First approach is hard lakini wanawake wepesi sana siku hizi

Memtata

JF-Expert Member
Jul 27, 2013
552
1,801
Siku moja rafiki yangu aliniita tukutane grocery maeneo ya uzunguni, haikuwa weekend watu walikuwa wachache sana nikaagiza Grand Malta baridi tukakaa na jamaa tukipiga story yeye akipiga chui chui lite.

Mara akaingia dada mmoja mzuri (kwa jicho la kwanza) akatusalimia na kwenda kukaa hatua chache na tulipo, jicho likanitoka rafiki yangu akacheka na kunionyesha ishara kwa mikono "Cool down" 😂

Utulivu utoke wapi wakati nna moyo? Nikamuuliza jamaa...
"Unamfaham?"

Jamaa akaniambia sio mara ya kwanza kumuona hapa na yeye alishawahi kuuliza akaambiwa huyu dem anaishi jirani na hapo, marachache akitoka kazini huwa anakuja kupiga wine na kuondoka zake na hupenda kukaa pekeake au na dada mmiliki wa grocery.

Mate yakanitoka kwa tamaa nikabaki nimeduwaa nisijue la kufanya kwa wakati huo. Nlitaka nimuite akae na sisi roho ikasita.

Baada ya muda Dem akatoka akipita pale tulipo, nikamsemesha...
"Mbona mapema dada?... karibu basi ujumuike nasi japo tutambuane"

Dada akageuka huku akitabasam akanijibi. "Asante kaka, nawahi nyumbani kumalizia majukumu"
Alijibu huku akipiga hatua akiondoka. Nilisita kunyanyuka kumfata nikabaki nimekaa nikimuangalia akiyoyoma.

Tangu siku hiyo nikajifanya simba mwenda pole, kila siku jioni nikapita kwenye ile grocery na kuagiza kinywaji lengo likiwa ni kuwa karibu na yule mrembo.

Siku moja nimekaa pale nikipata soda mara yule dem akaja, akanisalimia na kupitiliza counter. Muda mchache akarudi na chupa ya maji madogo na kukaa kwenye meza yangu. Moyo ukapiga paah! Niwaambie tu ukweli wakuu, tangu nimeacha pombe ujasiri wa kutongoza umepungua sana hasa kwa wanawake wazuri maana wale wa kawaida wanaume huwa tunajiamini sana tukijua sio rahisi kutoswa 🤣

Dem akakaa bwana, baada ya salam fasta nikamwita muhudum nikamwambia "msikilize huyu"
Ohoooo..... Dem akatosa! Akasema leo hajisikii kunywa chochote zaidi ya maji. nikajifaragua na kumbembeleza anywe hata moja akakataa.

Baada ya muhudum kuondoka dakika chache kimya kikatawala, fasta nikajitutumua nikaanza maongezi nae. Nikamuuliza jina lake nami nikamwambia la kwangu.

Dem alikuwa anajibu kwa ufupi sana ilitakiwa juhudi ya ziada kufanya maongezi endelevu.

Nikajikoholesha kusafisha koo ili niendelee kutega chambo, mara anaingia Dulla jamaa yangu wa kitaa mtoto wa Kiswahili maneno mengi sana.

“We jamaa na huku umefata nini wakati dagi ushaacha?!”

Dulla aliniuliza huku akicheka tukasalimiana kwa kugonga tano, jamaa akavuta kiti na kukaa. Siku hii habari iliishia hapa, Dulla alikuwa anaongea sana na alikuwa anafahamiana na huyu dada sababu wanakaa mtaa mmoja basi ilikuwa shida, hata haikuchukua muda dem akachora kwenda kwake.

Siku nyingine Simba mawindoni, siku hii nilikuta wadau kibao Dulla akiwemo, kijiwe kilikuwa kimenoga na mashangazi ya mtaa yalikuwa ya kutosha.

Haikuchukua muda mrefu Dem huyo akapita akitusalimia na kwenda counter, nikasema leo liwalo na liwe.

Nikamwita muhudum nikamwambia akaniitie. Dem hakukataa akaja kukaa lakini alikaa mbali kidogo na mimi tulikuwa meza ya duara na kina Dulla na mashangazi ya kitaa. Sikukata tamaa nikamwangalia na kujitutumua nikamwambia “mbona umekaa mbali?”

Akanyanyuka na kuja kukaa pembeni yangu, nikamsogelea sikioni nikamnong’oneza “Leo naomba nikununulie kinywaji, please don’t reject my offer!”

Akatabasamu na kusema kwa upole “Sawa!”…. 🤩

Fasta nikaita “Muhudumu!...” akaja mdada kumsikiliza dem akaagiza mataputapu (bia za buku jero 🤣) nikamzuwia muhudum na kumwambia dem “We si unakunywaga wine? Hebu mletee Saint Anna tafadhali”

…..Mzigo mezani tiii na glass mi nikipiga Pepsi baridi. Glass ya kwanza…. Ya pili… ya tatu….. dem ananiambia “tuhamie pale” akinielekeza meza iliyojitenga pembeni kabisa. Tukahama huku Dulla akinipiga maneno ya Kiswahili kwa utani 🤣

Tulikaa pale tukaongea mengi sana na dem kwa muda mchache tukafahamiana haswaaa… Giza likiwa limeshaingia dem akanambia anahisi baridi miguuni sababu alikuwa amevaa nguo fupi. Kabla sijaongea lolote akavua viatu na kujiweka sawa kisha akapandisha miguu yake mapajani mwangu.

Ndani ya dakika chache tu akaniangalia usoni akacheka nami nikatabasamu huku nikijifanya sijui kitu, kitu kigumu kilikuwa kama kinaisukuma miguu yake 🍆🤣🤣🤣

DONE! 🤩

Sehemu ya pili 👇

First approach is hard lakini wanawake wepesi sana siku hizi

dating+down.jpg
 
Boea a rafiki yangu aliniita tukutane grocery maeneo ya uzunguni, haikuwa weekend watu walikuwa wachache sana nikaagiza Grand Malta baridi tukakaa na jamaa tukipiga story yeye akipiga chui chui lite.

Mara akaingia dada mmoja mzuri (kwa jicho la kwanza) akatusalimia na kwenda kukaa hatua chache na tulipo, jicho likanitoka rafiki yangu akacheka na kunionyesha ishara kwa mikono "Cool down" 😂

Utulivu utoke wapi wakati nna moyo? Nikamuuliza jamaa...
"Unamfaham?"

Jamaa akaniambia sio mara ya kwanza kumuona hapa na yeye alishawahi kuuliza akaambiwa huyu dem anaishi jirani na hapo, marachache akitoka kazini huwa anakuja kupiga wine na kuondoka zake na hupenda kukaa pekeake au na dada mmiliki wa grocery.

Mate yakanitoka kwa tamaa nikabaki nimeduwaa nisijue la kufanya kwa wakati huo. Nlitaka nimuite akae na sisi roho ikasita.

Baada ya muda Dem akatoka akipita pale tulipo, nikamsemesha...
"Mbona mapema dada?... karibu basi ujumuike nasi japo tutambuane"

Dada akageuka huku akitabasam akanijibi. "Asante kaka, nawahi nyumbani kumalizia majukumu"
Alijibu huku akipiga hatua akiondoka. Nilisita kunyanyuka kumfata nikabaki nimekaa nikimuangalia akiyoyoma.

Tangu siku hiyo nikajifanya simba mwenda pole, kila siku jioni nikapita kwenye ile grocery na kuagiza kinywaji lengo likiwa ni kuwa karibu na yule mrembo.

Siku moja nimekaa pale nikipata soda mara yule dem akaja, akanisalimia na kupitiliza counter. Muda mchache akarudi na chupa ya maji madogo na kukaa kwenye meza yangu. Moyo ukapiga paah! Niwaambie tu ukweli wakuu, tangu nimeacha pombe ujasiri wa kutongoza umepungua sana hasa kwa wanawake wazuri maana wale wa kawaida wanaume huwa tunajiamini sana tukijua sio rahisi kutoswa 🤣

Dem akakaa bwana, baada ya salam fasta nikamwita muhudum nikamwambia "msikilize huyu"
Ohoooo..... Dem akatosa! Akasema leo hajisikii kunywa chochote zaidi ya maji. nikajifaragua na kumbembeleza anywe hata moja akakataa.

Baada ya muhudum kuondoka dakika chache kimya kikatawala, fasta nikajitutumua nikaanza maongezi nae. Nikamuuliza jina lake nami nikamwambia la kwangu.

Dem alikuwa anajibu kwa ufupi sana ilitakiwa juhudi ya ziada kufanya maongezi endelevu.

Nikajikoholesha kusafisha koo ili niendelee kutega chambo, mara anaingia Dulla jamaa yangu wa kitaa mtoto wa Kiswahili maneno mengi sana.

“We jamaa na huku umefata nini wakati dagi ushaacha?!”

Dulla aliniuliza huku akicheka tukasalimiana kwa kugonga tano, jamaa akavuta kiti na kukaa. Siku hii habari iliishia hapa, Dulla alikuwa anaongea sana na alikuwa anafahamiana na huyu dada sababu wanakaa mtaa mmoja basi ilikuwa shida, hata haikuchukua muda dem akachora kwenda kwake.

Siku nyingine Simba mawindoni, siku hii nilikuta wadau kibao Dulla akiwemo, kijiwe kilikuwa kimenoga na mashangazi ya mtaa yalikuwa ya kutosha.

Haikuchukua muda mrefu Dem huyo akapita akitusalimia na kwenda counter, nikasema leo liwalo na liwe.

Nikamwita muhudum nikamwambia akaniitie. Dem hakukataa akaja kukaa lakini alikaa mbali kidogo na mimi tulikuwa meza ya duara na kina Dulla na mashangazi ya kitaa. Sikukata tamaa nikamwangalia na kujitutumua nikamwambia “mbona umekaa mbali?”

Akanyanyuka na kuja kukaa pembeni yangu, nikamsogelea sikioni nikamnong’oneza “Leo naomba nikununulie kinywaji, please don’t reject my offer!”

Akatabasamu na kusema kwa upole “Sawa!”…. 🤩

Fasta nikaita “Muhudumu!...” akaja mdada kumsikiliza dem akaagiza mataputapu (bia za buju jero 🤣) nikamzuwia muhudum na kumwambia dem “We si unakunywaga wine? Hebu mletee Saint Anna tafadhali”

…..Mzigo mezani tiii na glass mi nikipiga Pepsi baridi. Glass ya kwanza…. Ya pili… ya tatu….. dem ananiambia “tuhamie pale” akinielekeza meza iliyojitenga pembeni kabisa. Tukahama huku Dulla akinipiga maneno ya Kiswahili kwa utani 🤣

Tulikaa pale tukaongea mengi sana na dem kwa muda mchache tukafahamiana haswaaa… Giza likiwa limeshaingia dem akanambia anahisi baridi miguuni sababu alikuwa amevaa nguo fupi. Kabla sijaongea lolote akavua viatu na kujiweka sawa kisha akapandisha miguu yake mapajani mwangu.

Ndani ya dakika chache tu akaniangalia usoni akacheka nami nikatabasamu huku nikijifanya sijui kitu, kitu kigumu kilikuwa kama kinaisukuma miguu yake 🍆🤣🤣🤣

DONE! 🤩View attachment 2342455
Bora shule zifunguliwe
 
Siku moja rafiki yangu aliniita tukutane grocery maeneo ya uzunguni, haikuwa weekend watu walikuwa wachache sana nikaagiza Grand Malta baridi tukakaa na jamaa tukipiga story yeye akipiga chui chui lite.

Mara akaingia dada mmoja mzuri (kwa jicho la kwanza) akatusalimia na kwenda kukaa hatua chache na tulipo, jicho likanitoka rafiki yangu akacheka na kunionyesha ishara kwa mikono "Cool down"

Utulivu utoke wapi wakati nna moyo? Nikamuuliza jamaa...
"Unamfaham?"

Jamaa akaniambia sio mara ya kwanza kumuona hapa na yeye alishawahi kuuliza akaambiwa huyu dem anaishi jirani na hapo, marachache akitoka kazini huwa anakuja kupiga wine na kuondoka zake na hupenda kukaa pekeake au na dada mmiliki wa grocery.

Mate yakanitoka kwa tamaa nikabaki nimeduwaa nisijue la kufanya kwa wakati huo. Nlitaka nimuite akae na sisi roho ikasita.

Baada ya muda Dem akatoka akipita pale tulipo, nikamsemesha...
"Mbona mapema dada?... karibu basi ujumuike nasi japo tutambuane"

Dada akageuka huku akitabasam akanijibi. "Asante kaka, nawahi nyumbani kumalizia majukumu"
Alijibu huku akipiga hatua akiondoka. Nilisita kunyanyuka kumfata nikabaki nimekaa nikimuangalia akiyoyoma.

Tangu siku hiyo nikajifanya simba mwenda pole, kila siku jioni nikapita kwenye ile grocery na kuagiza kinywaji lengo likiwa ni kuwa karibu na yule mrembo.

Siku moja nimekaa pale nikipata soda mara yule dem akaja, akanisalimia na kupitiliza counter. Muda mchache akarudi na chupa ya maji madogo na kukaa kwenye meza yangu. Moyo ukapiga paah! Niwaambie tu ukweli wakuu, tangu nimeacha pombe ujasiri wa kutongoza umepungua sana hasa kwa wanawake wazuri maana wale wa kawaida wanaume huwa tunajiamini sana tukijua sio rahisi kutoswa

Dem akakaa bwana, baada ya salam fasta nikamwita muhudum nikamwambia "msikilize huyu"
Ohoooo..... Dem akatosa! Akasema leo hajisikii kunywa chochote zaidi ya maji. nikajifaragua na kumbembeleza anywe hata moja akakataa.

Baada ya muhudum kuondoka dakika chache kimya kikatawala, fasta nikajitutumua nikaanza maongezi nae. Nikamuuliza jina lake nami nikamwambia la kwangu.

Dem alikuwa anajibu kwa ufupi sana ilitakiwa juhudi ya ziada kufanya maongezi endelevu.

Nikajikoholesha kusafisha koo ili niendelee kutega chambo, mara anaingia Dulla jamaa yangu wa kitaa mtoto wa Kiswahili maneno mengi sana.

“We jamaa na huku umefata nini wakati dagi ushaacha?!”

Dulla aliniuliza huku akicheka tukasalimiana kwa kugonga tano, jamaa akavuta kiti na kukaa. Siku hii habari iliishia hapa, Dulla alikuwa anaongea sana na alikuwa anafahamiana na huyu dada sababu wanakaa mtaa mmoja basi ilikuwa shida, hata haikuchukua muda dem akachora kwenda kwake.

Siku nyingine Simba mawindoni, siku hii nilikuta wadau kibao Dulla akiwemo, kijiwe kilikuwa kimenoga na mashangazi ya mtaa yalikuwa ya kutosha.

Haikuchukua muda mrefu Dem huyo akapita akitusalimia na kwenda counter, nikasema leo liwalo na liwe.

Nikamwita muhudum nikamwambia akaniitie. Dem hakukataa akaja kukaa lakini alikaa mbali kidogo na mimi tulikuwa meza ya duara na kina Dulla na mashangazi ya kitaa. Sikukata tamaa nikamwangalia na kujitutumua nikamwambia “mbona umekaa mbali?”

Akanyanyuka na kuja kukaa pembeni yangu, nikamsogelea sikioni nikamnong’oneza “Leo naomba nikununulie kinywaji, please don’t reject my offer!”

Akatabasamu na kusema kwa upole “Sawa!”….

Fasta nikaita “Muhudumu!...” akaja mdada kumsikiliza dem akaagiza mataputapu (bia za buju jero ) nikamzuwia muhudum na kumwambia dem “We si unakunywaga wine? Hebu mletee Saint Anna tafadhali”

…..Mzigo mezani tiii na glass mi nikipiga Pepsi baridi. Glass ya kwanza…. Ya pili… ya tatu….. dem ananiambia “tuhamie pale” akinielekeza meza iliyojitenga pembeni kabisa. Tukahama huku Dulla akinipiga maneno ya Kiswahili kwa utani

Tulikaa pale tukaongea mengi sana na dem kwa muda mchache tukafahamiana haswaaa… Giza likiwa limeshaingia dem akanambia anahisi baridi miguuni sababu alikuwa amevaa nguo fupi. Kabla sijaongea lolote akavua viatu na kujiweka sawa kisha akapandisha miguu yake mapajani mwangu.

Ndani ya dakika chache tu akaniangalia usoni akacheka nami nikatabasamu huku nikijifanya sijui kitu, kitu kigumu kilikuwa kama kinaisukuma miguu yake

DONE! View attachment 2342455

haka story umekaandika kivivu sana.....yaani baada tu ya kukuwekea miguu yake mapajani mwako, DONE?.....huyo demu bila shaka ni maharage ya mbeya.
 
Siku moja rafiki yangu aliniita tukutane grocery maeneo ya uzunguni, haikuwa weekend watu walikuwa wachache sana nikaagiza Grand Malta baridi tukakaa na jamaa tukipiga story yeye akipiga chui chui lite.

Mara akaingia dada mmoja mzuri (kwa jicho la kwanza) akatusalimia na kwenda kukaa hatua chache na tulipo, jicho likanitoka rafiki yangu akacheka na kunionyesha ishara kwa mikono "Cool down" 😂

Utulivu utoke wapi wakati nna moyo? Nikamuuliza jamaa...
"Unamfaham?"

Jamaa akaniambia sio mara ya kwanza kumuona hapa na yeye alishawahi kuuliza akaambiwa huyu dem anaishi jirani na hapo, marachache akitoka kazini huwa anakuja kupiga wine na kuondoka zake na hupenda kukaa pekeake au na dada mmiliki wa grocery.

Mate yakanitoka kwa tamaa nikabaki nimeduwaa nisijue la kufanya kwa wakati huo. Nlitaka nimuite akae na sisi roho ikasita.

Baada ya muda Dem akatoka akipita pale tulipo, nikamsemesha...
"Mbona mapema dada?... karibu basi ujumuike nasi japo tutambuane"

Dada akageuka huku akitabasam akanijibi. "Asante kaka, nawahi nyumbani kumalizia majukumu"
Alijibu huku akipiga hatua akiondoka. Nilisita kunyanyuka kumfata nikabaki nimekaa nikimuangalia akiyoyoma.

Tangu siku hiyo nikajifanya simba mwenda pole, kila siku jioni nikapita kwenye ile grocery na kuagiza kinywaji lengo likiwa ni kuwa karibu na yule mrembo.

Siku moja nimekaa pale nikipata soda mara yule dem akaja, akanisalimia na kupitiliza counter. Muda mchache akarudi na chupa ya maji madogo na kukaa kwenye meza yangu. Moyo ukapiga paah! Niwaambie tu ukweli wakuu, tangu nimeacha pombe ujasiri wa kutongoza umepungua sana hasa kwa wanawake wazuri maana wale wa kawaida wanaume huwa tunajiamini sana tukijua sio rahisi kutoswa 🤣

Dem akakaa bwana, baada ya salam fasta nikamwita muhudum nikamwambia "msikilize huyu"
Ohoooo..... Dem akatosa! Akasema leo hajisikii kunywa chochote zaidi ya maji. nikajifaragua na kumbembeleza anywe hata moja akakataa.

Baada ya muhudum kuondoka dakika chache kimya kikatawala, fasta nikajitutumua nikaanza maongezi nae. Nikamuuliza jina lake nami nikamwambia la kwangu.

Dem alikuwa anajibu kwa ufupi sana ilitakiwa juhudi ya ziada kufanya maongezi endelevu.

Nikajikoholesha kusafisha koo ili niendelee kutega chambo, mara anaingia Dulla jamaa yangu wa kitaa mtoto wa Kiswahili maneno mengi sana.

“We jamaa na huku umefata nini wakati dagi ushaacha?!”

Dulla aliniuliza huku akicheka tukasalimiana kwa kugonga tano, jamaa akavuta kiti na kukaa. Siku hii habari iliishia hapa, Dulla alikuwa anaongea sana na alikuwa anafahamiana na huyu dada sababu wanakaa mtaa mmoja basi ilikuwa shida, hata haikuchukua muda dem akachora kwenda kwake.

Siku nyingine Simba mawindoni, siku hii nilikuta wadau kibao Dulla akiwemo, kijiwe kilikuwa kimenoga na mashangazi ya mtaa yalikuwa ya kutosha.

Haikuchukua muda mrefu Dem huyo akapita akitusalimia na kwenda counter, nikasema leo liwalo na liwe.

Nikamwita muhudum nikamwambia akaniitie. Dem hakukataa akaja kukaa lakini alikaa mbali kidogo na mimi tulikuwa meza ya duara na kina Dulla na mashangazi ya kitaa. Sikukata tamaa nikamwangalia na kujitutumua nikamwambia “mbona umekaa mbali?”

Akanyanyuka na kuja kukaa pembeni yangu, nikamsogelea sikioni nikamnong’oneza “Leo naomba nikununulie kinywaji, please don’t reject my offer!”

Akatabasamu na kusema kwa upole “Sawa!”…. 🤩

Fasta nikaita “Muhudumu!...” akaja mdada kumsikiliza dem akaagiza mataputapu (bia za buju jero 🤣) nikamzuwia muhudum na kumwambia dem “We si unakunywaga wine? Hebu mletee Saint Anna tafadhali”

…..Mzigo mezani tiii na glass mi nikipiga Pepsi baridi. Glass ya kwanza…. Ya pili… ya tatu….. dem ananiambia “tuhamie pale” akinielekeza meza iliyojitenga pembeni kabisa. Tukahama huku Dulla akinipiga maneno ya Kiswahili kwa utani 🤣

Tulikaa pale tukaongea mengi sana na dem kwa muda mchache tukafahamiana haswaaa… Giza likiwa limeshaingia dem akanambia anahisi baridi miguuni sababu alikuwa amevaa nguo fupi. Kabla sijaongea lolote akavua viatu na kujiweka sawa kisha akapandisha miguu yake mapajani mwangu.

Ndani ya dakika chache tu akaniangalia usoni akacheka nami nikatabasamu huku nikijifanya sijui kitu, kitu kigumu kilikuwa kama kinaisukuma miguu yake 🍆🤣🤣🤣

DONE! 🤩View attachment 2342455
Uzunguni chugga?
 
haka story umekaandika kivivu sana.....yaani baada tu ya kukuwekea miguu yake mapajani mwako, DONE?.....huyo demu bila shaka ni maharage ya mbeya.
Hakika mkuu nimeandika kivivu sana jioni ya leo baada ya majukum lakini baada ya maoni ya wadau kesho ntajitahidi nijazie vinyama kabla ya "done"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom