Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,179
- 124,845
DuuuhNishawahi kukutana na dada wa miaka 32 ana watoto 8.
Kwahiyo hili si jambo la ajabu kabisa.
DuuuhNishawahi kukutana na dada wa miaka 32 ana watoto 8.
Kwahiyo hili si jambo la ajabu kabisa.
Ni kweli mate, nimepiga hesabu hata mimi ningezaa mara tu baada ya kuvunja ungo huenda ningekuwa na mjukuuMate usishangae Sana Kuna binti wa miaka 24 ana watoto watatu..sasa pata pita baada ya 30 atakuwa na wangapi..na kuna dada and miaka 36 ana watoto 7 huku kitaa..wapo mbona
Hii ni chai kama chai nyingine tuDada wa miaka 30 ana watoto watano
Mwanamke yupo tayari kwenda kwa mwanaume anayemtumia sms nzuri kwenye simu na kumletea vizawadi vya maua na kumwacha mwanaume anayemlisha na kusomesha watoto.Natumai hamjambo wanabodi.
Wakuu hawa viumbe wa kuitwa wanawake ni viumbe wa ajabu sana, kuna dada mmoja mwenye watoto 5 alitelekezwa na mumewe maisha yakampiga mpaka basi... kwa kua mungu ni mwema, akamkutanisha na mwanaume mwenye pesa japo ana tatizo la nguvu za kiume...
Mwanaume alimueleza yule dada matatizo yake na akamwambia kama anaridhia basi amuoe, yule dada akakubali kuolewa na maisha yakafana sana.
Badae huyu dada akapata mchepuko ukawa unamgegeda, alivyo mjinga akasahau shida alizopitia akaamua kutoka kwa mwanaume anaemlelea familia yake bila shida akahamia kwa mchepuko ambae hana mbele wala nyuma.
Sasa maisha yamempiga analala njaa na familia yake anatamani arudi kwa yule bwana bt ndo haiwezekani tena, wanawake kuweni makini sana mfanyapo maamuzi juu ya maisha yenu, ni bora ukawa na mchepuko wa kukutoa ham huku upo kwako.
Huyu dada ukimuona anatia huruma sana, anaokena kama mzee akati ni dada wa miaka 30 pekee.
mkuu upo sahih, hawa viumbe hawatabiriki.Mwanamke yupo tayari kwenda kwa mwanaume anayemtumia sms nzuri kwenye simu na kumletea vizawadi vya maua na kumwacha mwanaume anayemlisha na kusomesha watoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa mkuu.Samahani na pole..
NB,mimi sio wa ajabu.
[emoji1787][emoji28][emoji28]Ushafika.... Tazama ulivyonegative....
Yaani wee mwenyewe ndio umemtaka afu unajikuta unamshangaa kakubalije pamoja na kujua ujinga wako... Na wivu juu akikuchunga [emoji3][emoji3]Hii ndio huwa inachekesha sana.
Utakuta mwanamke anakwambia yaani wewe kaka ni malaya hadi basi wanawake wote uliotembea nao nawafahamu,lkn badae ukiomba mchezo anakupa.
Wee wasema, wenzio % kubwa wakishashiba haijalishi ana wangapi ndio moto unawaka hatariWanawake hatu mind Sana Hilo tendo hasa tukishakuwa na watoto huyo nashangaa, inaonyesha baada ya kutoka kwenye shida na kuanza kudamshi akavimba mapembe
Sisi wanaume huwa tunawajaribu tu muda mwingine,si kila wakati tukitongoza huwa tunakuwa serious.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yaani wee mwenyewe ndio umemtaka afu unajikuta unamshangaa kakubalije pamoja na kujua ujinga wako... Na wivu juu akikuchunga [emoji3][emoji3]
Miaka 10 tu inatosha kwa watoto watano mbona, mmoja akifikisha miwili mwingine anazaliwa, nenda kwa wapemba huko uoneYes inawezekana kabisa yupo mmoja namfaham ana miaka 31 ana watoto 6 Je huyo wa miaka 30 watoto 5 inashndkana?? Imagine binti ameolewa ana miaka 16 mpaka anafikisha miaka 30 upo uwezekano wa kufikisha watoto 5 pia kumbuka kuna kuzaa mapacha pia
Kweli mkuu, wengi tunawala kiutani utani tu.... Afu hawa viumbe ukitaka uwapate kirahisi waambie ukweli tu [emoji23][emoji23][emoji23]Sisi wanaume huwa tunawajaribu tu muda mwingine,si kila wakati tukitongoza huwa tunakuwa serious.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tunakuwa tunakujaribu tu ila ukijirahisisha tunapitia kweli.
Una watoto wangapi kwa sasa ?Ni kweli mate, nimepiga hesabu hata mimi ningezaa mara tu baada ya kuvunja ungo huenda ningekuwa na mjukuu
WatanoUna watoto wangapi kwa sasa ?
Ongeza ongeza sasa ufikishe kumi.Watano
SawaOngeza ongeza sasa ufikishe kumi.
haya majibu ni ya mtu asietaka kuulizwa.Watano