Wanawake tunachoangalia........kwenye first date......

Wanawake tunachoangalia........kwenye first date......

Ndiyo maana sisi day waka tunaishia uwanja wa fisi, hayo masharti hakuna hata moja tutaliweza hapo!.

tena kama nyie muishie huko huko........nyie ndio mnaovaa mkanda usiomatch na viatu.........
 
Hahahahahhaha
Preta hapo namba 7 unaweza kuingia chaka!
 
Last edited by a moderator:
He! Kumbe swahiba ulikuwa hujui hili? Ina maana ulikuwa unapiga mkanda wa kijani na viatu vyekundu?! Hii kali. Mkanda kuendana rangi na viatu ni kama sheria mkuu. Mara nyingi ukichanganya kila mtu anakuona wakuja. Hata shati mkuu lazima liendane na suruali. Soksi pia lazima ziendane rangi na suruali.

Ahahahaaaaaaa...nilikuwa sijui bhana,..hapa ni bora kuvaa suti sasa...maake hii matching item ni ngumu sana....thank Preta
 
hapo namba nne kwenye nyekundu,vp mimi ninaye natembea na mabulungutu na kwenye wallet hayatoshi inakua ndogo!??

Kama unatembea na mabunda ya pesa wewe utakua unsound, labda ungesema unatembea na Cheque-book japo lazima uwe na pesa cash due to transaction motive!!
 
Mmmmh......Preta utanifundisha kuvaa mkanda unao_match na viatu....!

halafu wewe......lile shati lako la kung'aa ng'aa usiwe unavaa.....vaa mashati ya kadet......nadhani unayajua........
 
Unachosema Preta ni sahihi...bahati mbaya ukweli ni kwamba mwanaume unaweza kufeki yote unayotaraji kutoka kwake...hili limewapoteza sana wasichana (95%) wanaofikiri maisha yanaweza kuwa formatted kihivyo. .

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
tena kama nyie muishie huko huko........nyie ndio mnaovaa mkanda usiomatch na viatu.........
Kwa vile wanuka vikwapa wenzetu wapo wa kumwaga kule uwanja wa fisi, hamtatuona huko ng'o. Shida ya nini bana, kule hakuna stress sijui kiatu changu kina vumbi, ni wewe na katambuga lako tu. Mambo mwake kabisa!.
 
weeee.....unaenda wapi na starlet........huku bila LX hutaweza........

Haya sasa....kwa hiyo sisi shoe shiner hatulambi toto za geti kali....ngoja niende zangu tandika kwa sokota.
 
Kama unatembea na mabunda ya pesa wewe utakua unsound, labda ungesema unatembea na Cheque-book japo lazima uwe na pesa cash due to transaction motive!!

cheque book itawatuza vp wana Twanga na FM Academia,wewe tumeanza lini kupangiana utaratibu wa maisha!!??
 
halafu wewe......lile shati lako la kung'aa ng'aa usiwe unavaa.....vaa mashati ya kadet......nadhani unayajua........

Ooooh....kwa hiyo lile shati langu la njano lenye raman ya tanzania niliache.....linavyong"aa hata kama gizan utanitambua tuu....
 
Asprin
Achana na vigezo vya Preta...vya kichina hivyo plz twende ukanikague
Oh Mammah! Tena nlivokumisi, hebu twende PM tukapange mikakati. Niimelimisi pozi lako mantashau.

attachment.php
 
Namba 7 na 8 zinaweza kuwa general; the rest of the list ni kwa wanawake wa mjini tu.
 
Hiyo namba nne ya kutokuwa na wallet mmmh! Yaani kuna siku mtu aliniambia hapendagi wallet nikachoka. Nikajua tu huyu anatokaga na buku tano home lol! Daladala na lunch kwishnei!
Mwingien mkaka ana wallets mbili. Duh!
 
Mmmmmh.....huyo wa wallet mbili nafikiri ana mihela mingi....lo
 
Good riddance wapi utakuwa umekosa mchumba,
Halafu naenda kutangaza kitaa kuwa your uncultured, ili nikuharibie kabisa.

Bado itakuwa good riddance, coz hao wa kitaa ambao wanasikiliza maneno ya kuambiwa sio sawa yangu; so l will be better off without them!
 
cheque book itawatuza vp wana Twanga na FM Academia,wewe tumeanza lini kupangiana utaratibu wa maisha!!??

:lol: sasa utaenda kuwatunza hao Fm academia na twanga kwa hayo maburungutu au utatoa elfu 10 tu?
 
Hahahahahahahaha
Preta ina maana mashati ya chui, chui huyapendi na mikanda ya kyoma kyoma(chuma,chuma)?
Daaa jf raha tupu!

kwa hiyo unijie na viatu vyekundu vyenye vumbi useme nakutapeli.......oooh puliiz....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom