Wanawake this is the harsh reality

Wanawake this is the harsh reality

Sema na sisi wanaume tusijiweke kwny kinvuli cha uanaume kutesa watoto wa watu natural tu mke ni mvumilivu sana sasa wengine huingiza hata wanawake wengine chumban kwao mbaka mke anapambana na ww ujue umefanya mengi ya kijinga
Na ukikuta mpaka kidume kinaingiza girl ndani ukute mke jeuri imekuwa ya hali ya juu, vingine vikishika hela kidogo halafu wewe uko p mziki wake sio wa kitoto
 
Mwanamke na mwanaume hawapo sawa...japo Ni marafiki wakuubwa Sana..niwatu wakaribu Sana..

Mwanaume Ni Authority na anapambana kwa ajili ya familia..sijui Sasa Unvyotaka amtii mwanamke una maana gani.labda sijakuelewa.
Mi naona tutiiane
 
I've never been married but Kuna Mambo nlifanya yamenicost Sana. Huku kutaka mashindano,kukosa adabu, kuwa na kiburi, kusema hata Mimi na hela I don't need a man Sio Kweli.

A women needs a man just as much as a man needs a women.

Tuwaheshimu kuwajali na kuwatii wanaume...They are precious to us.I love the feeling of having a supportive and loving man beside me.
Kuwa na heshima na utii kwa mwanaume kutakufanya uishi maisha mazuri na yafuraha... trust me.
Unajitambua.
 
Utakuwa na asili ya upumbavu kama utamuingizia mkeo malaya ndani. Mwanamke ambaye anakupa nafasi ya kutamba kama kidume with full respect.
alichosema huyo hutokea, kuna wanaume huitumia vibaya nafasi yao lakini kwa kua lawama za ndoani ashatupiwa mwanamke zigo hubebeshwa yeye, kuna me wanaongea na michepuko hata wakiwa mbele za wake zao alafu ke akija zingua utasikia wanawake wa sasa hawafai, tukiishi nafasi zetu za uanaume kama walivoishi mitume wa mungu kwa kuwaheshimu wake zao sidhani kama haya makando kando ya wanawake tutayaona, tizama ibrahimu alipotaka kuzaa na kijakazi wake alimuomba ruhusa mkewe na wala hakumkosea adabu kisa hazai ndo maana hata kijakazi alipokosa adabu kwa sarah kisa kuzaa bado ibrahim alimsikiliza mkewe na kumuondoa kijakazi ili mkewe asikwazike, huu ndo uanaume tunaotakiwa kuwa nao na sio kuwakandia tu ke akati hata sisi wenyewe baadhi ni mapopoma na ndo waanzilish wa migogoro mingi ndoani
 
I've never been married but Kuna Mambo nlifanya yamenicost Sana. Huku kutaka mashindano,kukosa adabu, kuwa na kiburi, kusema hata Mimi na hela I don't need a man Sio Kweli.

A women needs a man just as much as a man needs a women.

Tuwaheshimu kuwajali na kuwatii wanaume...They are precious to us.I love the feeling of having a supportive and loving man beside me.
Kuwa na heshima na utii kwa mwanaume kutakufanya uishi maisha mazuri na yafuraha... trust me.

" Wewe Ni mtamu hatariii "
 
Kumtii mume haimaanishi Akuwekee kidole jichoni Wewe uchekelee..
Haimaanishi Kwamba hamtakuwa na migongano au majibizano au kutofautiana..
.namna ya kudeal nahizi migongano lazima pia kuwe na heshima.

Mahusiano Ni yawawili wote mnajukumu la kuyajenga na kuyalinda.. Kila mtu aplay part Yake..lakini hapa Mimi namzungumzia mwanamke...

Awe mtiifu na mweny Heshima kwa asilimia kuubwa inajenga uhusiano ulio imara..

Kutakua na exceptions chache ambazo wapo wanao tii na kuheshimu na bado wakawa hawathaminiwi
Mwanamke muheshimu mumeo na mwanamme mpende mkeo basi.
 
I can't even waste my time and data to open that video. Men always like women who say things that support their primitive characters. Yani ukiwavumilia / kuwa support automatically you are a good woman. Most women want men's acceptance so bad they tolerate anything!

And you’d always here about what a woman has to do for a man to keep him, but never will you ever hear nothing about how men should behave to keep their wives... I’ve been fed these nonsense for so long I’m actually really tired of hearing them nimechoka kusikia hizi habari za kuongelesha wanawake jinsi ya kuvumilia ujinga na kuwa submissive kwa wanaume ambao hawajielewi kabisa, ndoa ni ya watu wawili lkn ndoa nyingi za africa wanawake ndo wanafanya kazi kubwa kuziweka ziwe in shape ndo mana zinafeli. Lets stop all these please tuongelee vitu vingine
 
Alot has been said multiple times ila imekuwa ni malumbano yasio na mwisho tu. Nimewaletea clip hii japo iwe funzo na muweze kuelewa kuwa nini hasa tunahitaji katika ndoa ili kujenga familia yenye amani na furaha.

Ni life experience ya ndoa na funzo toka kwa mwanamke ambaye aliolewa akaachika sababu ya kuendekeza upumbavu. Kuna la kujifunza before hamjajigeuza ma superwoman.
View attachment 1608998
Siungi mkono hoja, mwanamke akishakua talkative anapoteza mvuto wa kuwa mkr bora/mama bora,
 
Alot has been said multiple times ila imekuwa ni malumbano yasio na mwisho tu. Nimewaletea clip hii japo iwe funzo na muweze kuelewa kuwa nini hasa tunahitaji katika ndoa ili kujenga familia yenye amani na furaha.

Ni life experience ya ndoa na funzo toka kwa mwanamke ambaye aliolewa akaachika sababu ya kuendekeza upumbavu. Kuna la kujifunza before hamjajigeuza ma superwoman.
View attachment 1608998
Hiyo ya kujifanya kuwa open open open sipendezwi na mwanamke anaezungumzia sana mahusiano yake au kumuongelea mume wake either kwa mazuri au kwa mabaya, usi support hii rubbish,
 
Back
Top Bottom