Raha yetu men tukiwa home tuwaone wake zetu wapite-pite mbele zetu, mara hujamuona kwa dakika 5 hivi unaamua kumuita ili akuletee maji ya kunywa, zikipita dakika kadhaa hujamuona tena unamuita uili akuletee juice, mara umuite umuulize chaja ya simu iko wapi japo unajua fika ilipo, mara umuulize taulo liko wapi . Yaani bora umuone-one tyuu. Tena kama ana mzigo ndio utamfaidi kweli wakat huo yupo ndani ya vazi amazing la khanga, unaangusha kitabu au simu makusudi na unamuita aje akuokotee, (apo moyo mwemwere-mwemwere). Daah! Dunia tamu sana, isiishe mapema kabisa.
Sasa km hajapendeza, mzigo hana, amevaa hovyo na havutii kwa chochote, hapo ndipo simu za kuwastua wana twende viwanja zinapoanziaga.