wachawi kinoma.
really!!is she ngoni?? i need to talk to her......kuna coincidence ya ajabu hapa......i need to talk to her kama yumo humu please......Rusha PM kwa Rose1980
You may be right brother......i'm blessed with a ngoni woman too.....wanawake wa kingoni ni wajukuu wa shaka zulku. Hawana tofauti kabisaa na wa X-osa au wazulu kule Saouth Africa. Ukioa mwanamke wa kingozi hutakufa njaa wala kuishiwa pesa. ni wachapa kazi sana , wacha mungu na wakweli. Huujua sana kulea watoto kupita makabila yote tanzania. Nimeoa mgoni na nimehsuhudia hilo !
Salam wana MMU.
Nimekuwa nikifatilia kwa karibu sana sifa na changamoto kemkem za makabila mbalimbali ya tz.
Napenda kuulizia kuhusu wanawake wa kingoni wakoje kwa ujumla?sina nia mbaya jamani bali ningependa tu kujua wasifu wao.
SHukrani
6¤6 wavivu sana
Tamaa ya pesa balaa
Ukorofi na ujeuri hata kama kakosea jambo ndo usiseme.
Mwanamke kukusaliti kwao jambo la kawaida.
Wanakuwa influenced sana na pressures za nje; akiona shost wake kavaa hivi, kaweka nywele style fulani basi naye anataka.
mbona nibwelili tangu lukela na ligari la padiri.lolbwelai wenga!