Wanawake tunachoangalia........kwenye first date......

Wanawake tunachoangalia........kwenye first date......

-Uelewa wa mambo kutokana na maongezi
-uwezo wa kunisikiliza
-they way anavyoji-carry
-taking care kama kurefill my glass
-showing interest in the things l do
Etc
We jamaa, acha mazarau, umekaa na mwanaume halafu unataka yeye ndo aku re fill your glass?, maadili gani hayo, mimi nakumwaga on the spot
 
Preta, je kwa wale wanaojuana vizuri kwa mujibu wa maelezo yako inakuwaje?
 
ila habari ndio hiyo........
he he he.....hujawahi kushika hata laki unasema unatubadilisha.......nikikukamata wewe.......
Hehehehe wenzako wananogewa wanakuwa wafadhili wa kidume. Chezeya mapigo wewe?/
 
Kama huu ndio utaratibu lazima nije Yaeda chini, Kufanyiwa hii exam nikiclear huko sijapata hata F moja na nikirudi hapa Dar watakomaje? kwanza nitakuwa siwaangalii kabisaaa wanitafute wao a ha ha ha haaa Yaeda chini si mchezo

tena uje ukiwa umejipulizia Gucci Guilty........sio unijie na kicobra chako kile..........
 
Kwa hiyo hapo mkuu Preta asilimia kubwa unachochek ni uwezo wa kiuchumi(financial capability)?, Duh, women, kazi ipo!!!!!!!
 
Mmmmh......Preta utanifundisha kuvaa mkanda unao_match na viatu....!

He! Kumbe swahiba ulikuwa hujui hili? Ina maana ulikuwa unapiga mkanda wa kijani na viatu vyekundu?! Hii kali. Mkanda kuendana rangi na viatu ni kama sheria mkuu. Mara nyingi ukichanganya kila mtu anakuona wakuja. Hata shati mkuu lazima liendane na suruali. Soksi pia lazima ziendane rangi na suruali.
 
tena uje ukiwa umejipulizia Gucci Guilty........sio unijie na kicobra chako kile..........
Tatizo sio zangu kujipulizia nitakuwa nasahau mpaka nimalize hizo exams nitakuwa labda nimejipulizia mara mbili tu. Yaeda huko na vumbi itabidi kila siku niwe naamka asubuhi kublash viatu Oh mamaaa kazi kweli kweli. Na wakaka tuwe tunaangalia nini kwa wadada??? Nawaachia wanafani hii
 
Hapo namba 4 mkuu; ki'date chenyewe total expenditure 50k shilings unataka atoe kwenye wallet!!?

Kipimo hiki ni kwa ajili ya wale walozoea kutoka na wanafunzi wa chuo! Walet ina 'boom' lote plus pesa alopewa kwa ndugu na bado hata kujaa haijai!
 
Mie naona hayo yote ni mawingu tu yanajikusanya lkn Mvua hapo ni PESA baaasi!!!!Ikinyesha tu vizuri hakuna cha mkanda wa suruali wala HUG hahahaaha
 
Tatizo sio zangu kujipulizia nitakuwa nasahau mpaka nimalize hizo exams nitakuwa labda nimejipulizia mara mbili tu. Yaeda huko na vumbi itabidi kila siku niwe naamka asubuhi kublash viatu Oh mamaaa kazi kweli kweli. Na wakaka tuwe tunaangalia nini kwa wadada??? Nawaachia wanafani hii

hivi huku Yaeda utakuja bila gari......?.......nijue kwanza hilo.........
 
Back
Top Bottom