Wanawake ni wazuri wakiwa kazini

😂😂😂😂😂 kapicha basi ka titi likicheza segere matata 🤣🤣🤣🤣
Kama najiona nikitoka mishe huko dera liko wapi hata sidiria sivai ziwa linacheza segere tu kifuani, halafu Kuna Yale Madera ya kushindia yamepauka 🤣🤣🤣🤣 dah, Yale yaliyoiva mapya mapya eti yakutokea.
 
Utoto raha sana
Nyie ndio huwa mnajifanya wakax hata romance mnajifanya hampendi eti ni uchafu. Mkiwa ndani na mke wako unajifanya mgumu eti unapiga story za maisha - kufanya ma-project makubwa n.k ila muda wa ku-socialize na mkeo huna.

Kwanini asipendeze kazini ama akiwa nje ya nyumba yenu pekee?
 
Habari za Jumapili.

Nikiwa nimetulia ndani jioni namuona mamsap akirudi toka kwenye mishe. Pia alipitia saluni. Katengeneza nywele zake vizuri anavutia kumtazama

Sasa ujinga ni kuwa kufika tu kachukua kilemba kafungia nywele humo kazibania vizuri hata isionekane hata moja! Hapo tayari kuanza mishe za nyumbani. Ule mvuto aliokuja nao ukatoweka.

Ikifika asubuhi anajikwatua tena na kuziachia vizuri tayari kwenda kazini. Huko anakutana na wenzake. Mabosi, vijana, wababa, wapita njia, n.k. Wote kwa nyakati tofauti wanavutiwa nae kwa muonekano ambao alipokuwa nyumbani aliuficha.

Jioni inafika tena anafika nyumbani na kujitupia tambara lake kichwani. Tena anaweza kutafuta na nguo nguo huko akajitupia kisha akaendelea na mishe za nyumbani.

Kwa hali hii hamasa itakuwepo? Hakika yatabakia mazoea tu.

You nailed it. Huu uzi nimeusoma wote na ku-like kila useful comment. However, nimeona kuwa wanaume wengi wanapenda wake zao wawe natural. Haya mawigi wanasema ni uchafu.
 
Ndo wanafunga lemba ss mnaanza kulalamika

unafkr utadeki na kupika na nywele za kuning'inia?.
Ndio, ukishamaliza ...unaoga vizuri, unapuliza ile body spray yako, piga kile kimini/ taiti yako, nenda kacheze na mwenzio hata kama anadai amechoka mrukie rukie m'seduce mpaka ashangae huyu leo kaweje😂😂😂
 
Ndo wanafunga lemba ss mnaanza kulalamika

unafkr utadeki na kupika na nywele za kuning'inia?.
Mishe nyingi nzito keshafanya dada wa kazi. Pia hata kama amemaliza bado anajisiliba tu vilemba na nguo fulani fulani hivi 'za kushindia'
 
Ndio hekma ya Uislam, mwanamke ajistiri, avae stara na akiwa kwake na mumewe ajiachie sasa imekua kinyume chake, akiwa na watu huko nje ndio atapaka poda, akirejea home anapaka mafuta ya wanyama
 
Bora tulio amua kuishi kisela tu,maana unakuta mdada mzuri kajilembaa kapendeza,unaamua kuwa nae
Sasa siku mmelala wote ile asbuhi unaamka kabla hajajipaka makolokocho yake ,ndio unagundua kumbe hata bora uwe na Jenny matiti makubwa maana yeye ni mrembo wa asili japo hana tako ila ana akili
 
Ndio hekma ya Uislam, mwanamke ajistiri, avae stara na akiwa kwake na mumewe ajiachie sasa imekua kinyume chake, akiwa na watu huko nje ndio atapaka poda, akirejea home anapaka mafuta ya wanyama
Jamani jamani mafuta ya wanyama tena!!
 
Upo sahihi mm mke wangu akiweka matakataka yake kichwani wala sihangaiki hata kumgusa....
ila akiyatoa akibaki na natural hair.....
huwa namshambulia balaa....
Bahati mbaya sana wengine ndio wakijua humgusi ndio anajipigilia hasa hayo matakataka, kama anakukomoa vile :)
 
Back
Top Bottom