Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,271
- 96,398
Sasa mamito, kwani Preta alisema hivyo vigezo vinawahusu mabinti malekchara wa taasisi za elimu ya juu?? Ye kasema festi deti na mvaa sketi yoyote, awe banker, mhasibu, karani, baamedi, changudoa, kondakta, mwalimu, fundi cherehani, mama ntilie, JF geloz kama wewe etc etc.....Hhahahaha mkuu umenifurahisha eti kama boxer...anyways kwa mtindo huo basi hata hao wanawake hawana vigezo wao ilimradi liende..Upo! Hii mada inapaswa kulenga pande zote mbili sio mwanaume ana vigezo aishie kutakwa na wanawake kama kinyume cha mada yenyewe..meaning badala ya mwanaume heading iwe mwanamke..teh teh teh.
Last edited by a moderator: