Wanawake tujikumbushie vituko vya leba

Nani anataka epidural? Mi siziamini sana zitakua na madhara makubwa sio.kila kitu kizuri kwa afya bora hayo maumivu tutayavumilia yanaisha na ni natural mwili unafanya kazi yake.
[emoji122][emoji122][emoji122] asee we mwanamkee...[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Nilijifunza ujauzito wa pili wala haikuchukua two hours nilikua nimeshajifungua nilipiga zoezi mwanzo mwisho na uchungu unakua wa haraka. Ila kuna complications zingine ziko nje ya uwezo wa mama
Ongera kwa kufuzu hilo somo. Ya tatu itachukua dk 10
 
Mi nilijuaga leba mtu anapigwa sindano ya ganzi kabla process haijaanza kumbe ni hivi hivi [emoji15] [emoji15] ,sipati picha
Unaijua ganzi kwanza chief [emoji1][emoji1][emoji1] alafu jiulize anachomwa wapi hiyo ganzi sasa!!?
 
Cajojo leo umenipa burudani kabisa [emoji4][emoji4][emoji4][emoji122][emoji122][emoji122]
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Mmmhh shikamooh mama mie nilivyoenda leba nasikia nilisema "uwiii wanaume wote wafe" manesi wakanijibu afe wa kwangu tu maana waume zao bado wanawapenda hahahhaha sitaki kusikia leba maana akili haikuwa yangu mweehh shkamooh mama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenifanya nicheke[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…