Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,345
- 10,822
Sina Hela mkuuBadilisha simu
Sina Hela mkuuBadilisha simu
Ukinisearch ndo utaona busura kisoda.. upuuzi mwingi... Hata usijisumbueNitakusearch nikusome vizuri kumbe, siyo kwa madini haya leo
Ulikuwaga hivyo hap kitambo kdgoUkinisearch ndo utaona busura kisoda.. upuuzi mwingi... Hata usijisumbue
Kwa kifupi anajaribu kusema wanawake wajuaji sana na waropokaji ni either wanapataga waume mazombi au hawawez kuolewa kabisa...




Hakuna wanawake wanawake pasua kichwa na wanaokera kama wale wanaotaka kuleta ligi katika mahusiano.








Yapo masomo mengi jinsi ya kukaa na kuishi vizuri na mke au mpenzi wako, narudia yapo mengi Sana, Ila hujayaona na hujayatafuta kwa sababu wewe sio mwanaume. Wanaume wanaohitaji wanayatafuta na kupata elimu huyo.And you’d always here about what a woman has to do for a man to keep him, but never will you ever hear nothing about how men should behave to keep their wives... I’ve been fed these nonsense for so long I’m actually really tired of hearing themnimechoka kusikia hizi habari za kuongelesha wanawake jinsi ya kuvumilia ujinga na kuwa submissive kwa wanaume ambao hawajielewi kabisa, ndoa ni ya watu wawili lkn ndoa nyingi za africa wanawake ndo wanafanya kazi kubwa kuziweka ziwe in shape ndo mana zinafeli. Lets stop all these please tuongelee vitu vingine
Status yake juu ya nini, acha mambo ya wanawake utakua mwanamke, umemsikiliza ukaingiwa mazima, mtakua mnafanana kitabia, huo upuzi nani aundekeze ndiyo maana kaachika, unatafuta sympath kiboya hiviUnajua status ya huyo mwanamke au umeamua kuropoka tu?
Usichoke kusikia ukweli my sista. Mume na mke wakiishi kama Mungu alivotuelekeza mbona ndoa ni paradiso kabisa. Shida tumekengeukaMimi mwenyewe nimechoka kwa kweli khaaaaa
Yaani gap ni kubwa, kumbe huwa anapasua kichwa tu, yeye yupo pembeni anaendelea na perspective zake kiulaini,Nitakusearch nikusome vizuri kumbe, siyo kwa madini haya leo
Ukiona mikono haiungiki jirani unga miguu![]()
Jirani huyo mwanamke anatafuta huruma kiboya sana, hawa ndiyo aina ya wanawake wanataka ligi na mwanaume, sasa huyu bwana mdogo nae kaileta huku eti mjifunze, wewe unaweza kuwa open open kwa kila kitu mambo yenu na mume wako unayaweka wazi ili upate nini huruma? Watu wenyewe siku hizi wanafiki kufa, huyo dogo kaleta uzi wa kiboya sanaWe ni Lissu wa jukwaa hili![]()
Tulie dogo, huyajui mahusiano ya ndoa bado unataka shule, nilikua nakuona mjuba kumbe una upepo hivi 




Utakua unapitia mapito fulani hivi, achana na mambo ya generalization hiyo ni fallacy, hakuna mwalimu wa mahusiano, ila kuwa mwanaume kamili ni rahisi kujua madhaifu ya mwanamke na kuyajenga, sio unakutana na mwanamke analilia mtandaoni kaachika unamtafutia huruma, unajua aliishije na jamaa mpaka hapo walipofikia, wewe pia utakua na tabia za kike kusemasema mambo ya ndoa yako kwa wanaume wenzako nyuzi zako zina halalishaKwani mabubu si wapo mkuu? Tafuta bubu wako ukaishi nae sababu mwanamke kuongea ni asili ila mwanamke kuwa na hekima ni baraka kwa familia.
Hahaaa ila nimeishagundua uko vizuri, comments nyingine unatoaga kunogesha uzi tu, but deep inside uko vizuri. UbarikiweUkinisearch ndo utaona busura kisoda.. upuuzi mwingi... Hata usijisumbue
Mzee jiheshimu basi, usinifungue turbo asubuhi hii..Tafadhali sana!!!Status yake juu ya nini, acha mambo ya wanawake utakua mwanamke, umemsikiliza ukaingiwa mazima, mtakua mnafanana kitabia, huo upuzi nani aundekeze ndiyo maana kaachika, unatafuta sympath kiboya hivi
Acha kuropoka kama ni mtu cool san, halafu jibu hoja sijataka mipasho,mimi sio lissu nimechangia mada kama member wengineMzee jiheshimu basi, usinifungue turbo asubuhi hii..Tafadhali sana!!!
Huyo mwanamke ana point ambayo iko blank kabisa. Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu lazma ataing'amua ila kama umeamua kuwa mpinzani kaa kwa pattern mzee. Mie ni mtu cool sana ila dkk 0 naeza kuwa wild katika namna ambayo huwezi kuamini. Jiheshimu!
Mie niko Neutral mzee, halafu naona unataka kunletea mazoea ya kichoko wewe. Sihitaji dhambi!!! Pelekesha kipele chako mbele huko mxenge maji kweli ww. Sikuhizi nimesilimu huwa cifiri!Utakua unapitia mapito fulani hivi, achana na mambo ya generalization hiyo ni fallacy, hakuna mwalimu wa mahusiano, ila kuwa mwanaume kamili ni rahisi kujua madhaifu ya mwanamke na kuyajenga, sio unakutana na mwanamke analilia mtandaoni kaachika unamtafutia huruma, unajua aliishije na jamaa mpaka hapo walipofikia, wewe pia utakua na tabia za kike kusemasema mambo ya ndoa yako kwa wanaume wenzako nyuzo zako zina halalisha
Ona sasa ulichoandika umeshajaa upepo, jamba basi, kamropokee mkeo ujinga huo,Mie niko Neutral mzee, halafu naona unataka kunletea mazoea ya kichoko wewe. Sihitaji dhambi!!! Pelekesha kipele chako mbele huko mxenge maji kweli ww. Sikuhizi nimesilimu huwa cifiri!
Ila ashukuru kuwa alistuka mapema. Kama umemsoma vizuri mwanzoni naye alikuwa wale wale, hadi akajiona mwenyewe anapoteaYaani gap ni kubwa, kumbe huwa anapasua kichwa tu, yeye yupo pembeni anaendelea na perspective zake kiulaini,