Wanawake ni wazuri wakiwa kazini

Somo limeingia. Mr hapendi kweli utasikia umefunga khanga kama wa kijijini anasema funga kanga Tako likae vizuri. Ila nimeamini ananipenda aisee ngoja nijitahidi
Daaa! umenifanya nilie yaaani wee acha tu naomba tuonaneee!! in box tyuuu.
 
Mkuuuu ww ni mwanaume kuwa baba bora kaa na mkeo mwambie acha woga tatizo lenu vijana wa sinza mnamatatizo.
 
Ukiwa kazini huna majukumu yatakayokuchafua kuanzia nywele mpaka nguo lazima uvae nguo za hasara ukivaa nguo nzuri unaharibu zote.

Mimi huwa nafanya hivi napika nafanya kila kitu naoga nimeshaanda chakula nimeweka mezani.

Halafu najiremba for dinner na kuvaa kitenge amazing nananukia vizuri watoto wamevalishwa nguo nazo nzuri ila wanaume si hali wanatoka njee.
 
Ukiwa kazini huna majukumu yatakayokuchafua kuanzia nywele mpaka nguo lazima uvae nguo za hasara ukivaa nguo nzuri unaharibu zote.
Mimi huwa nafanya hivi napika nafanya kila kitu naoga nimeshaanda chakula nimeweka mezani .
Halafu najiremba for dinner na kuvaa kitenge amazing nananukia vizuri watoto wamevalishwa nguo nazo nzuri ila wanaume si hali wanatoka njee.
 
Habari za Jumapili.

Nikiwa nimetulia ndani jioni namuona mamsap akirudi toka kwenye mishe. Pia alipitia saluni. Katengeneza nywele zake vizuri anavutia kumtazama

Sasa ujinga ni kuwa kufika tu kachukua kilemba kafungia nywele humo kazibania vizuri hata isionekane hata moja! Hapo tayari kuanza mishe za nyumbani. Ule mvuto aliokuja nao ukatoweka.

Ikifika asubuhi anajikwatua tena na kuziachia vizuri tayari kwenda kazini. Huko anakutana na wenzake. Mabosi, vijana, wababa, wapita njia, n.k. Wote kwa nyakati tofauti wanavutiwa nae kwa muonekano ambao alipokuwa nyumbani aliuficha.

Jioni inafika tena anafika nyumbani na kujitupia tambara lake kichwani. Tena anaweza kutafuta na nguo nguo huko akajitupia kisha akaendelea na mishe za nyumbani.

Kwa hali hii hamasa itakuwepo? Hakika yatabakia mazoea tu.



Tufanye lipi lionekane jema?
 
Back
Top Bottom