Ukiwa bahili, Wanawake wazuri utakula kwa macho tu

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
40,444
Reaction score
62,825
Siku moja nimejichokea na majukumu yangu, ikanibidi saa mbili usiku nizame kwenye 'pub' moja iko karibu na mtaani kwetu. Nikawa napata bia mbili tatu, huku nikimsikiliza DJ anavyobadilisha nyimbo; na nyimbo alizipangilia vizuri sana, nikitaka kuondoka nashindwa kwa sababu, najikuta navutika na nyimbo anayoipiga.

Kwenye meza yangu, nilikuwa niko mwenyewe tu napiga tungi. Imefika saa nne usiku, nikaona upande wa mlangoni kuna mlimbwende mmoja(pisi kali) alikuwa anasindikizwa na muhudumu huku wameshika vinywaji vyake wakitafuta meza ya kukaa.

Mnavyojua tena, mimi huwa nikiona watoto wazuri uwezo wangu wa kufikiri hupotea; nikawa naomba kimoyo moyo, huyu mrembo akose meza aje mezani kwangu.

Kweli, Mungu akasikia maombi yangu; yule mrembo akamwambia muhudumu amlete pale mezani kwangu. Baada ya kufika tukasalimiana, mi nikawa bize na ya kwangu. Mnavyojua tena, kukaa karibu na mrembo ambaye ameuteka moyo wako, ni sawa na kurusha kipande cha sigara kwenye 'petrol'.

Kama baada ya dakika tatu hivi, mrembo ukachukua 'glass' yake na kuielekeza kwangu kwa 'cheers'; tukagonga cheers tukanywa. Hapo ndipo tukaanza kufahamiana; mimi nilikuwa nakunywa serengeti, yeye anapiga savana. Nikampatia simu yangu aandike namba yake; akaji-beep kila mmoja aka-save namba ya mwenzake.

Mimi nilikuwa nimeshaanza kulewa, kwa sababu nilifika pale mapema kabla yake, nikawa nakunywa kinywaji chake kwa kutumia 'glass' yake. Tukawa tunashea hiyo glass moja. Mrembo baada ya kupiga kama chupa sita hivi, akaanza kunichezea mziki huku ananigusisha gusisha; mnavyojua tena, kama nguvu ziko vizuri lazima mnara usome. Kweli mnara ulikuwa unasoma; lakini nilichukulia kawaida tu, kwa sababu ni mambo ya starehe yalivyo.

Ikabidi nimuulize maswali zaidi ili tufahamiane zaidi; akasema yupo hapa mkoani, leo ni siku ya pili, analeta bidhaa za nguo, vipodozi mbalimbali kwa wateja wake maalumu. Nikamwambia haina shida, upo kwenye mikono salama; kutokana na ule weupe wake, sura nzuri, nywele nzuri, pamoja na kiuno kilivyoungana na nyonga vizuri; nikawa najisemea kimoyo moyo, leo nitafaidi tunda nililokuwa nalitafuta kwa hamu.

Muhudumu akaja, nikalipia bili huku tukiendelea kusikiliza mziki. Nikawa nimeenda WC mara moja, ile kurudi tu mrembo simuoni ameondoka; roho iliniuma sana, kwa pembeni kulikuwa na dada mmoja; nikamuuliza huyu niliyekuwa naye ameenda wapi? Akanijibu, mi nilijua mlikuwa wote! Nikajua hapa, nimeshaingizwa mjini; mrembo mzuri ameshakimbia na nilikuwa kichwani nampangilia namna ya kumpelekea moto.

Ikabidi niongeze kinywaji ili kupoteza mawazo, ingawa nililewa sana. Baada ya kuona nazidi kulewa sana, ikabidi niondoke na kurudi nyumbani. Nikafungulia mziki, huku nakunywa maji ili kupunguza kiwango cha ulevi; baada ya lisaa limoja hivi, nikaenda kulala.

Ile nakaribia kupitiwa na usingizi, naona simu inaita; kuangalia ni yule mrembo; mi nikapokea na kumsikiliza. Akawa anaomba msamaha kwa kuondoka bila kuaga, ila akaomba nimuelekeze nilipo ili aweze kuja. Nikampa maelekezo, na baada ya kufika getini akawa amesimamishwa kwa muda, ikabidi niende kumfuata na kumuingiza ndani.

Baada ya kuingia ndani na kumtazama jinsi alivyoumbika; hasira zikaniisha, ila kimoyo moyo nikawa najisemea, hasira zangu nitazimalizia kwenye kupelekea moto. Kazi ilikuwa pevu sana, ilikuwa kugeuzana kama chapati; ikabidi aombe kupumzika.

Ilipofika asubuhi, akaomba aondoke kwanza kuna mzigo anataka akaupakie kwenye basi moja kwenda mkoani, baadaye atarudi. Nikamruhusu, nikampatia kijana mmoja ampeleke huko anakoenda.

Baada ya kumaliza mizunguko yake, akarudi huku amevaa nguo za kuniumiza kabisa, na marashi mazuri mazuri; ile tu kuingia ndani, akaja kukaa na mimi kimtego mtego kwenye sofa. Wakati huo nilikuwa nakunywa chai ya tangawizi. Nikampatie naye chai kidogo; baada ya hapo ilikuwa shoo shoo kweli.

Tukawa tunabadilishana mawazo ili kufahamiana zaidi; akaniomba awe mchepuko wangu wa kudumu, na yuko tayari kunizalia kama nitahitaji; mi nikamwambia hakuna shida cha muhimu ni kulindana kiafya; haya mengine yanawezekana.

Baada ya hapo, kesho yake akasafiri; kwa sasa ananiita baby!!
 
Hivyo ndivyo ulimwengu wa giza unavyofankiwa kuharibu maisha ya watu wengi kwa kutumia ngono ,watu wameibiwa nyota zao pia, na mengine mengi bila wao kujua,aliyeibiwa hajijui ila huishia kuona amefaidi sana aliyefanya nae ngono
 
Nadhani waafrika ndio wanaendekeza mambo ya nyota nyota tu; Iko kiimani zaidi
 
Ghalfla ghalfla ameomba kukuzalia 😀😀😀haya subiri kulea mimba asaiv
 
Back
Top Bottom