Wanawake wa kingoni kutoka Songea wanasifa gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake wa kingoni kutoka Songea wanasifa gani?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mallaba, Dec 18, 2011.

 1. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #1
  Dec 18, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Salam wana MMU.

  Nimekuwa nikifatilia kwa karibu sana sifa na changamoto kemkem za makabila mbalimbali ya tz.

  Napenda kuulizia kuhusu wanawake wa kingoni wakoje kwa ujumla? Sina nia mbaya jamani bali ningependa tu kujua wasifu wao.

  Shukrani
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Dec 18, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Rusha PM kwa Rose1980
   
 3. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Karibu napita tu hapa!
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Dec 18, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  wana sifa sawa na mwanamke wa tz
   
 5. MBUFYA

  MBUFYA JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  hawa ni waongeaji sana na huwa hawakubali kushindwa katika kubishana jambo fulani. pia ni wadadisi. sifa nyingine ni wakarim na wenye huruma kwa kila mtu. ukiwakorofisha imekula kwako
   
 6. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #6
  Dec 18, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  ni wavivu kwenye 6/6 halafu wachafu
   
 7. hengo

  hengo JF-Expert Member

  #7
  Dec 18, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Karne hii na kizazi hiki cha Computer watu bado tunajadili ukbila jamani!So what and for how long?Tujadili mambo muhimu wazee.
   
 8. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #8
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  mbona watu hampendi sana historia
   
 9. Mtanga Tc

  Mtanga Tc JF-Expert Member

  #9
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 228
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Niwajuavyo wangoni, sana sana wale waliofundwa ni waungwana na wana utu.Most of them are real wife material.....this is from my own personal experience.Hujawahi kuona heshima ya hawa "wanyemba" na wakunyumba na wala siyo hawa wa kizazi kipya cha mijini!!!
   
 10. N

  NGOWILE JF-Expert Member

  #10
  Dec 18, 2011
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mh! Ukabila tena,acheni hayo
   
 11. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #11
  Dec 18, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Wana roho nzuri sana, wakarimu!!!!
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  case study yangu nawafahamu wawili nao wote wana tabia hii, ni tetesi sio conclusion

  asante, unakutana na kikombe getini, kuoga hadi ufanye maombi

   
 13. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #13
  Dec 19, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Well ukisikia kuna ngoma inaitwa Lizombe au lingwamba au kitoto ujue kuna sababu yake. Ngoma hizo ziko inspired by true events.
   
 14. sister

  sister JF-Expert Member

  #14
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,026
  Likes Received: 3,932
  Trophy Points: 280
  HAHAHAH , uchafu ni hurka ya mtu na wala c kabila, mie ni mngoni na mambo muhimu niliyofundishwa though nimezaliwa mjini na kukulia mjini ni kuwa mwanamke mkamilifu nikimaanisha mambo muhimu yote ambayo mwanamke anatakiwa kufanya yeye kama mwanamke.
   
 15. sister

  sister JF-Expert Member

  #15
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,026
  Likes Received: 3,932
  Trophy Points: 280
  ''nitonye'' yan wew ndo mtu wa kwanza kukusikia wangoni ni wavivu kwenye 6/6 hafu wachafu. fanya utafiti vizuri
   
 16. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #16
  Dec 19, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Nawapenda walivyo watulivu nimedate wangoni watatu,ila hawakunivutia as wife material,wana tabia za uvivu.
   
 17. sister

  sister JF-Expert Member

  #17
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,026
  Likes Received: 3,932
  Trophy Points: 280
  mambo muhimu kama yapi? hili pia ni la muhimu mana tunaelimishana , kujua sifa za kabila fulani ni muhimu ili mtu utakayekuwa nae asikusumbue
   
 18. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #18
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Baba akitoka na mama anatoka, wanakutana kilabuni kila mtu ana mtu mwingine. Wakirudi haisumbui watoto wamekula nini wameoga au vipi; hao ni wa interior.

  Wa mjini wanajitahidi kidogo ila la multiple lovers linabaki. Ninapenda ucheshi na ukarimu wao; ni watu muhimu kwenye shughuli (harusi, komunio na misiba) huchangamsha sana hasa mnapokuwa watani!
   
 19. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #19
  Dec 19, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  La uchafu nakubaliana nalo. Hata kujisafisha wenyewe tu ni kazi.
   
 20. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #20
  Dec 19, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Nyumbi hii, bombi hii!
   
Loading...