Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,508
- 18,668
Sasa hasira za nini Dogo????
Dogo mbona unanifata fata?
Dogo mbona unanifata fata?
Hahaha kula sabuni!!??Mwingine eti unakuta akipata ujauzito haishi nongwa!
Nakwambia mara anachukia watu, wengine anamchukia mumewe jamani
Na tabia ya kula maudongo, mikaa, sabuni, unga n.k yote hayo ni mapokeo!
HahahahahaSasa hasira za nini Dogo????
Barikiwa kwa kutufikiria hivyo hata kama ni kwa muda mfupiKikawaida siingiagi thread za mambo ya wanawake zaidi.
Ila leo hapa nikiwa napata moja moto ya tano kwenye kistuli, maluweluwe yakanituma em angalia kuna lipi la ajabu wakifika leba.
Aisee, kabla ya kusoma nilikuwa nimeingiwa na shetani wa kumu-harass binti aliyekuwepo karibu yangu;
lakini baada ya kusoma comment mbili tu za Mama Sabrina na Mzigua90, nimepoa hapa, nimeagiza chupa nyingine kwa adabu zote kwa dada mhudumu, nimemwambia keep the change huku nikitamani hata kumuongezea, acha nimalizie hii moja nikalale tu. Kiufupi hata zile mood za kum-harass yule binti zimekata. Nimewaona wanawake wote 'special beings'. Nimejiona mwenye dhambi pale navyowa-overlook.
.
.
.
.
Ila najua, baadae ntasahau af ntaendelea tu na insticts za kiwindaji.
HahahahBarikiwa kwa kutufikiria hivyo hata kama ni kwa muda mfupi
Kikawaida siingiagi thread za mambo ya wanawake zaidi.
Ila leo hapa nikiwa napata moja moto ya tano kwenye kistuli, maluweluwe yakanituma em angalia kuna lipi la ajabu wakifika leba.
Aisee, kabla ya kusoma nilikuwa nimeingiwa na shetani wa kumu-harass binti aliyekuwepo karibu yangu;
lakini baada ya kusoma comment mbili tu za Mama Sabrina na Mzigua90, nimepoa hapa, nimeagiza chupa nyingine kwa adabu zote kwa dada mhudumu, nimemwambia keep the change huku nikitamani hata kumuongezea, acha nimalizie hii moja nikalale tu. Kiufupi hata zile mood za kum-harass yule binti zimekata. Nimewaona wanawake wote 'special beings'. Nimejiona mwenye dhambi pale navyowa-overlook.
.
.
.
.
Ila najua, baadae ntasahau af ntaendelea tu na insticts za kiwindaji.

Mwenza nimesoma comment yako hadi nimeogopa
Na siku hizi mnavyokatwa na ganziEti sisi wanaume tunasema maumivu ya KISU CHA NGALIBA nacho ni balaa na moto wa kuotea mbali!!!
Write your reply...hivi nyie mnajua maumivu ya kupigwa teke LA mapumbu
akuuuuu! alafu tamuu nimuachie nani?Nenda parokiani ukawe sista.
Kina makusudi ndio nini kutishana vile mfyuuunimeisoma full vitisho.
hahahaaaa!! kwakweli.usibishane na mtu.. labda alishaenda leba
Kwa uchungu ulivyo naupitaga huu uzi km ukomaWamama nawaheshimu sana. Nakumbuka mke wangu alitaabika siku nzima akaja kujifungua siku ya pili yake tena kipindi hicho mimi nipo masomoni. Kipindi anahangaika mimi nikawa napiga simu kujua anaendeleaje yaani alikuwa mkali sijawahi kuona nilikuwa nachimbwa biti si la nchi hii.
Kwa heshma na taadhima naomba niwape hongera na salute kubwa kabisa kwenu wanawake mnaojielewa.
Leba kunafurahisha na kuudhunisha pia sometimes.
Asanteni sana.
View attachment 715000