Wanawake this is the harsh reality

Wanawake this is the harsh reality

I've never been married but Kuna Mambo nlifanya yamenicost Sana. Huku kutaka mashindano,kukosa adabu, kuwa na kiburi, kusema hata Mimi na hela I don't need a man Sio Kweli.

A women needs a man just as much as a man needs a women.

Tuwaheshimu kuwajali na kuwatii wanaume...They are precious to us.I love the feeling of having a supportive and loving man beside me.
Kuwa na heshima na utii kwa mwanaume kutakufanya uishi maisha mazuri na yafuraha... trust me.
Now this is you on your real senses...Leo umekuwa OG sana
 
Kumtii mume haimaanishi Akuwekee kidole jichoni Wewe uchekelee..
Haimaanishi Kwamba hamtakuwa na migongano au majibizano au kutofautiana..
.namna ya kudeal nahizi migongano lazima pia kuwe na heshima.

Mahusiano Ni yawawili wote mnajukumu la kuyajenga na kuyalinda.. Kila mtu aplay part Yake..lakini hapa Mimi namzungumzia mwanamke...

Awe mtiifu na mweny Heshima kwa asilimia kuubwa inajenga uhusiano ulio imara..

Kutakua na exceptions chache ambazo wapo wanao tii na kuheshimu na bado wakawa hawathaminiwi
We mtu leo unatema madini sana.🤛🤛🤛
 
MNhhhh kila mtu aplay part yake, correct,sio jukumu la mwanamke pekee kutii ama kuwa na heshima kwenye uhusiano...

Mahusiano ambayo mwanamke pekee ndio mwenye heshima na utii..hayako healthy..sisi binadamu ni nature kuexchange vitu katika uhusiano, you give respect and you will be given respect...mambo ya kuwa wewe ndio una give tu ...haziko hivyo my dear...

ningependa uelezee jinsi ya kumaliza mambo kiheshima...ila kama mwanamke ndio anatakiwa amalize kiheshima..usinijibu LOL
 
Mwanamke na mwanaume hawapo sawa...japo Ni marafiki wakuubwa Sana..niwatu wakaribu Sana..

Mwanaume Ni Authority na anapambana kwa ajili ya familia..sijui Sasa Unvyotaka amtii mwanamke una maana gani.labda sijakuelewa.
 
I've never been married but Kuna Mambo nlifanya yamenicost Sana. Huku kutaka mashindano,kukosa adabu, kuwa na kiburi, kusema hata Mimi na hela I don't need a man Sio Kweli.

A women needs a man just as much as a man needs a women.

Tuwaheshimu kuwajali na kuwatii wanaume...They are precious to us.I love the feeling of having a supportive and loving man beside me.
Kuwa na heshima na utii kwa mwanaume kutakufanya uishi maisha mazuri na yafuraha... trust me.
Naomba uwe mke wangu wa nne aisee.

Kama ombi langu hili litakuwa limekuudhi, usijibu chochote tafadhali. Maana umeandika vya muhimu sana.
 
Mwanamke na mwanaume hawapo sawa...japo Ni marafiki wakuubwa Sana..niwatu wakaribu Sana..

Mwanaume Ni Authority na anapambana kwa ajili ya familia..sijui Sasa Unvyotaka amtii mwanamke una maana gani.labda sijakuelewa.

MNHHHHH.....

Kwani kumtii mwanaume ulikua unamaanisha nini???

Kwa hio ukiwa unapambana na familia ndio unapaswa upewe utii na wewe usitoe utii???

Unazungumziaje wale wanawake wanaopambana kwa ajili familia zao?

Kwa definition yako yule anayefight kwa ajili ya familia ndio apewe utii....duhhh
 
Mkuu samahani kwa kudandia gari kwa mbele, wewe unaamini katika dini ?
Nilitaka kutumia maandiko kidogo, ''Mwanaume ampende mkewe, mwanamke amtii mumewe''

Nakubaliana na wewe kwamba mahusiano bora na yenye afya ni yale yenye kuwa na heshima baina ya pande zote mbili.
Lakini kama ikitokea (kwa sababu yoyote ile) ''utii'' unatakiwa kutokea upande mmoja, basi unatakiwa kutokea upande wa mtu-mke. Kwa bahati mbaya wanaume wanahitaji heshima kutoka kwa mwanamke kuliko kitu chochote kile.
Kwa maoni yangu, kwa mwanamke kusema atamsheshimu au kumtii mwanaume endapo tu huyo mwanaume atamheshimu mwanamke, ni msimamo usio mwema. Ni mashindano yasiyo na afya kwa mahusiano baina ya me na ke.

NB: Nothing can replace mwanamke mtiifu. Huyu kiumbe ni baraka tosha.
 
Kuna wanawake wanaamua ku pick up fights ambazo sio za lazima. Kama ukiwa neutral hutavunjika popote kwanini usichague kuwa neutral. Kuleta ligi katika mahusiano hakuleti afya zaidi ya mifarakano. Hili ndio feminist wengi linawagharimu
 
MNHHHHH.....

Kwani kumtii mwanaume ulikua unamaanisha nini???

Kwa hio ukiwa unapambana na familia ndio unapaswa upewe utii na wewe usitoe utii???

Unazungumziaje wale wanawake wanaopambana kwa ajili familia zao?

Kwa definition yako yule anayefight kwa ajili ya familia ndio apewe utii....duhhh
Acha ligi isio na msingi...Mwanaume ukimtii na kumuheshimu automatically atakuthamini na kukupenda kama lulu. Mbona unatumia nguvu sana kujaribu kuleta msuguano baina ya pande mbili. Ukiwa neutral utavunjika popote?
 
I've never been married but Kuna Mambo nlifanya yamenicost Sana. Huku kutaka mashindano,kukosa adabu, kuwa na kiburi, kusema hata Mimi na hela I don't need a man Sio Kweli.

A women needs a man just as much as a man needs a women.

Tuwaheshimu kuwajali na kuwatii wanaume...They are precious to us.I love the feeling of having a supportive and loving man beside me.
Kuwa na heshima na utii kwa mwanaume kutakufanya uishi maisha mazuri na yafuraha... trust me.
Leo nimekuelewa kuliko kawaida

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Mnhh mwenzako anaona jukumu la kuwa na familia yenye peace and harmony ni la MWANAMKE na kukitokea kitu kidogo yeye ndio alaumiwe na kuwa purnished,NO!! ..ni responsibility yetu SOTE ku create a happy home......

Sijui nini kimeku cost (share if you dont mind) mpaka ukaona wa kuheshimiwa ni wanaume,na kwamba ukimtii mwanaume ndio unakuwa na furaha, trust me you have never experience love and to be loved, kama uko real, kutakua na msuguano na partner wako sometimes, nyinyi sio ndugu, mmekutana watu wazima, kuwa na migongano ni kawaida,,,,,na kuwa na migongano haimaanishi wewe una kiburi,

,,haya mama kuwa submissive wife ni chaguo lako,ila ningependa kukukumbusha you also need to be HEARD, SUPPORTED AND CARED FOR... dont die in a relationship that is emotionally draining..i mean ukichukia,chukia na umemuonyeshe mume wako umechukia,kunyamaza ili kuonekana ukiongea ni mwenye kiburi..ni kujitesa kisaikolojia na pia kama umepata mume abuser most wanatafutaga reason yoyote kukupiga hata kama umeongeza chumvi kidogo...
Siri ndogo tu ( mheshimu mwanaume mwenye akili naye atakupa maisha yenye furaha)

Zingatia mabano na soma neno kwa neno

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke na mwanaume hawapo sawa...japo Ni marafiki wakuubwa Sana..niwatu wakaribu Sana..

Mwanaume Ni Authority na anapambana kwa ajili ya familia..sijui Sasa Unvyotaka amtii mwanamke una maana gani.labda sijakuelewa.
Yani leo ningekuwa nipo vizuri ningekwambia uje makumbusho uchague iPhone unayopenda niilipie fasta. This is how a real woman should be and think 😍 umekuwa positive sana leo.
 
Back
Top Bottom