Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,532
Mwandiko unasemaje mkuuWe Ni me au ke?
Mwandiko unasemaje mkuuWe Ni me au ke?
Natumai hamjambo wanabodi.
Wakuu hawa viumbe wa kuitwa wanawake ni viumbe wa ajabu sana, kuna dada mmoja mwenye watoto 5 alitelekezwa na mumewe maisha yakampiga mpaka basi... kwa kua mungu ni mwema, akamkutanisha na mwanaume mwenye pesa japo ana tatizo la nguvu za kiume...
Mwanaume alimueleza yule dada matatizo yake na akamwambia kama anaridhia basi amuoe, yule dada akakubali kuolewa na maisha yakafana sana.
Badae huyu dada akapata mchepuko ukawa unamgegeda, alivyo mjinga akasahau shida alizopitia akaamua kutoka kwa mwanaume anaemlelea familia yake bila shida akahamia kwa mchepuko ambae hana mbele wala nyuma.
Sasa maisha yamempiga analala njaa na familia yake anatamani arudi kwa yule bwana bt ndo haiwezekani tena, wanawake kuweni makini sana mfanyapo maamuzi juu ya maisha yenu, ni bora ukawa na mchepuko wa kukutoa ham huku upo kwako.
Huyu dada ukimuona anatia huruma sana, anaokena kama mzee akati ni dada wa miaka 30 pekee.
Mwandiko unasemaje mkuu
Vizuri..endelea hivyo hivyo kutokuelewa.Hata sielewi
Vizuri..endelea hivyo hivyo kutokuelewa.
Maisha ni mafupi sana
Nani baby wako..we mwamba vipi aise mikato gani unaniletea😣😣Ok baby
Umesema kweli kabisa"Mwanaume mwenye pesa japo anatatizo la nguvu za kiume"...broo bila fimbo imara hawa wanawake watakuoana kama mwanamke mwenzao.
Hujui alilifanyia nini likampiga chini. Labda liligundua kuwa watoto si wakeSasa hapo ndo unaona wanawake ni viumbe wa ajabu? Na Hilo lililomuachia kulea peke yake limekufa ama?
Ni kweli Kama huyo namhurumia kweli kuwa na 5 kids ulezi si mchezo hafu kapata wakumsitiri yeye anahangaika ka bisi kikaangoni.mkuu wadada wasio na shule wanamtihani sana alafu hata hawajionei huruma
Ninaemsemea Mimi Ni wa mjini japo rate kubwa iko vijijini make kwa kijijini binti akifikisha miaka 30 hajaolewa na hasomi au hana kikwazo kinachomzuia kuolewa huyo Mara nyingi huishia single life.Itakuwa huko vijijini maana watu wanaolewa wadogo na kuzaa watoto hata kumi, huku mjini umri huo mtu hata hajaolewa
Mjini gani hyo au ndio buza hukoNinaemsemea Mimi Ni wa mjini japo rate kubwa iko vijijini make kwa kijijini binti akifikisha miaka 30 hajaolewa na hasomi au hana kikwazo kinachomzuia kuolewa huyo Mara nyingi huishia single life.
Tanzania mijini ipo mingi sana si lazma iwe dar es salaamMjini gani hyo au ndio buza huko
Basi huyo mjini hakuja msaidia sikuhizi elimu za uzazi kila corner Hadi wanafunzi wa secondary wanatumia uzazi, iweje yeye mtu mzima ashindwe kujiongeza?Tanzania mijini ipo mingi sana si lazma iwe dar es salaam
Kwahy kosa Ni nini kuzaa watoto 6 katika umri wa miaka 31 au kosa lake Ni kutofautiana mtazamo naww kwamba hakuzingatia uzazi wa mpango???Basi huyo mjini hakuja msaidia sikuhizi elimu za uzazi kila corner Hadi wanafunzi wa secondary wanatumia uzazi, iweje yeye mtu mzima ashindwe kujiongeza?
Mate usishangae Sana Kuna binti wa miaka 24 ana watoto watatu..sasa pata pita baada ya 30 atakuwa na wangapi..na kuna dada and miaka 36 ana watoto 7 huku kitaa..wapo mbonaDada wa miaka 30 ana watoto watano
Kuzaa sio kosa shida yake ni kuzaa watoto wengi huku hajui kesho yake atakula Nini na wanawe anategemea kudanga,so nilijibu kulingana na post ya mleta mada kuhusu kuhangaika hata kula yake yet anazaa daily huku akitesa watoto.Kwahy kosa Ni nini kuzaa watoto 6 katika umri wa miaka 31 au kosa lake Ni kutofautiana mtazamo naww kwamba hakuzingatia uzazi wa mpango???
Katika maisha kila mmoja anapanga aina ya maisha anayotaka.. Shda Ni kuzaa watoto wengi ambao huwezi kuwalea lakini kama unao uwezo wa kuwalea hata hata ukizaa dozen no problem
Ila Mimi nilikupa mfano ninaoujua Mimi sio mfano wa mtoa post huyu ninaemfaham anaish mjini ana miaka 31 watoto 6 na maisha safi tuKuzaa sio kosa shida yake ni kuzaa watoto wengi huku hajui kesho yake atakula Nini na wanawe anategemea kudanga,so nilijibu kulingana na post ya mleta mada kuhusu kuhangaika hata kula yake yet anazaa daily huku akitesa watoto.