Wanawake tunachoangalia........kwenye first date......

Wanawake tunachoangalia........kwenye first date......

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
24,320
Reaction score
18,875
Sio wote.....bali wengi wetu.....(nami nikiwemo).....huwa tunaangalia mambo haya........siku ya kwanza kukutana....(au kutoka).....

1.Kwanza tunatazama tembea yako, kisela au kiheshima ili tujue kama una kazi au la.

2.Kama nguo zako zimefubaa, unatembea juani, kama hazijanyooshwa basi hata pasi kwako huna.

3.Kama viatu vina vumbi moja kwa moja gari huna.

4.Kama pesa hutoi kwenye waleti hujazoea kuwa na pesa tena yawezekana hata laki hujawahi kushika.

5.Kama hunukii vizuri basi wanawake huwajui vizuri, na hujui romance, hata hug hujawahi kupewa.

6.Kama hutunzi nywele zako hata zake hutazigharamia.

7.Ukiongea nami muda mrefu na maswali mengi, hata kama hujanitongoza, najua umenipenda.

8. Ukinishika au kunigusa popote kwenye maongezi basi unanitaka kimwili.

9.Kama mkanda wa suruali na viatu havimachi rangi, hujawa na mwanamke kwa muda mrefu.

10. Usiponitazama machoni, yawezekana muongo au hujiamini na unaniogopa.

habari ndio hiyo........
 
mpaka unapata first date., that means there is something somewhere.. (yaani you have a chance), ndio maana feelings is better than no feelings.., kama mtu anakuchukia ni rahisi kubadilisha chuki kuwa mapenzi kuliko the one who does not care..

After all hapo umeongelea material things, ambazo can be easily changed au mtu akitoka anaweza kuazima
 
[FONT=comic
sans ms]Sio wote.....bali wengi wetu.....(nami nikiwemo).....huwa
tunaangalia mambo haya........siku ya kwanza kukutana....(au
kutoka).....

[/FONT]
1.Kwanza
tunatazama tembea yako, kisela au kiheshima ili tujue kama una kazi au
la.

2.Kama nguo zako zimefubaa, unatembea juani, kama hazijanyooshwa basi
hata pasi kwako huna.

3.Kama viatu vina vumbi moja kwa moja gari huna.

4.Kama pesa hutoi kwenye waleti hujazoea kuwa na pesa tena yawezekana
hata laki hujawahi kushika.

5.Kama hunukii vizuri basi wanawake huwajui vizuri, na hujui romance,
hata hug hujawahi kupewa.

6.Kama hutunzi nywele zako hata zake hutazigharamia.

7.Ukiongea nami muda mrefu na maswali mengi, hata kama hujanitongoza,
najua umenipenda.

8. Ukinishika au kunigusa popote kwenye maongezi basi unanitaka
kimwili.

9.Kama mkanda wa suruali na viatu havimachi rangi, hujawa na mwanamke
kwa muda mrefu.

10. Usiponitazama machoni, yawezekana muongo au hujiamini na
unaniogopa.

habari ndio hiyo........

type ya viatu ulivyo vaa. mwanaume anajipenda anavaa viatu vzuri...kama umevaa trouser ya kitambaa na raba za riadha, kazi kwako!!
 
Kama huu ndio utaratibu lazima nije Yaeda chini, Kufanyiwa hii exam nikiclear huko sijapata hata F moja na nikirudi hapa Dar watakomaje? kwanza nitakuwa siwaangalii kabisaaa wanitafute wao a ha ha ha haaa Yaeda chini si mchezo
 
mpaka unapata first date., that means there is something somewhere.. (yaani you have a chance), ndio maana feelings is better than no feelings.., kama mtu anakuchukia ni rahisi kubadilisha chuki kuwa mapenzi kuliko the one who does not care..

After all hapo umeongelea material things, ambazo can be easily changed au mtu akitoka anaweza kuazima

hii pia inatokana na dunia tunayoishi sasa......hivi utaazima kila siku.....?
 
hii pia inatokana na dunia tunayoishi sasa......hivi utaazima kila siku.....?

Mhh Preta umesahau kwamba first date sio kila siku.., na kwenye first impression watu wanajitahidi kale kashati ka sikukuu, ka perfume ka roommate na trip kwa kinyozi kunyoa bila kusahau usafiri wa bajaji na kiatu cha mjomba, na kumuuliza dada / rafiki "vipi hapo nimependeza hee..." na yote hayo yatabadilika baada ya jamaa kupata anachohitaji..,

Au ndugu zetu wa-Congo wanaoweka investment yao yote kwenye appearance...
 
Back
Top Bottom