Wanawake this is the harsh reality

Wanawake this is the harsh reality

Wanawake wana maajabu jaman. I have a friend ambaye mwanamke anaeish nae amemkataza jamaa asije hata kwangu sababu mimi namwambia jamaa ukweli, huyu mwanamke anamtesa jamaa na kamfanya jamaa zombie familia ya jamaa yote wanajua na hawana la kufanya. Ukimuuliza jamaa anasema yeye ana exercise haki sawa. Mfano, most of the times jamaa akiwa hayupo job au kwake he is hanging with me, he is my best friend sasa basi atapigiwa video call ataulizwa upo wapi, upo na nani ? nimwone huyo mtu , na vitu kama hivyo mshikaji anakuwa forced kudanganya sana ili aaminike, anateseka sana. Mmeenda sehemu mmeagiza nyama na bia moja moja itapigwa simu(video call), uko wapi , nataka baada ya dakika tano uwe hapa, jamaa atatoka nduki kama kafungwa engine ya jet.

Mimi sio muumini wa mambo ya haki sawa kivile ila pia i dont oppress women. Ila kupitia mfano wa jamaangu aisee mwanamke lazima awe chini yangu nikikuona unaleta ujuaji nakukula kimasihara nakupiga chini kimya kimya hata hauta jua na wala huwez leta kiherehere yako sababu i will be very very aggressive and cruel na nakosa kabisa ushirikiano, huo ushetan wako mpelekee mwanaume mwingine sababu kuna wale mazombie wa YES MADAM ALL THE WAY...
Mwanamke akiwa anakufanyia haya sio Kwambaa kakupandaa kichwanii tu ilaa Amekunyeaa kabisaa...!!
 
Yaishe dogo naona povu kubwa sana, hutaki kukosolewa kama jamaa yako wa chama kile
Tatizo huwa sikosolewi na ma qumaa wenye akili kisoda. Unapoleta wenge unakatwa wenge halafu freshi tu! Usije nzoea kabisa makumaku ww!
 
Tatizo huwa sikosolewi na ma qumaa wenye akili kisoda. Unapoleta wenge unakatwa wenge halafu freshi tu! Usije nzoea kabisa makumaku ww!
Ukimaliza usenge wako kafir...... utulie naona bado unaw.... sh.. a
 
I can't even waste my time and data to open that video. Men always like women who say things that support their primitive characters. Yani ukiwavumilia / kuwa support automatically you are a good woman. Most women want men's acceptance so bad they tolerate anything!
Msaidieni huyo dada kimawazo,
 
Mie niko Neutral mzee, halafu naona unataka kunletea mazoea ya kichoko wewe. Sihitaji dhambi!!! Pelekesha kipele chako mbele huko mxenge maji kweli ww. Sikuhizi nimesilimu huwa cifiri!
Hey guys msifike huko miandiko yenu inapotska kuwapeleka..hakuna haja ya malumbano haya ni mambo madogo tu msifanye hivi please.☹️☹️☹️
 
Hey guys msifike huko miandiko yenu inapotska kuwapeleka..hakuna haja ya malumbano haya ni mambo madogo tu msifanye hivi please.
Kaanza na ujinga kusema naropoka sikua na haja ya kufika huku, kuna muda mtu anakujaribu ili aone upande wa pili wa shilingi
 
I've never been married but Kuna Mambo nlifanya yamenicost Sana. Huku kutaka mashindano,kukosa adabu, kuwa na kiburi, kusema hata Mimi na hela I don't need a man Sio Kweli.

A women needs a man just as much as a man needs a women.

Tuwaheshimu kuwajali na kuwatii wanaume...They are precious to us.I love the feeling of having a supportive and loving man beside me.
Kuwa na heshima na utii kwa mwanaume kutakufanya uishi maisha mazuri na yafuraha... trust me.
Nilipogundua hili naishi kwa amani Sana . Mwenyenzi Mungu akujalie upate mume mwema .
 
Sawa marioooo, sawa dada amina kaa hapo ndani uoshe vyombo, upike mkeo aje kula
Kwa heshima ya wengine humu ndani na heshima yenu pia ninyi wawili, tunawaomba mpoe na kutokuendelea na huu mtifuano, Kuna a lot of skeletons zinatoka kwenye makabati yenu hapa. Tunawaomba Sana na Sana.
 
I've never been married but Kuna Mambo nlifanya yamenicost Sana. Huku kutaka mashindano,kukosa adabu, kuwa na kiburi, kusema hata Mimi na hela I don't need a man Sio Kweli.

A women needs a man just as much as a man needs a women.

Tuwaheshimu kuwajali na kuwatii wanaume...They are precious to us.I love the feeling of having a supportive and loving man beside me.
Kuwa na heshima na utii kwa mwanaume kutakufanya uishi maisha mazuri na yafuraha... trust me.
Moja ya comment bora kabisa, usichelewe kuolewa sasa maana hakuna ndoa itakushinda upo makini sana, wanaume tunataka vitu kama hivyo
 
Mkuu uneusikiliza video kweli?. Maana huyo dada anasema ujinga alioufanya mpaka ndoa yake ikavunjika, na anashauri wanawake wenzake kivipi waheshimu ndoa zao na kumtii mwanaume, sasa naona umeanza kumshambulia Extrovert au mna ugomvi wenu kaka mkubwa.
Hapana sina ubaya wowote na jamaa, rejea hoja zangu za awali utagundua yeye ndiyo kaanza matusi, hoja yangu ilikua ni kupinga hoja ya huyo mwanamke, yeye kaniambia naropoka sasa naropokaje
 
Kwa heshima ya wengine humu ndani na heshima yenu pia ninyi wawili, tunawaomba mpoe na kutokuendelea na huu mtifuano, Kuna a lot of skeletons zinatoka kwenye makabati yenu hapa. Tunawaomba Sana na Sana.
Imeisha mkuu, mashambulizi aliyaanza yeye lakini yameisha nimemwambia yaieshe akarusha tusi lingine nimemsamehe, lengo ni kushauri na sio matusi kama alivyoanza.
 
Back
Top Bottom