Wanawake tujikumbushie vituko vya leba

Huyo dokta huwa mnaonana?
 
Kwangu uchungu wa mtoto haukuniuma kama nilvyoumwa kabla ya placenta kutoka. Yale maumivu hayaelezeki.
 
Mmmhh shikamooh mama mie nilivyoenda leba nasikia nilisema "uwiii wanaume wote wafe" manesi wakanijibu afe wa kwangu tu maana waume zao bado wanawapenda hahahhaha sitaki kusikia leba maana akili haikuwa yangu mweehh shkamooh mama
Nimekupenda bure.
You are so sweet mom
 
Hamna kitu kichungu zaid ya kujikwaa kidole cha mwisho wa mguu kwenye pembe ya kitanda mida ya saa kumi na mbili asubuh..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Unaambiwa uchungu ndo maumivu makali zaidi duniani

Heshimuni wake zenu na kuwapenda
Wanajitoa sana kwa ajili yenu, uchungu wa leba ni nusu kifo
Vp ule wa kubikiriwa maana mnasumbuaga sana
 
Mama Sabrina Na wewe ungepewa machungu ya kusaka pesa, hata dakika tu ungeyakataa. Ati unamwambia mama yako akuombee...kimoyomoyo atakuwa alisema "nilikutuma ukakate mauno guest!!!!"
 
Mzigua90 Wanawake manjiji over-rate sana. Raiti na wewe ungejua maumivu ninayopitia kuapata hela ya kukuhonga ukanunue wigi na lipstick...ungepewa kiti hicho ungekikataaaa.
 
Mi uchungu wangu nilibeba nguo zote kichwani nikawa nazunguka ward nzima huku namtukana baba watoto wang matusi mazitoo...basi uwa nikikaa nikifikilia na hili umbo langu lilivokua najihisi aibu sana ingawa miaka ishapita...wamama tueshimiwe
Likoje. Kapicha tafadhali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…