Wanawake ni viumbe wa ajabu sana

Wanawake ni viumbe wa ajabu sana

Natumai hamjambo wanabodi.

Wakuu hawa viumbe wa kuitwa wanawake ni viumbe wa ajabu sana, kuna dada mmoja mwenye watoto 5 alitelekezwa na mumewe maisha yakampiga mpaka basi... kwa kua mungu ni mwema, akamkutanisha na mwanaume mwenye pesa japo ana tatizo la nguvu za kiume...

Mwanaume alimueleza yule dada matatizo yake na akamwambia kama anaridhia basi amuoe, yule dada akakubali kuolewa na maisha yakafana sana.

Badae huyu dada akapata mchepuko ukawa unamgegeda, alivyo mjinga akasahau shida alizopitia akaamua kutoka kwa mwanaume anaemlelea familia yake bila shida akahamia kwa mchepuko ambae hana mbele wala nyuma.

Sasa maisha yamempiga analala njaa na familia yake anatamani arudi kwa yule bwana bt ndo haiwezekani tena, wanawake kuweni makini sana mfanyapo maamuzi juu ya maisha yenu, ni bora ukawa na mchepuko wa kukutoa ham huku upo kwako.

Huyu dada ukimuona anatia huruma sana, anaokena kama mzee akati ni dada wa miaka 30 pekee.
Miaka 30 watoto 5?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hatari sana,kumbe kila mahali kuna wazugaji
mkuu mwanaume anapenda heshima hata kama anajijua hayawezi, kuna ndoa nyingi mno za namna hii na lengo ni mhusika aonekane yupo na mke.
 
Yaan nimemshangaa huyo dada hadi nimeshindwa kushangaa. Angekuwa dada yangu ningempa makonzi kupoza hasira, teh!
[emoji23][emoji23][emoji23]huyu dada hajielewi nadhani ana kaulimbukeni flani hivi si unaona baada ya dhiki na kuanza kupendeza akaanza tabia yake halisi.
 
Hahaaa mkuu duuh. Yaan ndo maana mi nawashangaaga humu vijana unakuta wanavodanganyana ooh mfanyie hiki na hiki mkeo, girl wako ili akupende zaidi, sijui asikuchiti au asikuache, awe wako tu mmmh. Moyoni tu najisemea hawa hawajui akili za hawa viumbe.

"You will never satisfy a woman"... labda a woman from another planet
Ila hata nyie hamuridhiki bwana in short ni ngumu kumridhisha mwanadamu fanya Jambo lolote kwa kiasi bila kutegemea fadhila, unaweza mpa mtu kila kitu Ila ukawa hujui kubembeleza akaenda kwa anayejua kumbembeleza. In short you can't sastify a human being
 
Watu wanazaa kabisa watoto
ni kweli hamsemi bt madharau na matendo yenu mkishatoka nje hua yanazungumza bt ni vile tu mtu huwezi tilia maanani jambo ambalo hujalithibiti live.
 
ni kweli hamsemi bt madharau na matendo yenu mkishatoka nje hua yanazungumza bt ni vile tu mtu huwezi tilia maanani jambo ambalo hujalithibiti live.
Kuna watu hata wasipochepuka huwa na dharau Kama zote
 
Natumai hamjambo wanabodi.

Wakuu hawa viumbe wa kuitwa wanawake ni viumbe wa ajabu sana, kuna dada mmoja mwenye watoto 5 alitelekezwa na mumewe maisha yakampiga mpaka basi... kwa kua mungu ni mwema, akamkutanisha na mwanaume mwenye pesa japo ana tatizo la nguvu za kiume...

Mwanaume alimueleza yule dada matatizo yake na akamwambia kama anaridhia basi amuoe, yule dada akakubali kuolewa na maisha yakafana sana.

Badae huyu dada akapata mchepuko ukawa unamgegeda, alivyo mjinga akasahau shida alizopitia akaamua kutoka kwa mwanaume anaemlelea familia yake bila shida akahamia kwa mchepuko ambae hana mbele wala nyuma.

Sasa maisha yamempiga analala njaa na familia yake anatamani arudi kwa yule bwana bt ndo haiwezekani tena, wanawake kuweni makini sana mfanyapo maamuzi juu ya maisha yenu, ni bora ukawa na mchepuko wa kukutoa ham huku upo kwako.

Huyu dada ukimuona anatia huruma sana, anaokena kama mzee akati ni dada wa miaka 30 pekee.
Weka picha yake tuone kama kweli anatia huruma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuaga na mpenzi wangu mmoja huko nyuma, Hatukua tukikaa pamoja yeye kwake mimi kwangu,huwa akitaka kwenda saloon kutengeneza nywele kusuka kutengeneza kucha nk alikua anakuja saloon Kwangu (nina saloon classic safi sana kwa ajili ya kina dada)

na niliifunguaga hii saloon kutokana na hasira za kuombwa hela za saloon,kucha kila wiki/mwezi basi nikawaza sana nikaema hizi hela ninazotoa Je ningekua na saloon zingenitoka? nikaona hataaa haiwezekani acha nifungue Kwani sh.ngapi "nikafungua" ndani vitu vya saloon nikawa naweka vile Classic kwasababu lengo langu halikua wateja bali ni Mpenzi wangu aende pata huduma hapo

hela yangu isipoteee shida zipungue,Huyu dada nikamtambulisha kwa wafanyakazi saloon wakamjua kama ndio Shemeji/wifi Boss tena,si unajua zile...

akawa akienda saloon bili yake nawambia nitalipa mimi kwahyo isije tokea hata siku 1 nikaskia kadaiwa hela,basi bana yeye akawa anaenda saloon kufanya kila anachojiskia,hamna wakumuuliza si unajua Baby wake Boss tena.

unajua ktk mahusiano mengi sana huwa n kama TUITION so yule shost tulikuja kupshana mahali ktk mambo yetu wenyewe kila mtu akaridhia afate mambo yake.

Tukawa hatusalimiani hatutumian msg wala hamna kitu mzee kimya kimya,sasa ktk kipiindi nilipokuja gundua akili za wanawake ni sometimes yes smetimes NO ni hapa...

Kumbe bana mwenzaangu utaratbu wa kwenda saloon kutengeneza kucha/nywele/make up/kupga pcha anao kama kawaida anauendeleza na Unajua wafanyakazi hawawezi mkataza kwasababu hawaelewi kitu na ruhusa ya yeye kwenda pale si mimi mwenyewe nilisharuhusu bana.

siku 1 nikasafiri kama wiki 3 hv sikua mjini,hesabu zangu huwa nachukuaga kwa wiki,niliporudi siku ya kupewa hesabu napewa na bili ya yule bi shost wangu,Nikawauliza kwan bado anakujaga hapa? wakajibu ndio anakujaga sana tu kila baada ya siku 3 anakuja either kuosha au kubadlisha rangi kucha.

sikuongea kitu,nikawambia sasa naomba mnisikilize Huyu si mpenzi wangu tena,naomba kuanzia leo atakapokuja mum treat kama mteja wa kawaida na awalipe hela zenu hata akigusa kitana kama n hela Awalipe tu,nimeeleweka!? wakajibu "Ndio mzeee"

Nimetoka kuwapa somo leo asubuhi,mchana Bi shost huyo kodo kodo kodo kaingia saloon wakamkaribisha kwa mbwe mbwe zote,wakamuhudumia mwanzo mwisho Yani alihudumiwa hiyo siku kama V.V.I.P haya kamaliza hudumiwa anapewa bili inatakiwa 70k yani wanaume wanaisema elufu sabini (70,000)

Dada anabaki anawatolea macho anawauliza eti "yanini" basi kuna msusi wangu mmoja nyoko huyo anasuta mithili ya mdada wa mombasa,akikutukana tusi n lile lile ila jinsi anavyolitamka unaweza ukafkiri ni JIPYA,akamuamkia.

Bwana weee walizozazana humo ndani mwisho nipo zangu kazini naona simu ya Shost inaingia nikajua huyu tayari kanasa,akipiga simu nakata,maana nisipopokea atahisi labda nipo mbali na simu basi nikawa nakata ili ajue nipo na simu ila sitaki kupokea.

Huko saloon walichukuana mguu kwa mguu hadi ATM b shost katoa 70000 ya watu ila kanuna mbaya mbovu,hazijaisha hata wiki bi dada karudi anaomba msamaha, Nikajua huyu mwanaharamu narudi ana lake..nikamtia block na kumpa makavu live.

Wanawake hawa waone tu hapo wanatembea wazuriiiii ila bana ukikutana na liparachichi mbona unaweza ukatamani ungekua hata na Asha boko kijulikane kimoja.
Kwahio saluni atumie ya kwako halafu kwa jeuri papuchi apeleke anapopataka yeye!?😂😂😂

Nimecheka hapo pa kuombwa msamaha maana kumbe kiburi kilikuwa sababu anatumia huduma zako bure!
 
Back
Top Bottom