Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,684
Jamani mamdenyi labda wa mjini.Wapare huwa wanaogopa sana kuzaa, huwa wanapiga kelele siyo kulia tena huko.
Umeina eeKuna hatari ya kudhalilisha utu wa mwanamke kwenye hii thread, tuwe makini
Kwann wanaume wasingewezaNawaheshimu sana wanawake maana najua ni yepi mnapitia
Mna moyo na uvumilivu wa hali ya juu kiukweli wanaume tusingeweza.
Asikuambie mtu kitu uchungu ni maumivu yasiyo kipimo lkn kwa kuwa binadamu tunasahau lkn kuna baadhi ya wamama ni wakatili sana kwa watoto wao nadhani hawa hawakuupata ule uchungu wenyewe wa kilo 200 walijifungua watt wakiwa hawajakomaa ndy maana lkn kama mtt alimpa shida atampenda kaama jicho vile.
I salute you women's.
Giving birth is a sacrifice of women to her baby.
Naweza nikikatae kweli ninavyopenda kupewa hela hivi halafu mie ndo niwe natoa mimi uwiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanawake manjiji over-rate sana. Raiti na wewe ungejua maumivu ninayopitia kuapata hela ya kukuhonga ukanunue wigi na lipstick...ungepewa kiti hicho ungekikataaaa.
Mengine yakupitege basiUmesema ulivyokua unashonwa hukusikia maumivu
Hata kulalana na mwanamke sio maadili mkuuIla kuzaa nje ya ndoa siyo maadili....
Unaweza usiamke kabisa ukawa wa kitandani. Mungu aliumba miili yetu kwajinsi ya ajabu kila kitu kina function accordingly. Sasa ukianza tena kwenda against nature lazima madhara yawepo
Hahahahaaaaa. unajua dadako simanya kulonga kikaya.Tilonge kikaya basi. Hangi kwa mbwai wakusenga ne wakushone
Hukunda tu waona soni, nenda nimuuze mvyee mtuhu anambe ukweiHahahahaaaaa. unajua dadako simanya kulonga kikaya.
Hizi ganzi na operation sio nzuri sana, zinapunguza ile bonding ya mama na mtoto
ndio lugha gank hii love?[emoji3][emoji3]Hahahahaaaaa. unajua dadako simanya kulonga kikaya.
sawaBonding huwa ipo tu mkuu, miezi tisa yote tumboni bonding ije kupungua kisa hajazaa kwa uchungu?
Kisambaa eti fogoh2?[emoji3][emoji3][emoji3]Hukunda tu waona soni, nenda nimuuze mvyee mtuhu anambe ukwei
Hahahahahaaaa. Wala sioni soni. Muulize atakwambia ukweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hukunda tu waona soni, nenda nimuuze mvyee mtuhu anambe ukwei
Eeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kisambaa eti fogoh2?[emoji3][emoji3][emoji3]
Tanga kunani kulee [emoji1][emoji1][emoji1] hahaha saafiEeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio kipenzi.Tanga kunani kulee [emoji1][emoji1][emoji1] hahaha saafi
Watu wa tanga ni wakarimu sana, nimepata kuishi nao baadhi huko tanga....tatizo wavivuu kwenye kazi [emoji20][emoji20][emoji1][emoji1][emoji125][emoji125][emoji125]Ndio kipenzi.
Wavivu kweli sio utani ila ndo wakwe ba mashemeji zako sasa [emoji23][emoji23][emoji23]Watu wa tanga ni wakarimu sana, nimepata kuishi nao baadhi huko tanga....tatizo wavivuu kwenye kazi [emoji20][emoji20][emoji1][emoji1][emoji125][emoji125][emoji125]