Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

Thread imekaa kimtego hii. Imefanya watu tujue vimo vya watu. Kila mtu anavutia kwake au kwa mwenza wake. Kaazi kweli kweli. Mwisho wa siku hamna jibu sahihi kwani kila mtu yuko biased kwa kuwa ana personal interest na hakuna third party wa ku conclude.
 
Mimi nadhani hii thread ingeleta maana zaidi kama ingewahusisha wanawake pekee wao ndio waseme wanapendezwa na wanaume wenye maumbo gani maana hii mada ni pana.
Lakini ninachoamini mimi msichana mwenye umbo kama la wema Sepetu kuwa na partner mwenye umbo kama Joti hivi ni vichekesho. Ningeshauri akina dada ndio wachangie hii thread.
 
mimi nashughulika na mambo ya network!! lol!!!!! ni kweli urefu wa mnara sio wingi wa network lakini urefu wa mnara ni UMBALI WA NETWORK INAPOKWENDA!
teh teh teh lakin bado ujatwambia kama urefu wa mnara network inafika mbali,je network inafika ikiwa strong au weak? Kwan ishu sio kufika mbali....
 
Hakuna kitu kwa warefu kimo na mapenzi is so different acheni mawazo ya kipumbavu.
 
mi ni mrefu but sipendi wakiniita tall, mitaani nimekuwa maarufu kwa sababu ya
urefu na maaibu mengi.... hasa nikiongea na waschana then wananiangalia
usoni kama wanaangalia nyota juu... naona maaibu mie....
 
Why? Not clear!
Swahili lang. isn't ur mother tongue? here is the clarity, women LOOOOOOOoooooovvvveeee loooooong dick, bcoz it touches all Areas of V, & G spot stimulated nicely,naona wadada wengi humu wamesema eti wanaume warefu kitandani hawachezi mechi vizuri, natangaza ligi na Gaga aje awahadithie baada ya mechi, si ajabu asije kutoa matokea, bcoz one looong shot anaingia na mpira wavuni hajaamka mipira kama mitatu inapigwa tena Gaga chali, miguu atafunga na kuacha mechi, huyoooo
 
Umeonae? ?? Kiukweli wanaume warefu wanavutia wanapendeza hata wakipigilia pamba! Ila pia asiwe mrefu kiviiile, urefu nnaouongelea mimi ni ule wa kawaida let say futi 6 wanapendeza mno. Sisemi wanaume wafupi hawapendezi, wanapendeza ila sio km hao warefu. Na kuna wengine ni wafupi mpaka looo hata avae nini hapendezi kabsaa !
The same applies to Women!!!
 
Watanzania wengi kuanzia miaka 28 na kuendelea tunaowaona ni wafupi, sio kwa sababu genetically ni wafupi, bali kwa sababu ya malnutrition na suluba za kazi nzito kijijni walikokulia. Unakumta akiwa mtoto wakati wa stage ya ukuaji alikuwa anabeba ndoo sita za maji kila siku kilomita tano au zaidi.Ndio maana unaweza kushangaa siku hizi unaona baba mfupi, mama mfupi (au wa wastani), lakini kitoto kinatoka kingongoti, hiyo sasa ndiyo genetic maana mtoto anakuwa pengine amepata malezi mazuri na laini.Na ndio maana ukiangalia sasa hivi vijana wengi walio masekondari au vyuoni, majority ni relatively tall (kutoka ft 6 na kuendelea)...
Two things very important to grow tall1: Genetics, this is number one, very influencial factor2: Food, rich in proteins, jamani kuleni nyamaaaa, kunyweni maziwaaaa, samaki, etc as part of ur daily routine, sio kwa wiki, hapa ndio uchumi sasa.
 
Cheka mwaya, nikilinganisha warefu na wafupi niliopitia wafupi wanaibuka kidedea...hivi huonagi wanataka mamiguu wayanasishe kwenye chaga kwa nyuma lol,

mamiii mbona unamwaga vitu hadharani sana. ina maana nilipokwambia sogea chini baada ya kupata balance murua chagani uli-mind? mbona ulisogea harakaharaka? na thereafter ulisisimkwa kuliko vile nikujuavyo?
 
Its not true it depends

Ni kweli kabisa.. mie jana nimekuta na girlfriend wa rafiki yangu.. nikamuuliza vip? ndoa lini...? akanijibu jamaa yake ni mfupi. so hana mpango wa kuolewa nae.. Na ni kweli.. jamaa.ni too short afu ana bonge la kitambi..
 
Ni kweli kabisa.. mie jana nimekuta na girlfriend wa rafiki yangu.. nikamuuliza vip? ndoa lini...? akanijibu jamaa yake ni mfupi. so hana mpango wa kuolewa nae.. Na ni kweli.. jamaa.ni too short afu ana bonge la kitambi..

Uonevu mtupu huu.
 
kila umbile lina faida na hasara zake,
na kila umbile lina wapenzi /mashabiki wake,
kwa sababu wanazozijua wao.
 
mi ni mrefu but sipendi wakiniita tall, mitaani nimekuwa maarufu kwa sababu yaurefu na maaibu mengi.... hasa nikiongea na waschana then wananiangaliausoni kama wanaangalia nyota juu... naona maaibu mie....
pole,jaribu ku2mia konyagi b4 ya kumit na hao vidosho.
 
Jibu langu ni BIG NO! Nimetembea sehemu kubwa ya bara la Africa nimelitambua hilo. Chakufurahisha, wanaume wengi wafupi wake zao warefu au wapenzi wao warefu pia. Kuna maelfu ya wanaume wafupi wanawake zao warefu. Imani kwamba wanawake wanawachukia wanaume wafupi ni uongo uliopitiliza wa watu kujaribu kuweka matabaka.

WANAWAKE WANAPENDA

MONEY

FAME

POWER


"BULLETS" Thank you!

 
Back
Top Bottom