Wanawake this is the harsh reality

Wanawake this is the harsh reality

I've never been married but Kuna Mambo nlifanya yamenicost Sana. Huku kutaka mashindano,kukosa adabu, kuwa na kiburi, kusema hata Mimi na hela I don't need a man Sio Kweli.

A women needs a man just as much as a man needs a women.

Tuwaheshimu kuwajali na kuwatii wanaume...They are precious to us.I love the feeling of having a supportive and loving man beside me.
Kuwa na heshima na utii kwa mwanaume kutakufanya uishi maisha mazuri na yafuraha... trust me.
Hivi kumbe uko vizuri hivi mdau, hongera sana
 
Mwanamke na mwanaume hawapo sawa...japo Ni marafiki wakuubwa Sana..niwatu wakaribu Sana..

Mwanaume Ni Authority na anapambana kwa ajili ya familia..sijui Sasa Unvyotaka amtii mwanamke una maana gani.labda sijakuelewa.
Nitakusearch nikusome vizuri kumbe, siyo kwa madini haya leo
 
I've never been married but Kuna Mambo nlifanya yamenicost Sana. Huku kutaka mashindano,kukosa adabu, kuwa na kiburi, kusema hata Mimi na hela I don't need a man Sio Kweli.

A women needs a man just as much as a man needs a women.

Tuwaheshimu kuwajali na kuwatii wanaume...They are precious to us.I love the feeling of having a supportive and loving man beside me.
Kuwa na heshima na utii kwa mwanaume kutakufanya uishi maisha mazuri na yafuraha... trust me.
Word.. upo wap nikupe windhoek baridiiiiìi
 
Mimi mwenyewe nimechoka kwa kweli khaaaaa
And you’d always here about what a woman has to do for a man to keep him, but never will you ever hear nothing about how men should behave to keep their wives... I’ve been fed these nonsense for so long I’m actually really tired of hearing them nimechoka kusikia hizi habari za kuongelesha wanawake jinsi ya kuvumilia ujinga na kuwa submissive kwa wanaume ambao hawajielewi kabisa, ndoa ni ya watu wawili lkn ndoa nyingi za africa wanawake ndo wanafanya kazi kubwa kuziweka ziwe in shape ndo mana zinafeli. Lets stop all these please tuongelee vitu vingine
 
Kimsingi heshima ni kiunganishi kikubwa sana baina ya wanyama, binadamu wote hata kazini, barabarni, kwenye familia, bus n.k. Panapoishi watu zaidi ya wawili yawapasa kuheshimiana.

Tunamfundisha mwanamke heshima tunamuacha mwanaume kwenye mafundisho haya tunakosea. Mwisho tutakuwa na familia zenye mama mwenye heshima ila baba ni mkiritimba, hashauriki, anafanya lolote na haulizwi, anasaliti ndoa ila anapaswa aulizwe kwa unyenyekevu wakati kaumiza mwenzake.
Madhara yake ni kuzalisha vizazi vya wanawake wenye visasi kulipiza kulingana na maumivu waliyoyapitia muda mrefu.

Kina baba, kina mama, watoto hebu tuyeyushe mioyo yetu! Tujaliane, tuombane radhi tunapokoseana, tusichepuke, tusiwe na masiri mazito mazito yakuangamiza familia.
N:B. Familia lazima iwe na kiongozi mmoja ambaye anatambulika ambaye atatoa kauli ya mwisho baada ya kusikiliza kwa makini maoni ya mwezake.
 
Back
Top Bottom