Wanawake walioko kwenye 30s

Wanawake walioko kwenye 30s

hiv nikikupa 100% ntakuwa nimekupendelea au nayo itapunguzwa kama walivopunguziwa shule za seminari!

mwalimu snowhite, unadhani walio under age wanaweza kuwa na mawazo mazito kama haya? IT TAKES A MAN TO CONSTRUCT A HOUSE BUT IT NEEDS A WOMAN TO MAKE A HOME!
 
Last edited by a moderator:
Swadata, umejua lini habari hii?
Ungekuwa karibu ningekupa zawadi maana umeHIT mule mule.

Asante madameA ni kupitia uzoefu kama nilivyosema...kuishi kwingi kuona mengi,,,, zawadi niPM ila isiwe mambo ya vocha na nauli si umeona mambo yake?
 
Last edited by a moderator:
ndio maana nikasema kama yuko free from externalities.

lakini swtlo tujadili kidogo juu ya nini huwafanya wawe jinsi walivyo??

ni kwamba mara nyingi sana huwa wako tu ni watu wa kujiachia sana kwamba hawana disturbance za achievements. ukiangalia at that age wengi huwa tayari wana ndoa ama hata kama hana ndoa basi huwa na mtu ambaye anajua akimuhitaji atampata tu. istoshe hata kama ana cheat na mume wa mtu hujikuta kwamba hacheat kwasababu ya vitu anavyovikosa kama vile ambao wako at 20's wanavyofanya. mara nyingi mwanamke wa 30+ akijichanganya ni kwasababu anataka na si kwasababu ana shida iwe ya pesa ama nyumba ama gari etc.

na kuna jarida moja la kenya nilikuwa nalisoma hapa limeandikwa na mombasa raha kwamba wanawake wa 30+ huko kenya ndio wanaoongoza kuwa na soko kubwa zaid la wenzi wa nje ya ndoa na kwamba wako free sana kwenye kujiachia. wamesema sababu kubwa ni kwamba hawa wa 20"s wako na macho mawili mawili sasa watu wazima wenye heshima zao huwatafuta hawa mabao ni watu wazima zaid wanatoka nao kwa usiri mkubwa sana, na sio too demanding.

to me mwanamke wa 20's mwache a explore hadi akinai kabisa ili akifika 30+ ajue anataka kufanya nini ama anategemea kufanya nini.

tena akiwa nyumba ndogo,, hakuna stress kabisa,,,, hakikisha anapokuhitaji unapatikana on the spot,, kwake kikubwa ni asante my d.....ila wako makini na kila kitu wanachokifanya...
 
tunafaidi sana sisi wa 30's wengi wetu tunatulia na wenza wetu na kwa asilimia kubwa for the rest of our life tunafia kwenye LIBOLO hili hilo limoja hatutafuti nyingine kama uko stress free zone .

Nadhani kwa kuwa mnakuwa hamna cha kupoteza ndio maana, halafu ule muda wa kuruka ruka unakuwa ushawatupa mkono...
Wewe ni ME au KE, kuna kitu nataka kujiridhisha kabla sijaconfirm...nahisi nakujua vile!!!
 
-Hata mizinga hawapigi ovyo ovyo mpwa
-Hawezi beba mashosti kwenye appointment
-Anaelewa maisha yalivyo ukimwambia huna kitu mwelewa
-Hawana makuu, wavumilivu
-Wanajua kuthamini/kumjali mwenza.

umesema vizuri sana!
 
nadhani kwa kuwa mnakuwa hamna cha kupoteza ndio maana, halafu ule muda wa kuruka ruka unakuwa ushawatupa mkono...
Wewe ni me au ke, kuna kitu nataka kujiridhisha kabla sijaconfirm...nahisi nakujua vile!!!
bestiiiii ukome kunifuatilia ee we mpare wewe
 
Back
Top Bottom