La uchafu nakubaliana nalo. Hata kujisafisha wenyewe tu ni kazi.
Waongeaji sikubali?ila kweli ni wadadisi,hawa ni waongeaji sana na huwa hawakubali kushindwa katika kubishana jambo fulani. pia ni wadadisi. sifa nyingine ni wakarim na wenye huruma kwa kila mtu. ukiwakorofisha imekula kwako
Hakuna mtu anayejadili ukabila wa mtu,hivi ni vitu vya kawaida kabisa kujadili maisha,tabia na mazingira ya jamii mnayoishi nayo.Mfano ukiwa China wananchi wa Shanghai ni tofauti kabisa na watu wa Beijing,Hongkong;etc na ukiwakuta hata vyakula wanavyopendela ni tofauti,hivyo tabia na kila kitu kiujumla ni tofauti kati yao, je kwanini isiwe na utofauti katika haya makabila 120? We are just curious to understand btn ourselves wala sio kwa nia mbaya.Karne hii na kizazi hiki cha Computer watu bado tunajadili ukbila jamani!So what and for how long?Tujadili mambo muhimu wazee.
Hakuna mtu anayejadili ukabila wa mtu,hivi ni vitu vya kawaida kabisa kujadili maisha,tabia na mazingira ya jamii mnayoishi nayo.Mfano ukiwa China wananchi wa Shanghai ni tofauti kabisa na watu wa Beijing,Hongkong;etc na ukiwakuta hata vyakula wanavyopendela ni tofauti,hivyo tabia na kila kitu kiujumla ni tofauti kati yao, je kwanini isiwe na utofauti katika haya makabila 120? We are just curious to understand btn ourselves wala sio kwa nia mbayMh! Ukabila tena,acheni hayo
Duh mkuu, hizo sifa zinahusika sana kwa Wamatengo pia! Au hawa ni mtu na mdogo wake?!Baba akitoka na mama anatoka, wanakutana kilabuni kila mtu ana mtu mwingine. Wakirudi haisumbui watoto wamekula nini wameoga au vipi; hao ni wa interior.
Wa mjini wanajitahidi kidogo ila la multiple lovers linabaki. Ninapenda ucheshi na ukarimu wao; ni watu muhimu kwenye shughuli (harusi, komunio na misiba) huchangamsha sana hasa mnapokuwa watani!
Hakuna mtu anayejadili ukabila wa mtu,hivi ni vitu vya kawaida kabisa kujadili maisha,tabia na mazingira ya jamii mnayoishi nayo.Mfano ukiwa China wananchi wa Shanghai ni tofauti kabisa na watu wa Beijing,Hongkong;etc na ukiwakuta hata vyakula wanavyopendela ni tofauti,hivyo tabia na kila kitu kiujumla ni tofauti kati yao, je kwanini isiwe na utofauti katika haya makabila 120? We are just curious to understand btn ourselves wala sio kwa nia mbayUkabila?? Mtaacha lini?
People do speakãI do respect people's experience.
Duh mkuu, hizo sifa zinahusika sana kwa Wamatengo pia! Au hawa ni mtu na mdogo wake?!
mkimaliza kujadili,niiteni nije nihitimishe mjadala.