Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 3,146
- 6,008
Kwa jinsi unavyochangia maada ni wazi kuwa una chembe za kiburi na ushindani katika mahusiano.Mungu hakukosea aliposema Wanawake wawatii waume zao Wakolosai 3:18-19MNhhhh kila mtu aplay part yake, correct,sio jukumu la mwanamke pekee kutii ama kuwa na heshima kwenye uhusiano...
Mahusiano ambayo mwanamke pekee ndio mwenye heshima na utii..hayako healthy..sisi binadamu ni nature kuexchange vitu katika uhusiano, you give respect and you will be given respect...mambo ya kuwa wewe ndio una give tu ...haziko hivyo my dear...
ningependa uelezee jinsi ya kumaliza mambo kiheshima...ila kama mwanamke ndio anatakiwa amalize kiheshima..usinijibu LOL
Enyi wake, watiini waume zenu, kwani ndivyo apendavyo Bwana
Kwanini hakusema enyi wanaume watiini wake zenu badala yake anasema wapendeni wake zenu? Hapana hakusema hivyo kwasababu tangu uumbaji Mwanaume yupo juu ya Mwanamke kiutawala na mwanamke hana budi kuwa mtiifu kwa kichwa cha familia.Kila mmoja ana majukumu yake katika ndoa.Lakini kuwa mtiifu ni jukumu la kwanza kwa mwanamke.