwenda juu.

Self-esteem after 40 ni kubwa zaidi kulinganisha na walio kwenye 30s kwenda chini. Huu ndiyo muda ambao wanawake wengi wanaanza tena kuonyesha their "bad girl" image walioyokuwa nayo in their teens.

Mwisho, but muhimu, exit strategy ya wanawake walio above 40 siyo kuvunja ndoa, bali ni ku-cheat. Ni rahisi kwao kuwa na affair kulinganisha na wale walio kwenye 30s kurudi nyuma.

Nilisoma mahali kuwa women above 40 enjoy and have more sex but not with their husbands, though kuna wengine kama Smile wanadai bado ni mabikira
 
itatokea akafurahia zaid tendo la ndoa/ngono iwapo hana any external disturbing factor like, asiwe hajaolewa na ana crive for getting married, asiwe hajapa mtoto and anatamani kweli kupata mtoto mambo haya mawili nimiongoni mwa factors ambazo huwafanya wanawake wa umri huo kushindwa kufurahia but kama hapo kavuka ukweli huwa anafaidi sana kunako 6*6.duh! kweli wizi kwenye ndoa hautaisha.
 
Smile huyu Kaizer asikutishe, kwa wanawake life begins at 50: Life begins at 50! Older women have better sex, more exercise and feel happier than twenty-somethings, survey reveals | Mail Online

Wakiwahi sana basi wataanza kwenye 40s: Women in 40s have better sex lives - Times Of India

Kaizer
nafikiri hoja yako imekaa kiume zaidi. Kweli wanaweza kuwa na hayo yote uliyoyataja, but the crux of the matter is are they the happiest women kulinganisha na makundi mengine?

I think the happier a woman is, the more she will enjoy sex and vice versa. Happiness ndiyo mpango mzima. Na hiyo happiness haipatikani kwenye mapenzi tuu.

Anaweza kuwa na miaka 18 tuu lakini akawa na great sex kama yuko happy. Hata kama ana miaka 18 tuu provided that you give her what she wants sexually, sidhani kama ataku-nag. Why?

Sababu ambayo imenifanya niseme hoja yako imekaa kiume zaidi ni kwamba, baadhi ya wanaume wanaitumia kama excuse hasa kwa kushidwa kuwafikisha kunako wale walio under 30.

Women under 30 wana kiu ya mapenzi vile vile. They want to have great sex kama wanawake wengine. Tena they want it it even more than those in above 30. Under 30s can have it for hours.

Tatizo linakuja, they don't know how to get it. Matokeo yake wanawategemea wanaume wawape great sex they crave for. But there is a problem. Wanaume wenyewe nao hatujui what to do kuwafikisha huko wanakotaka kufika. Wengine labda tunaweza lakini hatuwezi mbio za marathon.

Lakini wanawake walio kwenye 30s and above, siyo tuu wanataka great sex, but they also know how to get it. Hata kama wakikutana na mwanaume ambaye hajui kumpa great sex, she will teach him how to do that.

It is all about happiness. I think wanawake walio kwenye 30s bado wana insecurities kama walio kwenye 20s. Wengi hawako confident na jinsi miili yao inavyoonekana. Tofautisha na wengi walio kwenye 40s and 50s who will probably have their pre-baby figures back!

Ukilinganisha na wale walio kwenye 40s na 50s, wanawake walio kwenye 30 wako kwenye "mummy stage". Kutokana na wengi kulea watoto hawana uhuru wa kutoka na ku-relax kama wale walio above 40 or under 30.

Kisayansi wanadai kuwa hormones za mwanamke huwa zina-shift na kuongeza libido na hamu ya kufanya mapenzi kuanzia miaka 40 kwenda juu.

Self-esteem after 40 ni kubwa zaidi kulinganisha na walio kwenye 30s kwenda chini. Huu ndiyo muda ambao wanawake wengi wanaanza tena kuonyesha their "bad girl" image walioyokuwa nayo in their teens.

Mwisho, but muhimu, exit strategy ya wanawake walio above 40 siyo kuvunja ndoa, bali ni ku-cheat. Ni rahisi kwao kuwa na affair kulinganisha na wale walio kwenye 30s kurudi nyuma.

Nilisoma mahali kuwa women above 40 enjoy and have more sex but not with their husbands, though kuna wengine kama Smile wanadai bado ni mabikira

mkuu EMT nashukuru kwa hiyo perpective kwenye hii mada na umelihighlight vizuri tatizo la hao kwen 20s, mi nilijikita zaidi kwenye hao walioko kwen 30s....kwa vile ndo uzoefu wangu unapoishia. na hao wa 20 u have said it well kwamba hawajui how to get that happiness...and that is the big difference na wenzao walioadvance kwenye 30s.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Hubby Asprin, nikumbushe nina miaka mingapi vile?? Nataka niongeze mautamu, loooll!

Mautamu unayonipa usizidishe my love. Mi nshachoka kujing'ata wakati wa naniliyu. Afu mishankupe inanipakazia nakucheat kwa vi under 30. Mi nakasirikaga mimi. Khaa! Malabuku zao na nusu.
 
Last edited by a moderator:
halafu EMT unampa mahope Smile wakati kitumbua chake kakiwekamo kwen friji tokea mwaka jana...itamcost
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Kaizer mi nahisi hayo mengi yanatokana na mdada mwenyewe....yan kuna wengine wakiwa kwenye shughuli wanakuwa macho juujuu km tochi...unadhani atafika kileleni?
Kuna wadada wana pozi bhana yan akiguswa tu kalegea lol
Umri haumati sana.
Tatizo la 20s wanatakaga kujifanya mafundi lol wanaishia kumridhisha mwanaume tu (Na ndio lengo lao)
Ila kwa 30s wao lengo lao huwa ni mautamu tu.

....,tupumuwe..,
 
Last edited by a moderator:
...mi nilijikita zaidi kwenye hao walioko kwen 30s....kwa vile ndo uzoefu wangu unapoishia.

Hapo itakuwa ngumu ku-justify your findings.

Kama uzoefu wako umeishia kwenye 30s, umewalinganishaje hao walio kwenye 30s na wengine na kuja na hizo conclusions?
 
Back
Top Bottom