Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,265
- 26,722
- Thread starter
- #21
Maisha ni mafupi na tuna uhuru wa habari. Pia, si wote wapo upande uliopo. Na si wote walioko kimya hawapo upande wako.Nilimwambia Tundu Lissu watu anaowapigania ndio hawa. Apime kama bado ana haja ya kuendelea kuwapigania